Maajabu-hafla/sherehe za kuwapongeza madiwani kufikia muafaka leo-arusha !!!!!!!!!11

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wanajf niko hapa arusha leo j.mosi, kuna gari linapita mitaani kuwakaribisha wananchi ofisi za manispaa kwa ajili ya sherehe za kuwapongeza madiwani kukubaliana kufanya kazi pamoja,,

nijuavyo mimi kamati ya akina marando haijatoa taarifa yake juu ya kilichotokea arusha kwa madiwani wake,binafsi sielewi tafsiri ya shughuli hii.

Tusubiri kuona kitakachoendelea.
 
Kupongezana?...kwa hiyo wanatumia kodo za wananchi kubariki ubakaji wa demokrasia?..hii jamhuri ya Tanganyika haiishi vituko
 
Mmh! mi kwakweli sielewi mambo haya yakoje, nahisi mwisho wake sio mzuri!
 
Back
Top Bottom