Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

Kiukweli huyu jamaa mi nina mashaka na uwezo wake wa akili au la ni kweli ana matatizo ya akili.Nawaonea huruma wanamtera imekula kwao
 
Niwapongeze vijana wa jahaza kwa mahojiano yasiyokuwa biased kati yao na
lusinde. Nimemshangaa huyu mh. Lusinde ambaye anajitetea kwa matusi aliyotoa kwenye kampeni. Binafsi sikusikia cdm wakimtukana siyoi ay ccm, wafuasi hasa ktk mitndao ya jamii ndiyo walikuwa wakishutumiana. Amejishushia hadhi sana sana kwa matusi aliyoto hadharani..
 
Anord kayanda anambananisha kweli kweli!kibonde kama anamtetea hivi!
 
Sijawahi kuona jamaa zero kama Lusinde. Huwezi ukatukana watu wazima waliokuzidi umri namna ile ... unless kama CCM kuna cheo cha MTUKANAJI WA CHAMA.
 
Kayanda anamuuliza vizuri Kibonde hamna kitu kama kawaida yake

Na huyu Lusinde huo msamaha anauomba haumaanishi ni kama basi tu ilmradi kasema.
 
Jamaa anasema kuwa alitukana kwa sababu alichokozwa na kwamba yeye si mtu wa kwanza kufanya kitu kibaya, kweli huyu jamaa ni kilaza
 
Napendekeza kuwa mbunge wa Mtera anahitaji course ya "Public Speaking". Kwa faida yake na chama chake.
 
Back
Top Bottom