Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,352
- 1,785
Heshima kwenu wakuu.
Leo tarehe 10-10-2013 kutakuwa na mkutano mkubwa katika viwanja vya Ngarenaro hapa Jijini Arusha. Na makamanda mbalilimbali watakuwepo wakiongozwa na Mbunge wa Arusha mjini Mh. G. Lema.
Kama upo mbali na eneo la mkutano Stay tune Jf kwa up-dates za ukweli
ZAMBI KUBWA NA MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA
sasa nipo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Ngarenaro, Na watu ni wengi sana, naona muongoza shuhuli anatangaza kuwa Msafara wa Mh.Mbunge Lema unakaribia kuwasili uwanjani.
Najitaidi kupata picture za umati huu ili niweze kuwaekee hapa jf.
Sasa kamanda lema ndio anaingia uwanjani sasa, akiwa ameongozana na msafara wa watembeao kwa miguu, magari, baiskeli na pikipiki nyingi sana kwa hesabu za haraka ni zaidi ya pikipiki 1700 hivi
Kikweli muda umeenda sana na mweshimia Lema naona anapanda jukwani moja kwa moja ili awahutubie wananchi wake wa Arusha.