Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 631
Mama Dr.Slaa; Msiishie hapo Mtwara mjini, Nawashauri pia mkawaamshe na wamakonde wa Newala pamoja na Masasi kwa Che Mkapa.
Teh tehh, kumbe Che Guavara alikua mmakonde!!
Mama Dr.Slaa; Msiishie hapo Mtwara mjini, Nawashauri pia mkawaamshe na wamakonde wa Newala pamoja na Masasi kwa Che Mkapa.
mwendo mdundo
ila bila tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi 2015 ccma wataiba sana kura
natabiri machafuko makubwa sana kama hatutapata katiba mpya mapema
nasikia magamba hawataki itoke mapema labda baada ya uchaguzi ili waibe
Ndugu Philip Mangula huko aliko anafurahia tu!Waliosema hayawiiiiiiii, ohoo sijui bendera zimejaa za nyani kilimani hamtaweza, mfuuuuum aliyekwambia wanamtwara hawataki mabadiliko ya haki nani? Hureeee
Makamanda kazini, lakini vilevile wahahakikishe wanapata viongozi wazuri wa kuendeleza vuguvugu baada ya wao kuondoka. Maana CCM watapita kufuta mawazo yao. Viongozi ktk sehemu hizo ni muhimu saana na wapatikane watu wazuri, wenye mvuto kwenye jamii husika.
Tupe namba sahihi ya wanao hamia Chadema.....WAJINGA ndio WALIWAVYO:
Kwa hakika siku ile pale Jangwani ndio nilijua kumbe hakuna watu wengi wanaohamia CHADEMA kiasi hicho wanachodai.. Pole Tanzanai
Tupe namba sahihi ya wanao hamia Chadema.....
Wakuu ITV katika tarifa yake imerusha M4C hukuo mtwara ambako wanachama zaidi ya 3000 wamevua gamba na kuvaa Gwanda, Hii ni kimbunga cha aina yake,
tatizo lamcd ni hili'wakipata watu wengi mkutanoni bac,wanajua wamemaliza,bado,wananchi waelezwe uzuri/manufaa ya vyama vingi'na mapungufu ya ccm,wawahamasishe wa2 wajiandikishe kwenye lile daftari kubwa
Nnauye Jr anajipanga kuwaletea Vua Gamba, Vua Gwanda, Vaa Uzalendo!! Sijui itaanza lini maana magamba wanaogopa hadhira siku hizi zomea zomea imezidi
Wakuu ITV katika tarifa yake imerusha M4C hukuo mtwara ambako wanachama zaidi ya 3000 wamevua gamba na kuvaa Gwanda, Hii ni kimbunga cha aina yake,