MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Kutoswa ndio, lakini kama amechota mshiko arejeshe kwanza.kama tuhuma ni za kweli atoswe tu tusilee wanafiki katika chama
Kutoswa ndio, lakini kama amechota mshiko arejeshe kwanza.kama tuhuma ni za kweli atoswe tu tusilee wanafiki katika chama
sura mbayaaa kama avitar yako nahisi wewe ni mkaanga sumuUtaelewa tu mwaka huu, na mwenyekiti wa Dodoma anawasubiri kwa hamu wachaga nyie.
Nakubaliana na wewe mkuu, wengi wa hao VYASAKA ni wafuasi wa kundi la Zitto inabidi washughulikiwe mapema kabla mambo hayajaharibika meku.
Sidhani kama tuhuma hizi ni za ukweli kiasi cha kutosha kumng'oa Susan Kiwanga katika nafasi yake ya mwenyekiti mkoa.
Kitu kimoja muhimu sana watu wajue kwamba kiongozi wa chadema si mfadhili kwamba kila shughuli ya chama anatoa fedha pekee kuiwezesha. Shughuli za chama ikiwa ni pamoja na ofisi za chama na matumizi mengine kama gharama za kuendesha mikutano na mambo mengine yanachangiwa na kugharimiwa na wanachama wote.
Sasa kama kuna mtu aliingia kwenye uongozi akitarajia kwamba kwakuwa kuna wabunge kwenye safu na kutaka kumgeuza mfadhili atakuwa anakosea sana.
Tukifika mahali tukawageuza viongozi wetu kuwa wafadhili ni wazi kwamba tutakuwa tunakiua chama kwa kukibinafsisha kwa watu wachache.