anasema kuwa alipanda jukwaani na jazba akashindwa kujizuia!
anasema yeye si mbunge wa kwanza kutukana
ati hivyo vilikuwa ni vionjo maana baadhi ya watu wanapenda vionjo kama watu wa pwani
mwisho anaomba radhi kwa yaliyo tokea
Anasema alipandwa na jaziba kwani alikuwa anajibu mapigo. Anasingizia kuwa yeye si wa kwanza kutumia lugha kali lakini mambo mengi aliyoyasema si kweli. Anaomba radhi ya lazima baada ya kuulizwa kwa nini asiombe radhi na kusema kwani kuomba radhi mpaka mtu uliye.
Anasema anachukizwa na kauli ya kuwaita CCM kuwa ni mafisadi kuwa si kweli kuwa wanaccm wote ni mafisadi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.