M4C Arusha viwanja vya Ngarenaro, Kamanda Lema kuongoza mkutano leo

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
2,344
1,771
Heshima kwenu wakuu.
Leo tarehe 10-10-2013 kutakuwa na mkutano mkubwa katika viwanja vya Ngarenaro hapa Jijini Arusha. Na makamanda mbalilimbali watakuwepo wakiongozwa na Mbunge wa Arusha mjini Mh. G. Lema.
Kama upo mbali na eneo la mkutano Stay tune Jf kwa up-dates za ukweli
ZAMBI KUBWA NA MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA



sasa nipo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Ngarenaro, Na watu ni wengi sana, naona muongoza shuhuli anatangaza kuwa Msafara wa Mh.Mbunge Lema unakaribia kuwasili uwanjani.
Najitaidi kupata picture za umati huu ili niweze kuwaekee hapa jf.


Sasa kamanda lema ndio anaingia uwanjani sasa, akiwa ameongozana na msafara wa watembeao kwa miguu, magari, baiskeli na pikipiki nyingi sana kwa hesabu za haraka ni zaidi ya pikipiki 1700 hivi


Kikweli muda umeenda sana na mweshimia Lema naona anapanda jukwani moja kwa moja ili awahutubie wananchi wake wa Arusha.
 
Heshima kwenu wakuu.
Leo tarehe 09-10-2013 kutakuwa na mkutano mkubwa katika viwanja vya Ngarenaro hapa Jijini Arusha. Na makamanda mbalilimbali watakuwepo wakiongozwa na Mbunge wa Arusha mjini Mh. G. Lema.
Kama upo mbali na eneo la mkutano Stay tune Jf kwa up-dates za ukweli
ZAMBI KUBWA NA MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA
Kwenye red mkuu au una maana ya leo ya jana.
 
"Change does not roll in on the wheels of inevitability, but comes through CONTINOUS STRUGGLE, and so we must straighten our backs and work for our freedom. A man can't ride you unless your back is bent."-Martin Luther King Jr.
 
ok kumbe ndo maana jana nilikutana na lile gar la matangazo na wimbo wetu.......chadema chabema... pipoz power!! mie nikiusikia huo wimbo huwa nasisimka
tutakuwepo kamanda
 
Back
Top Bottom