M4C ni noma, Wilaya moja tu wanachama zaidi ya buku 3 wamevua GAMBA

mwendo mdundo
ila bila tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi 2015 ccma wataiba sana kura
natabiri machafuko makubwa sana kama hatutapata katiba mpya mapema
nasikia magamba hawataki itoke mapema labda baada ya uchaguzi ili waibe

2015 tutafika?
 
Wakuu msiwe na wasisi kuhusu katiba mpya sisi tuko tayari kupiga na kulinda kura kwa gharama yoyote na tuta wafundisha wa Tz wote kulinda kura zao ili kuwa ondoa ccm hata kama hawata badili katiba
 
WAJINGA ndio WALIWAVYO:

Kwa hakika siku ile pale Jangwani ndio nilijua kumbe hakuna watu wengi wanaohamia CHADEMA kiasi hicho wanachodai.. they are just coming up with any number.. na kutembea na mfuko wao.. wakifika kila mahali wanamwaga, wakimaliza TV/waandishi wakiona wanaokata wanatumia the same... taifa lenye wajinga litayumbishwa na wenye kutaka madaraka mpaka basi. Pole Tanzanai
 
nape atakuja kupinga hiyo maana hata mwenyekiti wao anawaaambia kuwa huo ni upepo tu na utapita kwa hiyo hawana haja ya kuogopa
 
Makamanda kazini, lakini vilevile wahahakikishe wanapata viongozi wazuri wa kuendeleza vuguvugu baada ya wao kuondoka. Maana CCM watapita kufuta mawazo yao. Viongozi ktk sehemu hizo ni muhimu saana na wapatikane watu wazuri, wenye mvuto kwenye jamii husika.
 
Wanachi wameshaamua kubadilika, wala hawahitaji kukumbushwa kila siku. Wewe jiulize hao waliorudisha kadi na kuitikia kiasi hicho kwenye mikutano ya CDM nani aliwahamasisha kabla ya hapo?
Makamanda kazini, lakini vilevile wahahakikishe wanapata viongozi wazuri wa kuendeleza vuguvugu baada ya wao kuondoka. Maana CCM watapita kufuta mawazo yao. Viongozi ktk sehemu hizo ni muhimu saana na wapatikane watu wazuri, wenye mvuto kwenye jamii husika.
 
Vyama vya upinzani ni vyama vya msimu uchaguzi ukiisha basi navyo vinaingia kapuni.Mbona haya maneno hayazungumzwi kwa sasa? au kwasababu wanajiandaa kuwa upinza ndiyo maana? CDM Sasa kazi imeisha kilichobaki ni kutoa elimu kwa raiya umuhimu wa kujiandikisha katika dafrari la wapiga kura na kupiga Hili naomba muliwekee kipaumbele najua mna wapenzi wengi sana ila wengi wao hawapigi kura kwa kisingizio hata tukipiga zinaibiwa.toeni elimu ya kutosha na ikiwezekana mzindue kampeni maalu ili 2015 tuingie magogoni.M4C
 
Wakuu ITV katika tarifa yake imerusha M4C hukuo mtwara ambako wanachama zaidi ya 3000 wamevua gamba na kuvaa Gwanda, Hii ni kimbunga cha aina yake,

Mkuu,sio kimbunga,ni tufani kuu!!!!!
Watanzania kwa umoja wetu tumeamua kuikataa CCM!
Naishauri CHADEMA isije jisahau na kuzika matumaini haya ambayo watanzania wameikabidhi;bali iwatumikie watanzania kwa moyo wote;watafika mbali tu.
 
tatizo lamcd ni hili'wakipata watu wengi mkutanoni bac,wanajua wamemaliza,bado,wananchi waelezwe uzuri/manufaa ya vyama vingi'na mapungufu ya ccm,wawahamasishe wa2 wajiandikishe kwenye lile daftari kubwa

uwingi ni kukubalika,mbona ccm hawapati hao watu bila akina DIAMOND?
 
Wakuu ITV katika tarifa yake imerusha M4C hukuo mtwara ambako wanachama zaidi ya 3000 wamevua gamba na kuvaa Gwanda, Hii ni kimbunga cha aina yake,

This is news to me! yule mtayarishaji wa NyinyiEM blog alisema CDM imetoka kapa kusini, au hizo taarifa alipewa na Nape?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom