M4c na chopa 4 huku makatibu na wenyeviti wa wilaya na mikoa njaa kali

Mpunumpunyenye

Senior Member
Dec 7, 2011
114
50
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??
 
hahaha ...pole sana kwa mshangao!Kwani ni jukumu la nani kuwalipa viongozi wa mikoa na wilaya?
-M4C ni uamsho mkuu si kampeni fulani hivi.
 
Mtu akishakula poro la wali maharage utajua tu! humu ndani fulu mnuko! embu mie nitoke zangu manake humu kama tunafukizwa vile!!!
 
Mtoa mada acha kutumika vibaya, unaweza kuthibitisha kuwa akaunti zipo tupu???? Kama akaunti zipo tupu hizo hela za kutumia zinatoka wapi?????
 
Nani kakutuma? Kawaambie humu hatuchangii porojo kama hii ya kwako ya kutumwa!
Unakubali kuwa mtumwa kwa mafisadi ya nini? Ama unaona kama gia ulioingia nayo humu ni dhahiri hautumiki kitumwa?

Pole sana!

nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??
 
Nani kakutuma? Kawaambie humu hatuchangii porojo kama hii ya kwako ya kutumwa!
Unakubali kuwa mtumwa kwa mafisadi ya nini? Ama unaona kama gia ulioingia nayo humu ni dhahiri hautumiki kitumwa?

Pole sana!

Napendaga sana kusoma comment za LiverpoolFC
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??
Akili ndogo hutoa hoja dhaifu na hoja dhaifu umrudia dhaifu! pole sana ndugu.
 
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??

mkuu mimi mwenyewe hapa ni katibu wa tawi. juzi tu tumechangishana kulipa kodi ya ofisi ya kata.

kuwa chadema siyo ajira, ni wajibu wa kila mpenda-mabadiliko.
 
kama ulifikiri kuingia chadema utapata pesa hiyo sahau!!! tena unatakiwa ujue kwamba wewe ndio unatakiwa kikichangia chama kiwafikie wengi zaidi sio kujineemesha kifisadi kama magamba
 
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa
chadema kutowalipa angalau hata posho
viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa ch
ama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??

Hapa ndipo nachoka, hoja inaweza kuwa nzuri na kueleweka iwapo itatolewa na mtoaji kuwa tayari kuitetea. Huu utaratibu wa kumwaga vitu hapa harafu muhusika anaingia mitini huku janvi likitiririka ndo napata shida kwa hawa ma-greta thinkas.

Wengine huwa hatutumii matusi mara tuonapo bandiko tu ila huwa tunasubiri mtoa hoja afafanue zaidi hasa pale hoja zingine chokozi zinapoibuka ili tuone kama kuna mantiki. Inawezekana akawa sahihi kwa kutushawishi wale ambao hupenda kuangalia pande mbili na kutoa comments zetu.

Mtoa hoja anaonekana ni MwanaCDM kwani mpaka kujua akaunti hazina kitu na helikopta 4 kutumika, ni lazima atakuwa karibu na source ya taarifa. Ebu arudi kutufafanulia zaidi baadhi ya mambo ili tuone kama ana mantiki au ni zengwe.
 
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??

rUDI ccm UENDELEE KUPATA kOFIA tISHIRT NA PILAU. hUKU HUKUFAI.MAANA HUJUI HATA NYERERE ALIKUWA ANATEMEBEA KWA MIGUU KUTAFUTA UHURU NA AKAACHA KAZI YAKE NZURI YA UALIMU.WEWE KASUBIRI WATU WAPATE UHURU UTALISHWA TU.
 
kama ulifikiri kuingia chadema utapata pesa hiyo sahau!!! tena unatakiwa ujue kwamba wewe ndio unatakiwa kikichangia chama kiwafikie wengi zaidi sio kujineemesha kifisadi kama magamba

halafu ile ruzuku inayotolewa na serikali inaenda kaskazini
 
rUDI ccm UENDELEE KUPATA kOFIA tISHIRT NA PILAU. hUKU HUKUFAI.MAANA HUJUI HATA NYERERE ALIKUWA ANATEMEBEA KWA MIGUU KUTAFUTA UHURU NA AKAACHA KAZI YAKE NZURI YA UALIMU.WEWE KASUBIRI WATU WAPATE UHURU UTALISHWA TU.

unatumiwa wewe wakati we unasugua kwa miguu wenzako wanaruka kwa chopa
 
Back
Top Bottom