M4c na chopa 4 huku makatibu na wenyeviti wa wilaya na mikoa njaa kali

nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??

Kweli wewe kichwa cha kuku,
Kama account za chama ziko tupu hizo chopa zitajazwa maji ya mtoni au bahari?
 
ni kweli cdm haina pesa basi nyie nyinyiem ambao mna pesa wagaieni serekali yenu ili iwalipe vizuri watumishi wake ili rushwa na dhiki za maisha vitoweke.
 
Subiri matuc umegusa sehemu nyeti unachezea watu wakule kwa pesa shauri yako mm napita tu
 
[QUOTE=mpunumpunyenyekachukue posho kwa nepi, umevimbiwa, watu atuendekezi njaa za upuuzi, viva m4c twanga kotekote
 
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??

nonsense, ridiculous, foolishness etc is the only way I can discribe ur thinking capacity and reasoning as well. Ndio kwanza kila moja wetu anajaribu kujenga chama wewe unazungumzia mishahara. let them go back where they used to be (ccm).
 
Walipeni pesa zao.

Ati walipwe pesa zao je unafahamu ni kiasi gani??acheni kutoa mapovu wakati hamuelewi wako na makubaliano gani.Nafahamu mlizoea kulipana huko kwa Magamba mijihela hata hamuulizi imetoka wapi.Chadema ni chama makini viongozi wake wengi hawategemei ati posho kwa kuwa wanafahamu hizi posho si sahihi kwani kuna mambo mengi ya kufanya especial kujenga chama we dont need the so called posho we're working hard to build our Party and we dont depend on this posho.
 
Ukweli husemwa:

Hapa mimi ndiyo huwa ninachoka pale wanajanvi wanapoamua kuanza kujibu kwa kejeli na matusi kwa vile Mada imebeba ujumbe hasi kwa chama.

Mwana JF ameuliza swali zuri tu na natumaini hata nia yake vilevile ni njema. Swali lake limejengeka katika hoja ya uwiano. Kama viongozi wa juu wa chama wanalipwa mishahara na posho kwa nini haujafanywa utaratibu wa kuwa na malipo kwa viongozi wa chini.

Ikumbukwe, mleta mada anajaribu kutafuta jibu ili liwanufaishe pia watu wengine wenye swali kama hili.

Tujifunze kuvumiliana na kuelimishana ili kuienzi nguzo kuu ya demokrasia kamili.
 
kama hulipwi ni wewe tu muulize slaa kwanini kaacha ubunge na analipwa shilingi ngapi kwa sasa na chama
 
Asalia unaishi nchi gani au mkoa gani hata hufahamu chochote kuhusu Dr Slaa duuh shule za kata zinatoa mandondocha kweli kweli!!!Hivi kumbe Dr Slaa aliacha ubunge???pole kijana kwa kutofahamu whats going on in yr Country.
 
Ukweli husemwa:

Hapa mimi ndiyo huwa ninachoka pale wanajanvi wanapoamua kuanza kujibu kwa kejeli na matusi kwa vile Mada imebeba ujumbe hasi kwa chama.

Mwana JF ameuliza swali zuri tu na natumaini hata nia yake vilevile ni njema. Swali lake limejengeka katika hoja ya uwiano. Kama viongozi wa juu wa chama wanalipwa mishahara na posho kwa nini haujafanywa utaratibu wa kuwa na malipo kwa viongozi wa chini.

Ikumbukwe, mleta mada anajaribu kutafuta jibu ili liwanufaishe pia watu wengine wenye swali kama hili.

Tujifunze kuvumiliana na kuelimishana ili kuienzi nguzo kuu ya demokrasia kamili.
Sijui ni kwa nini watu hurukia vitu ambavyo haviko kwenye mada kabisa. Kama Dk. Slaa analipwa (iwe Mshahara au Posho) kiasi cha shilingi milioni saba kwa mwezi, na watumishi wengi na maafisa wengi wa Makao Makuu ambao ni wanasiasa nao pia hulipwa kwa nini wale waliopo mikoani wasilipwe? Hakuna haja ya kuwa na jazba itolewe hoja ni kwa nini wa Makao Makuu wanalipwa lakini wa Mikoani, Wilayani na kwenye Majimbo hawalipwi.

Kwenye M4C wale wanaoandamana na viongozi wa Kitaifa toka Makao makuu hulipwa posho ya kula na kulala lakini wa Mikoani, Wilayani na kwenye majimbo huambiwa wajitolee. KWA NINI? Hapa hoja ni kigezo gani kinatumika kuwalipa wa Makao makuu na kuwaacha wengine. Kigezo hicho ndiyo kisemwe!!
 
Ukweli husemwa:

Kwa mtu yeyote anayeangalia jambo kwa jicho moja mara nyingi hata majibu yake yanakuwa niya fikra finyu.

Siri ya maendeleo sehemu yoyote ile yenye ushindani ni kwanza kujua udhaifu wako na kuulinganisha na uzuri wa mshindani wako, kama udhaifu wako ni bora zaidi ya uzuri wa mshindani wako, basi hiyo inadhihilisha ni mjinsi gani ulivyo na advantage kwenye soko la ushindani.

Kukataa bila sababu na kuyabedha madhaifu ya chama ni dalili ya chama kuanza kukidumaza katika changamoto na kujaribu kuficha mapungufu yake.

Swali lililoulizwa ni moja ya changamoto inayokikabili chama. Kutojibu swali ni kutaka kuepuka changamoto na ikumbukwe haba na haba hujaza kibaba.

Sijui ni kwa nini watu hurukia vitu ambavyo haviko kwenye mada kabisa. Kama Dk. Slaa analipwa (iwe Mshahara au Posho) kiasi cha shilingi milioni saba kwa mwezi, na watumishi wengi na maafisa wengi wa Makao Makuu ambao ni wanasiasa nao pia hulipwa kwa nini wale waliopo mikoani wasilipwe? Hakuna haja ya kuwa na jazba itolewe hoja ni kwa nini wa Makao Makuu wanalipwa lakini wa Mikoani, Wilayani na kwenye Majimbo hawalipwi.

Kwenye M4C wale wanaoandamana na viongozi wa Kitaifa toka Makao makuu hulipwa posho ya kula na kulala lakini wa Mikoani, Wilayani na kwenye majimbo huambiwa wajitolee. KWA NINI? Hapa hoja ni kigezo gani kinatumika kuwalipa wa Makao makuu na kuwaacha wengine. Kigezo hicho ndiyo kisemwe!!
 
CDM inajengwa na wanachama, ni si chama kinawajenga wanachama
 
Chopa 2 za Ndesamburo na zingine wamepewa na watanzania ughaibuni. Chadema haijatoa hata senti kununua chopa.
Kwaiyo mishahara ya hao watu haihusiani na chopa

Lakini pia kwa Chadema uongozi ni kujitolea. Unatoa muda wako, mali zako ikibidi hata uhai wako. Hao viongozi wanajua.
 
nilikuwa nashangazwa na sasa nashangazwa zaidi kwa chadema kutowalipa angalau hata posho viongozi wa mikoa na wilaya japokuwa chama kinapata ruzuku kutoka serikalini, michango kutoka vyama rafiki kama cdu na michango ya wananchi, na cha ajabu zaidi akaunti zote za chama ziko tupu. sasa hivi wanataka kutumia chopa 4 kwenye kampen za m4c ambazo zi kampuni ya mzee ndesamburo, hizo pesa za kulipa zinatoka wapi kama viongozi hawalipwi??
Hili jamvi tuna tagemea hoja zilizofanyiwa utafiti! tusikulupuke minor issues za kiutendaji au policy za vyama zisiletwe hapa nimeambiwa kwanza hizo post unazosemea ni za volunteers na siyo ajira sasa utalalamikia vipi posho! correct me if am wrong.
 
mkuu mimi mwenyewe hapa ni katibu wa tawi. juzi tu tumechangishana kulipa kodi ya ofisi ya kata.

kuwa chadema siyo ajira, ni wajibu wa kila mpenda-mabadiliko.

mkianza kulipana pesa nyingi mtasahau jukumu la kuwakomboa watanganyika na kugombania madaraka. Wapenda mabadiliko wanajitolea kwanza malipo ni pale kila mtanganyika atakavyoanza kufaidi malighafi zetu. Kwani ccm wana hela za kulipana zaidi ya kuchota fedha zetu? Huoni wafanyakazi wengine wanakosa mishahara?
 
Back
Top Bottom