Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??
Kweli wewe kichwa cha kuku,
Kama account za chama ziko tupu hizo chopa zitajazwa maji ya mtoni au bahari?