Maajabu ya namba '3'

Hakuna maajabu yoyote ktk number tatu! Every number is special in its own special way, and I think every number should be awarded a handsome certicate of participation suitable for framing.
 
the past...and the present...and the future...

the third
time's a charm...


3-6-9, 12-15-18, 21-24-27, 30.
Multiply backwards from three times ten:
Three time ten is (30), three times nine is (27),
Three times eight is (24), three times seven is (21),
Three times six is (18), three times five is (15),
Three times four is twelve,
And three times three is nine, and three times two
is six,
And three times one is three of course...but i hate MATHS ofcourse...

ukijaribu jambo...kwa mara ya kwanza...ya pili...ya tatu lazima uwe mtaalamu na utafanikiwa...(jipe mifano mwenyewe mifano yangu yote ni ya nguvu za GIZA)
three-some...OMG!...awesome!...ni mwaaaa!

um also a tri-pod man (japo mguu mmoja ni mfupi,haufiki chini fresh.)

mm pia ni mtoto wa 3 ktk familia...tuishie hapo kwa leo.
 
Habar wanajamv,
nimejiuliza kwann namba tatu inatumika sana kwenye mambo mbalimbali
lakini sijapata jibu! hebu jionee mwenyewe
1. Ushindi mzur katka soka ni goli tatu kwa sifuri.
2. Mara nyingi ukiumwa unapewa dawa na unatakiwa kunywa kutwa mara 3
3. Kila siku tunashauriwa kula milo mitatu yaani asubuh, mchana na jion.
4. Katika uandikishaji wa majina sehem mbalimbali yanaandikwa matatu
yaani la kwako,la baba na la babu.
5. Kwenye mashindano mengi, ushindi mzito huishia namba tatu, mfano
michezon, darasani n.k
6. Hata katika kuingiza neno la siri (password) mwsho mara 3, mfano
ukikosea kuweka password kwenye ATM, kadi inamezwa
7. Hata kupima maradh mbalimbal hasa ukimwi inashauriwa kupima mara 3
ili kupata majibu ya uhakika.
8. Kujiunga kidato cha tano n lazima walau uwe na credit 3
9. Hata katika kuanza shughuli au tukio mfano kwenye riadha, wanahesabu
mpaka 3 ndipo mbio huanza.
10. Hata kumpongeza mtu au jambo katika hafla mbalimbali mara nyingi
hupigwa makofi matatu.
Kwa leo inatosha, na nyie ongezeni myajuayo kuhusu namba 3.

Mie nafikiri mbili inaongoza! Viungo vingi mwilini viko viwiliviwili! Hadi makalio! Dini kubwa mbili! Nguvu za kiroho mbili Mungu na shetani! Wanadamu na wanyama wote ni 2 kiume kike?..nk
 
Namba 3 kwa tunaofuatilia elimu ya namba huonesha UKAMILIFU (UTIMILIFU).
Mfano:
1. Mungu anaishi ktk nafsi tatu (for Christians only) - Zote mpaka zitimie ndio anakua ni Mungu.
2. Mtu anaishi ktk hali tatu (Roho, Nafsi na Mwili) - Zote mpaka zitimie ndio mtu anakua amekamilika.
 
....sema essay huwa na sehem 3... Intr. Main body. Conclusion.

You have merely paraphrased my statement. Similarly we have the dramatic structure protasis/epitasis/catastrophe. Anyway when all is said and done following the decline and fall of ccm Tanzanians lived happily ever after.
 
Hata miongoni mwa wanafunzi wa Yesu, waliopendwa zaidi walikuwa watatu(Petro, Yakobo na Yohana). HAO NDIYO aliongozana nao mara nyingi kwenda mlimani kusali.
 
...duh..kweli mambo ya Namba TATU..
..samaki anavipande 3..kichwa..mgongo...na mkia..
..1..cha..2..de...3 ma...jumla...chadema...
 
Wale wazee wa freemason wako wapi? Hii kitu yao kuidiscuss mana kila kitu wao freemason tu.
 
mimea na wanyama wamegawanyika sehemu 3

mimea ; shina matawi majani
wanyama; kichwa kiwili miguu
 
mwalimu wa hesabu alitaka hesabu ifanyike kwa mpangilio wa sehemu 3;

swali , kazi, jibu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom