Maajabu ya direct cost za udsm

siansakala

Member
Aug 12, 2012
75
10
Sooory,,,ivi hizi direct cost 77400/=tunalipia benki au tunalipia palepale chuoni kwa mhasibu wa chuo????
jamani mnisaidie
 
benki mkuu,hawakubali kupokea mkononi,hope kama umeona kwenye web yao lazima na akaunt zao wametoa.wanapokea risiti tu.
 
Maajabu yako wapi sasa? Msiwe wavivu, info ziko kila mahali. Kama unaweza kuja hapa jf unashindwaje kutembelea tovuti ya chuo?? Barua toka chuo je haisemi lolote?
 
Yaani kitu wewe hukijui then una-conclude kua ni maajabu!!

Maajabu ni kuwa kilitakiwa kua "hivi" but kilo "vile"
 
Back
Top Bottom