Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,704
- 5,061
Hao Cambridge University, Harvard University, Oxford University, etc, wapo open-minded kuruhusu mitazamo tofauti tofauti ya masuala mbalimbali. Haimaanishi kuwa wao kufanya tathmini ya kitabu chako (review) kwamba ndiyo wamehalalisha au ku endorse maudhui yaliyomo kitabuni. MS, ni ajabu sana leo hii unategemea Wazungu Wakoloni na maadui wa babu zako wakubaliane na mawazo yako. Mitazamo ya Wazungu Waingereza wa Cambridge ndiyo imeishia kuwa tegemeo lako, na siyo mitazamo ya Wasomi Wazawa?Gold...
Ikiwa wewe huamini niliyoandika hakuna neno.
Ila kaa ukijua nimesimama kwingi nikikieleza kitabu hiki.
Elewa pia review ya kitabu imechapwa katika Cambridge Journal of African History.
Naamini unaijua University of Cambridge.