Lunar Eclipse: June 15, 2011

some more,,scientific data pleas,,,,,achana na hizo longo longo,,,,,,,,,,mwezi utapatwa lakini sio kihivyo
 
Ktk jina la Yeshua nawashukuruni nyote wenye I LIKE,, thx again.

Mvumbuzi, Amoeba hata mimi nilikuwa kama wewe Thomaso.

Kwanza, nilipoteza kazi kwani L/Eclipse ifuta ukurasa wangu wa proffession & economy ktk Nyota ya Mbuzi. So, i lost even my ability to speak English. Si unajua hapa kwetu tunaitafutia chini ya mwembe. Kwa unayeisistiza imani, kwa taarifa yako wewe huna imani! ungelikuwa nayo ungejikita kuitafuta historia ya Ukristo kwa swali dogo tu, Kwa nini Neno lilipokelewa na Wayahudi linamakao makuu Roma?

Halafu kuhiji wanahiji Yerushalem! Yeshua amesema, tuko bize kuutafuta uponyaji ktk maandishi. Ndivyo ilivyo. Uponyaji haumo ktk maandishi ni ktk imani yenye matendo. Inavyoonekana hata maana ya neno biblia haijulikani. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi kuwa kimoja! i.e hata kama ni Alfu Ulela, abunuasi, bulicheka nk kwa pamoja ktk umoja vyaitwa biblia. Vumbua hilo. Naona wenzangu mliipokea Tanaki kama barua ndani ya bahasha, hivyo husoma juu ya bahasha na kuanza kutamba kuwa mna imani. Ok, ukweli una baki pale pale, Yeshua aliaambiwa ana mapepo, hata mitume pia.

Sasa Mvumbuzi nakushukuru kuwa tumo ktk meli moja japo in different classes. Hapo penye Kutoka 12: 14 je umelisoma neno la mwisho? ...kwa amri ya MILELE. je, kwenu ninyi amri imefika lini mwisho sasa hamli nyama siku ya Ijumaa ya Peshaki?.

Narudia imeandikwa ni jioni kumla peshaki. Yeshua katurahisishia tutumie divai badala ya kuchinja, si alijua leo hii maskini watakuwa wengi. Amri inakutaka ule mkate usiotiwa chachu siku 7. Tena Kut 12 inaanza hivi ...v 2. tena mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu...

Je Mto Yeriko hufurika Januari ya Julius Kaisari au In March/April. Je, si amri kuwa siku ya new moon ndipo tuanze kuhesabu siku ya kwanza ya miezi yetu? Soma ufunuo 2:10 ujionee jinsi kalenda ilivyoongezwa siku kumi ili kuitia dunia shida. Kisha Majira ya liyoamriwa kuanza kwa miaka yetu (Mar/Apr) ikifika Aprili 1 mnaiita siku ya wajinga!!! MAJIRA yaliyo amriwa na ELOI Tsabaothi. Mimi naongozwa na Roha Hakkodesh (Roho Mtakatifu) ndo maana nimeijua siri hii je, mbona wewe huijui?

Let us also share from what He has given to you.
 
Ktk jina la yeshua, Ebu na tujikubushe The Passion of Christ ya Meri Gibbson umeona wale waisraeli wakitamka neno Jesus? Yahu (Mungu) najua hapendi sifa zake apewe mtu mwingine na ndo maana shetani kawabana makanisani mnasoma neno hamwelewi na matokeo yake hampati yale yaliyo halisi. Nani alikwambieni kuwa Israeli kuna Jina Yesu? Kwa taarifa yako ukifika pale utapewa historia ya mtu aliyeitwa Yeshua. Ila ukienda Roma utakutana na Jina la Yesu. Choka mbaya asante sana kwa kunitambua kama Pepo aliyemsumbua Petro. Lakini ukweli wa Majira unabakia kama Mvumbuzi alivyobainisha ktk Kutoka 12. HaleluYahu!!!!!
 
Katika jina la Yeshua ndugu Babuwaloliondo si jukumu langu kukuelezea mambo ya capricon. Ila mwezi unapatwa andika wishes zako zisome kisha zichome karatasi hizo. Zab 89:37, Hab 2:2 je, hamkusoma Yahu huruhusu jambo lolote atakalo? Hosea 1:2
 
Ktk jina la yeshua, Ebu na tujikubushe The Passion of Christ ya Meri Gibbson umeona wale waisraeli wakitamka neno Jesus? Yahu (Mungu) najua hapendi sifa zake apewe mtu mwingine na ndo maana shetani kawabana makanisani mnasoma neno hamwelewi na matokeo yake hampati yale yaliyo halisi. Nani alikwambieni kuwa Israeli kuna Jina Yesu? Kwa taarifa yako ukifika pale utapewa historia ya mtu aliyeitwa Yeshua. Ila ukienda Roma utakutana na Jina la Yesu. Choka mbaya asante sana kwa kunitambua kama Pepo aliyemsumbua Petro. Lakini ukweli wa Majira unabakia kama Mvumbuzi alivyobainisha ktk Kutoka 12. HaleluYahu!!!!!

Wasamehe hawajui watendalo. Ndugu sina uwezo wa kukuhukumu ila Mungu hataacha uendelee kuwa gizani bali atakukomboa kutoka katika huo ujinga tu. Tubu dhambi zako ukaujue ukweli achana kuwatumikia mapepo wachafu. hayo mambo peleka makaburini kwenye mifupa ya wafu na siyo ulete huku ambapo watu wamefunguka na wanaijua kweli.

Umepotoka, umepotea unatakiwa urudi. ni ngumu kumdanganya mtu mzima kama ulivyoona humu hakuna aliyekuunga mkono hata mmoja. na kama uliingia kwa gia ya kupata wateja wa huo utabiri wako feki ni kwamba failure ni 100% na try somewhere else huku hakuna mjinga wote wajanja watupu. Usijaribu tena kuleta mambo ya giza humu.
 
Ktk Jina la Yeshua nakushukuru sana Mvumbuzi kwa ukiri wako kuwa utakatifu huja kwa kufanya na kutii maneno yenye maagizo ya Yahu Eloi wetu na si maagizo ya watu wapotoshaji kama ilivyo Peshaki.

Pia nakupongeza kwa juelewa kuwa dini haiondoshi rushwa wala magonjwa. Umechangia vyema, ila Paulo a.k.a sauli hakuwa M-roma japo aliwaua sana wafuasi wa Yeshua.Na elewa kuwa aliyemshitaki na kumhukumu Yeshua si the Romans ila viongozi wa zile dini 3 alizozikuta Yeshua duniani = Wayahudi. Mwisho kabisa pilato hakupelekwa na Augusto Kaisari Yerushalemu kupeleka U- roma bali kukusanya kodi na kusimamia sheria. Mtawala wa wakati ule alikuwa Herode Junior from Idumea.

Upo hapo?
 
Ktk Jina la Yeshua

...Umepotoka, umepotea unatakiwa urudi. ni ngumu kumdanganya mtu mzima kama ulivyoona humu hakuna aliyekuunga mkono hata mmoja. na kama uliingia kwa gia ya kupata wateja wa huo utabiri wako feki ni kwamba failure ni 100% na try somewhere else huku hakuna mjinga wote wajanja watupu. Usijaribu tena kuleta mambo ya giza humu... 'Ndugu asante sana, kwa maneno haya, sikuja kuungwa mkono humu. hii si siasa. bali nilikuja kutoa mtazamo wangu. Mtu anayejua Neno takatifu kama wewe sitegemei kuropoka maneno kama haya.

Am sorry. Lakini Ukweli unabakia ule ule niliousema toka mwanzo wa habari yangu hii. HaleluYahu
 
Mimi si mtabiri hata sikurithishwa mkoba, ila mnamo julai 16,2000 kupatwa kwa mwezi ktk Mbuzi 24[SUP]o[/SUP]19[SUP]'[/SUP]kuliniharibia future yangu yote hata sasa ndo naanza kusimama. Nilinyooshewa vidole na kila aliyeniona. Nilipoteza kazi na elimu yangu ya digrii pia. Sikuweza kusaidika. si kanisani si kwa akina sangoma. Nilijiuliza sana sana hata nikaanza kufuatia kifungu kimoja kimoja cha biblia kadri nilivyovuviwa. Naikumbuka sana Waamuzi Ya 5:20, Yer 33:20, Zab 19:1-3, Zab 81:1-4, Yoel 3 Mathayo 26 n.k ndipo nilijikita kuangalia kuna nini ktk anga kumbe kuna vitu vingi kama isemavyo Zab 19 (planetary aspects), kwa hiyo niligundua kuwa kumbe past yangu ilikuwa inekunjwa kama karatasi, na nikajifunza jinsi ya kutumia mawe (gems) kuepukana na madhara ya aspects. Kutoka 28:15-30.
Baada ya kuijua siri hii ndipo nikaanza kufanya "remedies" na sasa naanza kusimama dede, kabla nilikuwa nadanganywa tu na wanazuoni oh! funga na utoe sadaka nyingi mara kalete kuku, wapi na wapi , mbingu ilikuwa imepokea hukumu yangu tayari na kuniweka gizani (natural jugdement). Ezekiel 32:7-10 (nyota zako zitiwapo giza na Yahu nani atakuwashia mwanga?) Mat 6:22.
Asanteni



Kheeeee! Umeenda kwa kina Sangoma mpaka umekuwa Sangoma mwenyewe.

Njooo ufanyiwe maombiiiii,
Njooo uombewe,
Njoo ufanyiwe maombezi Danniair wewe,
Kwa jina la Yesu!
Ukiombewa tatizo lako ni dogo..... (Mwaitege na Chupaku)
 
ktk usiku huu unashauriwa usifanye haya: tendo la ndoa, usigombane, usiseme uongo, usile.

Mheshimiwa,

Najua kuna mafundisho ndiyo ya kuzijua sayari nk ya Abuu Bako kama nimelipatia jina lake vizuri. lakni najua neno la Mungu limekuja kutuweka huru mbali na dhambi, dhamira zetu ziamue lipi jema na lipi baya. Dhamira yako isipokuhukumu na kwa kufuata mwongozo wa msahafu (biblia) utajua jambo lipi jema na lipi halifai. Ila napata shida unaposema ktk usiku wa leo hayo niliyoyawekea rangi nyekundu yasifanyike. Sina maana nahusudu sana hayo lakini naona hapo ni uganga kuanza kuambiana hiki hapana na hiki ndiyo. Unarudi kwenye sheria! nikijisikia leo kufanya hayo na mtu wangu niliyepewa kihalali kabisa na baba paroko utaniambia hapana kwa kuwa mwezi unapatwa? kwa hilo sijaelewa.

Ni kweli siijui hiyo elimu ya sayari lakni nadhani hayo uliyoyaandika yanaelekea siko!
 
Samahani, ni usile wakati process ya eclipse inaendelea halafu sikusema ufuate huo ni ushauri wangu tu.
 
tumetaarifiwa kwamba leo kuanzia saa 3:20 usiku ni kupatwa kwa mwezi, ni vyema wote tukishudia tukio hilo.
 
ni total ndugu yangu utadumu hadi saa 5 usiku za huko tanzania kuna mtu katoa thread kama hii isome au angalia google iko live pia.
 
Vyovyote inaweza ikatokea kama ni full inaweza ikawa ni giza kabisa au uwekundu wekundu flani kama damu ya mzee, lkn kwa jinsi navyoona kwa sasa kagiza nzito kamejitokeza kwa chini kama vile mwezi unazama vile!
 
kwa walio nothern europe jua bado lawaka hatuna bahati hiyo. angalieni google.com wanaonesha live
 
Back
Top Bottom