Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,067
- 4,101
Leo nikiwa chumbani nimewasikia mahaus gel wanasimuliana, eti mtoto akilia anamchoma na sindano ya kushonea kwenye utosi, nimesikitika sana, mtoto huyo sasa kama taahira.
Leo nikiwa chumbani nimewasikia mahaus gel wanasimuliana, eti mtoto akilia anamchoma na sindano ya kushonea kwenye utosi, nimesikitika sana, mtoto huyo sasa kama taahira.
Duh, kweli huyo ni mkatili...
Mmmh hiyo sasa ukatili! Na hatari ya maambukizi ya magonjwa mengine ni nje nje....kwa kuwa sindano inakuwa sio sterile.
Seriously.....anamchoma sindano kabisa?? Tena utosini? Labda utupe data kamili....
ila naskia huwa wakina mama ndo huwa wanasababisha kwa kutowajali ma haus gel,kuwafokea saa zote,mara kuwakata mishahara endapo akivunja glass au kuharibu kitu chochote,so hasira zooote huwa zinaishia kwa watoto pindi mkienda kazini
dogo upo?MAMBOZ