Maajabu ya namba '3'

Na kingine cha kuogofya kuhusu namba 3 ni hiki;
Je wajua ya kwamba,kama una ndugu yako yeyote aliyefariki ktk mazingira ya ushirikina ukimwita mara 3 huku ukipiga mashavu yake mara 3 ni lazima astuke?
Wana Jf, M-prove hili,then mniletee matokeo.
NASISITIZA,ENDAPO AMEFARIKI KWA NJIA YA USHIRIKINA,Na si vinginevyo!!!
 
Ndio maana tunataka ili Muungano udumu milele na milele basi tuwe na serikali tatu kwaajili ya umuhimu wa namba tatu.
 
Na kingine cha kuogofya kuhusu namba 3 ni hiki;
Je wajua ya kwamba,kama una ndugu yako yeyote aliyefariki ktk mazingira ya ushirikina ukimwita mara 3 huku ukipiga mashavu yake mara 3 ni lazima astuke?
Wana Jf, M-prove hili,then mniletee matokeo.
NASISITIZA,ENDAPO AMEFARIKI KWA NJIA YA USHIRIKINA,Na si vinginevyo!!!

Ona mpaka umenistua mwenzio...
 
- PIGA HODI X3
- Talaka za Waislamu 3
- Siku ya kazi inaanza J3
- Umri wa kiumbe hai unapitia hatua 3: Utoto, ujana na uzee
- Usiku wa jana nilimuota Erotica x3
 
Baiskeli guta lina matairi 3, siku hizi kuanza shule chekechea mtoto awe na umri angalau miaka 3
 
Hiyo wamechakachua, hizo herufi zingetakiwa kuwa na herufi tano (CCDNM) cuz ni Chama Cha Demokrasia Na Maendendeleo..
Teh kwa hilo hata mi naona...yan walifupisha CHADEMA then tena neno CHADEMA wakalifupisha kuwa CDM dah wametoa viunganishi... lengo ni kupata 3
 
Back
Top Bottom