Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Kweli nimeona mkuu
but penumbra ni partial shadow and umbra is total darkness ,this umbra i think?Nadhan itakuwa penumbra, penumbra inachukuwa sehemu kubwa alaf umbra itakuja baadae ambayo itachukua sehemu ndogo. Kama nimekosea tayari kusahihishwa!
Ahahahaah!!umefika nusu sasa,nadhani ndo mwisho wa dunia unakaribia hivo!
Saa hizi nyinzie inamesa nyensake!umefika nusu sasa,nadhani ndo mwisho wa dunia unakaribia hivo!
Wakuu
Msikose kuangalia kupatwa kwa mbalamwezi usiku huu,tukio kubwa la kihistoria
Natamani ningeruhusiwa kuwa na wanafunzi wangu leo
Models based Newtons laws of motion applied to planetary motion,can predict eclipses to high degree of accuracy.Hapa hamna.ushirikana calculus, applied mathematics na fizikia zinatawala.scientific proof...
kweli jografia yangu hapo mwisho, imebaki imani tu!Naona Sugi geographia yako imefikia kikomo hapo.
Natamani ningeruhusiwa kuwa na wanafunzi wangu leo