Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

Hayo ndio maneno ya Kibonde muda si mrefu wakati anamfanyia interview Lusinde.

Ombi kwa Kusaga.Tafadhali sana sana sana

Ongea na huyo bwana mdogo na mwambie kuwa huu moto wa kudharau na kuwakashifu watu wa Pwani utawatokea puani.


Nakuheshmu sana Bwana Kusaga lakini respect is a 2 way traffic na sidhani ungependelea kuona watu wa Pwani wakiamua kujibu katika namna wanayoona sawa
 
Naomba mwenye uwezo wa kurekodi mahojiano haya ayarekodi,tutayatumia muda muafaka!!
 
Clouds FM wame-indicate kuwa watakuwa na mahojiano na mbunge wa Mtera Ndg.Matusi, kwenye jahazi ,please tune in atutukane tena leo.

Tayari kisha watukana CCM wenzake wa CCM kuwa ni MASHOGA kwavile CCM wote ni Mashoga.
Read his statement : Asema wapinzani waache kusema CCM wote ni mafisadi, ingekuwa hivyo wanaume wote wangekuwa ni mashoga
 
inde anahojiwa live sasa clouds fm, wapendwa sikilizeni huyu chizi anaomba msamaha eti alirukwa na akili wakati huo anadai hajawahi kuwa mlevi. Hebu ccm mpimeni mgonjwa wenu,au mpelekeni milembe!!!!!
 
By Lusinde!!!!

CHADEMA ndio walianza kusema Sioi ni Shoga
Walimwita rais Mpaka Poda
Wamewatukana Mawziri
Maneno mengi niliyokuwa nimeyasema hayana ukweli wowote
Sio mbunge wa kwanza kutukana
Sugu alitukana sana kwenye suala la vazi la taifa'
Niliowakosea waniwie radhi
Tanzania Daima wamenitukana mimi na familia yangu
Kuna baadhi ya watu wanapenda vionjo…kama vile pwani, znz
Kuna baadhi ya watu pale Usa River bila shaka waliyafurahia yale hususani wale ambao walisikia wakati sisi tunatukanwa!
 
dah nimeisikia hiyo,eti 'kwa pwani mwanaume akiitwa shoga kawaida,ila kwa bara mwanaume akiitwa shoga ni msala'.>>anyway,nilikuwa napita tu...
 
Keshaambiwa asitukane akiwa live.

  • Anadai alipanda jukwaani akiwa na jazba akashindwa kujizuia
  • Asema wapinzani waache kusema CCM wote ni mafisadi, ingekuwa hivyo wanaume wote wangekuwa ni mashoga
  • Anasema ameshiriki chaguzi 24 mpaka sasa, hii amefikia hatua hiyo sababu amechokozwa
  • Anasisitiza suala la heshima yake kushuka halimpi shida!


Huyu jamaa anamatatizo wakuu,ati anajifanya anaomba msamaha kwa yaliyotokea kwakuwa haikuwa lengo lake,sasa anataka kutuambia kuwa alikuwa amelewa au? Anasema yeye hatumii pombe wala kilevi chochote,nani wakuamini maneno haya? Maana matusi na kauli za huyu jamaa sio kule Arumeru tu,uwa anafanya hivyo hata bungeni.Huyu anahitaji kufanyiwa checkup ya ubongo haraka sana.
 
pole sana.ila me naomba aendelee kuitwa ndugu MATUSI..Coz no matter what happens u gatto take responsibility of what u say..
 
"kuna binadamu wawili tu waliozaliwa bila nyongo,yesu na mtume mohamad"Lusinde akihojiwa leo clouds fm.
 
Dahh! Kweli huyu muheshimiwa kiboko anamaneno huyo eti chdema walisema maneno machafu ndo maana akandwa na jazba kweli?raisi eti mpalka poda,sioi eti shoga katoboa masikio ,lema jela alikuwa na bwana dahh!anaomba radhi kwa kujilazimisha ila hajakusudia kufanya hivo.hata kanisani anaweza sema kudadadeki eti amezoea mhh! Ubunge na heshima yake kushuka wala hajutii,habali ndo hiyowatu wa mtera hawana mbunge hapo bora mimi najivunia mnunge wangu sugu.
 
Back
Top Bottom