Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
Keshaambiwa asitukane akiwa live.

  • Anadai alipanda jukwaani akiwa na jazba akashindwa kujizuia
  • Asema wapinzani waache kusema CCM wote ni mafisadi, ingekuwa hivyo wanaume wote wangekuwa ni mashoga
  • Anasema ameshiriki chaguzi 24 mpaka sasa, hii amefikia hatua hiyo sababu amechokozwa
  • Anasisitiza suala la heshima yake kushuka halimpi shida!

Msikilize on Clouds FM: http://tunein.com/tuner/?StationId=139722&
 
****** ****** *******anaaibishwa kwa kutajwa yale matusi yake aliokuwa akitoa arumeru shame on him
 
Lusinde yupi,unamaanisha yule wa Kawe ambaye sasa ndo Mbunge wa Mtera?
 
kumbe ukitukana unakuwa celebrerity wabongo bhaana? Sisi tuna matatizo kuliko Lusinde
 
naona aliomba coverage ili aombe msamaha who knows? tumsikize tujue kama ataendeleza taarabu au ustaarabu
 
...nipo karibu na jengo la redio,ikirudia mitusi yake tunapasua vioo vya gari akitoka. Tukiendekeza upumbavu wake tutaonekana wapumbavu pia. Akiomba msamaha kwa Watanzania,tutamsimamisha kumpongeza!!
 
Back
Top Bottom