Lunar Eclipse: June 15, 2011

Nimesoma maoni ya wana JF inanishangaza sana kuona tulivyo na mitazamo finyu sana.

Kwa taarifa biblia inasisitiza sana kuyajua majira. Ndo maana kila mwaka pasaka inaendana ni jumapili ya kwanza ya mbalamwezi baada ya jua kupita "equinox" kati ya tarehe 20/21 March kila mwaka. Kama hili dogo hulijui na lililo dhahili je utazijua siri za CCM na CHADEMA unazozipigia kelele kila siku?

Kwa taarifa yako pasaka ni maagizo ya watu na si maagizo ya biblia. Biblia maagizo yake ni peshaki kuwa siku ya 14 ya mwezi wa kwanza (New moon) na haifati zig-zag. Pia huhitaji PHD ili kujua kuwa anga ni uumbaji wa siku ya nne na ina amri zake. Au revoir!
 
Mimi si mtabiri hata sikurithishwa mkoba, ila mnamo Julai 16, 2000 kupatwa kwa mwezi ktk Mbuzi 24[SUP]o[/SUP]19[SUP]'[/SUP] kuliniharibia future yangu yote hata sasa ndo naanza kusimama. Nilinyooshewa vidole na kila aliyeniona.

Nilipoteza kazi na elimu yangu ya digrii pia. Sikuweza kusaidika, si kanisani si kwa akina sangoma. Nilijiuliza sana sana hata nikaanza kufuatia kifungu kimoja kimoja cha biblia kadri nilivyovuviwa.

Naikumbuka sana Waamuzi Ya 5:20, Yer 33:20, Zab 19:1-3, Zab 81:1-4, Yoel 3 Mathayo 26 n.k ndipo nilijikita kuangalia kuna nini ktk anga kumbe kuna vitu vingi kama isemavyo Zab 19 (planetary aspects), kwa hiyo niligundua kuwa kumbe past yangu ilikuwa inekunjwa kama karatasi, na nikajifunza jinsi ya kutumia mawe (gems) kuepukana na madhara ya aspects. Kutoka 28:15-30.

Baada ya kuijua siri hii ndipo nikaanza kufanya "remedies" na sasa naanza kusimama dede, kabla nilikuwa nadanganywa tu na wanazuoni oh! funga na utoe sadaka nyingi mara kalete kuku, wapi na wapi , mbingu ilikuwa imepokea hukumu yangu tayari na kuniweka gizani (natural jugdement). Ezekiel 32:7-10 (nyota zako zitiwapo giza na Yahu nani atakuwashia mwanga?) Mat 6:22.

Asanteni

Kwa ufupi;

Wewe ni mnajimu na unajidai kutumia mistari ya Biblia kutuweka njia panda ili tukuamini kitu ambacho hutafanikiwa. Kwanza kusema tusioge hayo ni masharti ya KIGANGA na mimi kama MKRISTO ninayeijua Biible nina KU-PROVE WRONG KWA 100%.

Kwa jinsi unavyoeleza unataka kutuambia kwamba Biblia haisemi kweli na haijakusaidia bali kilichokusaidia ni gems. Nataka nikueleze clearly kwamba wewe ulifanya makosa kwani hukufanya maombi na hukuwa na imani katika Bwana Yesu otherwise huu uganga wako unatupotosha hapa na unataka kufiisha imani zetu tukuamini. That will not happen ondoa uchawi humu.

Kilichokuponza ni kukosa imani kama ilivyo hapa Mathayo 17:19-21 na msisitizo ni mstari wa 21. Pia soma Mathayo 21:21-22. Wewe unataka kupotosha watu kwani hakuna lisilowezekana kwa Bwana Yesu kama una imani.
 
Nimesoma maoni ya wana JF inanishangaza sana kuona tulivyo na mitazamo finyu sana.

Kwa taarifa biblia inasisitiza sana kuyajua majira. Ndo maana kila mwaka pasaka inaendana ni jumapili ya kwanza ya mbalamwezi baada ya jua kupita "equinox" kati ya tarehe 20/21 March kila mwaka. Kama hili dogo hulijui na lililo dhahili je utazijua siri za CCM na CHADEMA unazozipigia kelele kila siku?

Kwa taarifa yako pasaka ni maagizo ya watu na si maagizo ya biblia. Biblia maagizo yake ni peshaki kuwa siku ya 14 ya mwezi wa kwanza (New moon) na haifati zig-zag. Pia huhitaji PHD ili kujua kuwa anga ni uumbaji wa siku ya nne na ina amri zake. Au revoir!
Usitukane watu humu mtizamo finyu ni huu wa kwako wa kukosa Imani katika Mungu na kukimbilia unajimu.

Wewe unaishi ktk ulimwengu wa nguvu za giza unaoongozwa na mkuu wenu Lucifer na jeshi lenu la mapepo na ma agent ambao wewe ni mmojawapo. kujipenyeza huku kwa mtindo uliokuja nao ni jaribio ambalo halitafanikiwa nakushauri ukaje na topic nyingine na si ya Kiganga kama hii.

Pasaka siyo maagizo ya watu bali maagizo yaliyoko ktk Biblia ku-mark event kubwa ya hukumu ya Mungu kwa Wazaliwa wa kwanza wa Misri likiwa pigo la mwisho la Mungu kwa wamisri liliomfanya Pharao kuachia wana wa Israel. Pasaka au passover ina mark siku ambayo Wana wa Israel walianza rasmi safari ya kuondoka Misri na wakawa wanaiadhimisha siku hii kwa kipindi chote cha miaka 40 waliyosafiri kuelekea Kaanani. Hata Yesu aliadhimisha Pasaka na aliiheshimu mno Soma Luka 22:15.

Inakuwaje unasema ni maagizo ya watu na siyo ya Biblia. Which bible are you talking about na kama ni hii Biblia tunayotumia Wakristo basi ujue hujaisoma wal huielewi.
 
Tuelewane humu ndani anapoanza kusema ili kuondoa utata afanye hivi,anayesema kibiblia na asema'katika jina la yesu',anayesema kwa unajimu na aseme'kwa jina la sheik'na anayesema kwa sayansi aseme 'kwa jina la elimu dunia'...hii itatusaidia kila mmoja kujua mfuasi wake la sivyo nyote mtaonekana mnatengeneza myths
 
Mvumbuzi my dear,

Leo nakuomba uvumbue hili pia, tafuta neno EPHOD ujionee mwenyewe. you can even search it from webs. Jisomee 1 Nyakati 12:32 Uijue kazi ya Isakari Clan. Wale Mamajusi unaowasoma kila siku walikuwa wakiishi Babeli ambako Daniel alikuwa. Na elimu ya anga ilikuwa kwao ndo kalenda kabla ya Julius kuleta ushetani wa kalenda jua badala ya kalenda mwezi ambayo imeamriwa katika Biblia.

Imani bila matendo hiyo si imani na matendo ndo haya ya gems.Yeshua (Yesu kwa wakristo) aliifuata peshaki na si pasaka. Peshaki na pasaka,Haya ni maneno mawili tofauti, geukia Israel utaona tofauti ya Uroma (ukristo) na Uyahudi lilipotoka Neno takatifu. Ukiijua tofauti zote mbili itakusaidia kujua kuijua kweli.

Pia soma ile Daniel Ya 9 ujue wenzio walivyojua jinsi ya majira. Ah, ah, ahhhhh. Lucifer kawafunga ktk minyororo ya Uroma na Mapepo. Poleni weeee.

Kama kawaida ya shetwani utawakuta akina Yahya nao wanakudanganyeni mnawakubali tuuu. Vivyo hivyo wanadini toa sadaka, pepo toka lakini haiwaingii akilini mbona hawawezi kuitoa nchi ktk taabu ya rushwa!! Mbona viwete bado ni wengi Tz, nk, wao hao wanamlaani Babu wa Loli!!

Pole.
 
Rweye mimi sisemi kwa jina la Yesu (Ukristo) bali kwa jina la YESHUA Uyahudi. Pili narudia Pasaka ni maagizo ya watu, Tazama Imani ya Nikea (Azimio la Nikkea) ujitafutie uone Constantine the Great alifanya nini.

Mvumbuzi, li wapi Neno ktk Biblia lisemalo siku ya ijumaa ya pasaka tusile nyama? Au tuwe na siku 40 za kwarezima kabla ya pasaka? Pamoja na peshaki kuwa modified 3 times ktk Tanaki (Biblia) toka wakati wa Moshee, Ezekiel na Yeshua BADO siku ni ile ile ya 14 jioni.

Peshaki inaliwa ndani ya nyumba zenu...tumle wapi peshaki? Yeshua anawaambia nendeni kwa fulani tutakula humo na hakusema nendeni hekaluni/kanisani. Hakuna maagizo ya peshaki kuliwa mchana bali jioni (Usiku). Kwa hilo dogo tu, nani anamtumikia shetani kwa maagizo ya wanadamu mimi au....?

Mh! haiitaji PHD kusoma na kuelewa practise ya Tanaka, ninyi na viongozi wenu mu- vipofu? Isaya 3:12. Amosi analia kwani mnaangamia kwa kukosa maarifa. Pole wee.
 
Ktk jina la Yeshua peshaki maana yake ni kuchinja kondoo/mbuzi. Luka 22:7-13, je, kinachochinjwa hapa ni nini? I wapi mikate ya mateso? Mmevamia tu. Kwa imani hii potofu ndo maana sikupata uponyaji hata nilipoijua kweli nayo imeniweka huru kweli kweli. Pia mimi sikutoa mambo haya Membechai bali Hapa hapa Ndani kwangu POSTA.
 
sasa mbona ni wengi tu wanapona, wanakombolewa, wanafunguliwa kwa jina laYesu? una maoni gani kuhusu Yesu Kristo? unatumia msahafu gani kwa imani yako?
 
Mvumbuzi my dear,

Leo nakuomba uvumbue hili pia, tafuta neno EPHOD ujionee mwenyewe. you can even search it from webs. Jisomee 1 Nyakati 12:32 Uijue kazi ya Isakari Clan. Wale Mamajusi unaowasoma kila siku walikuwa wakiishi Babeli ambako Daniel alikuwa. Na elimu ya anga ilikuwa kwao ndo kalenda kabla ya Julius kuleta ushetani wa kalenda jua badala ya kalenda mwezi ambayo imeamriwa katika Biblia.

Imani bila matendo hiyo si imani na matendo ndo haya ya gems.Yeshua (Yesu kwa wakristo) aliifuata peshaki na si pasaka. Peshaki na pasaka,Haya ni maneno mawili tofauti, geukia Israel utaona tofauti ya Uroma (ukristo) na Uyahudi lilipotoka Neno takatifu. Ukiijua tofauti zote mbili itakusaidia kujua kuijua kweli.

Pia soma ile Daniel Ya 9 ujue wenzio walivyojua jinsi ya majira. Ah, ah, ahhhhh. Lucifer kawafunga ktk minyororo ya Uroma na Mapepo. Poleni weeee.

Kama kawaida ya shetwani utawakuta akina Yahya nao wanakudanganyeni mnawakubali tuuu. Vivyo hivyo wanadini toa sadaka, pepo toka lakini haiwaingii akilini mbona hawawezi kuitoa nchi ktk taabu ya rushwa!! Mbona viwete bado ni wengi Tz, nk, wao hao wanamlaani Babu wa Loli!!

Pole.

Sheikh Yahaya Jr. naomba ni-kuprove wrong halafu nikuonye kutumia kitabu cha Biblia takatifu kwa kufanyia uganga. Yesu hajawahi itwa Yeshua. Pili Yesu alifuata pasaka na siyo unachokisema kasome nilipokuonyesha Luka 22:15 Inasema hivi" Nimetamani sana kuila PASAKA( na siyo Peshaki) hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu"

Pia Ukristo siyo uroma na ndiyo maana utawala wa Roma uliokuwa ukitawala enzi za Yesu ulitoa kibali cha kuuwawa wakristo na huu utawala uliongoza kwa kuwaua wafuasi wa Kristo na kuwafunga gerezani baadhi ya mitume kama Petro, Paulo, Philipo na hata akina Yohana.

Pilato alikuwa mwakilishi wa Roma huko Uyahudi wakati wa enzi za Yesu na kama Uroma ungekuwa Ukristo basi Pilato angemtetea Yesu ili kupromote UROMA kama unavyojitahidi kupotosha watu humu. Soma bibilia haswa vitabu vinne vya Injili yaani , Mathayo, Marko, Luka na Yohana utakuta clearly kwamba Pilato ambaye alikuwa Liwali au gavana wa serikali ya Roma alishindwa kumtetea na kuwawaruhusu wayahudi kumsulubisha Yesu.
Unataka kuwachanganya walio wachanga kiroho humu na hutafanikiwa kuugeuza uongo uwe kweli hata siku mmoja.

Pia elewa rushwa imekuwepo na udhalimu ktk dunia umekuwepo na kazi kubwa ya Neno la Mungu ni kuuondoa huu uovu ikiwepo rushwa. Kumbuka Mungu alimwekea mwanadamu duniani na kumpa uhuru ila akampa tahadhari kwamba asimwasi Mungu kwa kufuata yasiyo mema.
Kumbuka pia binadamu amepewa utashi wa kuamua kufanya jema au akimkubali shetani kufuata uovu na ndiyo maana Yesu aliwahi sema kama binadamu wasingekuwa na dhambi asingekuja duniani.

Kwa hiyo ujue dunia siyo takatifu sana from the very begin bali utakatifu huja kwa kufuata na kutii maneno yenye maagizo ya Mungu. Kwa hiyo dini haiwezi kuondoa rushwa wala kila ugonjwa na ndiyo maana hata enzi ya Yesu wagonjwa na wala rushwa walikuwepo na hawakwisha mpaka leo.
 
Ktk jina la Yeshua,

Nani alikwambia ukipona ubakie kuwa mtumwa wa aliyekuombea? Mbona kwa babu wanakunywa dawa tu na kuondoka kurudi makanisani mwao. Wamebaki kulalama hoo hatumii jina la Yesu, kama kapewa siri afanye makosa? Ok, hata ktk Tanaki kuna wachawi wengi tu walioponyesha watu hata Yahya pia. Soma juu ya Mtume Petro na mama mchawi. Je, walioponywa na Yeshua wote walimfuata kila alipokwenda? Mmefanywa watumwa wakati anga ni la wote.

Maoni yangu kuhusu Yesu Kristo, nakutuma nenda kajitafutie hisoria ya jina hilo mpaka ujue kuwa hilo ni modified name of ZEU. Ukizingatia kuwa Neno halitoki Roma bali Israel. Msahafu ninaoutumia umeandikwa BIBLIA takatifu (king james version). Ni nakili ya Tanaka Iliyochapishwa mwaka 1611 kwa mara ya kwanza, nayo ilinakili Biblia origino iliyopitishwa na Athanasius wa Alexandria mwaka 382CE ambaye alikuwa askofu wa Alexandria Misri na ndiye aliweka maneno haya ya mwisho ktk Tanaka "kama mtu yeyote akipunguza...Uf 22:19".

Ukiijua kweli itakuweka huru kweli kweli. Upooo? Huitaji PHD neno liko hapo ulipo.
 
Ktk jina la Yeshua peshaki maana yake ni kuchinja kondoo/mbuzi. Luka 22:7-13, je, kinachochinjwa hapa ni nini? I wapi mikate ya mateso? Mmevamia tu. Kwa imani hii potofu ndo maana sikupata uponyaji hata nilipoijua kweli nayo imeniweka huru kweli kweli. Pia mimi sikutoa mambo haya Membechai bali Hapa hapa Ndani kwangu POSTA.

Luke 22: 7: Then came the day of Unleavened Bread on which the passover lamb had to be sacrificed. hamna mahali palipoandikwa kwamba Pasaka maana yake ni kuchinja kondoo. Nimekwambia pasaka ni tukio ambalo maana yake ni Passover na mwanzo wake soma hapa: Kutoka 12:12-16 ili ujue kwanza Pasaka ni agizo la Mungu na siyo la wanadamu na pia ujue chimbuko la Pasaka na siyo kuchemka tu humu.

Uponyaji unatokana na imani yako kuamini kwamba unayemwendea anayo nguvu na uwezo wa kukuponya na wewe unaonekana hukuwa na Imani sasa ungeponaje?
Chanzo cha matatizo yako ni wewe mwenyewe kwani hata biblia inasema pasipo imani huwezi kumpendeza Mungu na hii quality wewe umekosa na huwezi pata chochote kwa Mungu tunayemzungumzia ktk Bible.
 
Mimi si mtabiri hata sikurithishwa mkoba, ila mnamo julai 16,2000 kupatwa kwa mwezi ktk Mbuzi 24[SUP]o[/SUP]19[SUP]'[/SUP]kuliniharibia future yangu yote hata sasa ndo naanza kusimama. Nilinyooshewa vidole na kila aliyeniona. Nilipoteza kazi na elimu yangu ya digrii pia. Sikuweza kusaidika.

Hapo kwenye redi kama sijakusoma vizuri! Kazi ulipoteza, na elimu ulipoteza pia?
....TAWILE, TAWILE BABA!
 
Ktk jina la Yeshua,

Nani alikwambia ukipona ubakie kuwa mtumwa wa aliyekuombea? Mbona kwa babu wanakunywa dawa tu na kuondoka kurudi makanisani mwao. Wamebaki kulalama hoo hatumii jina la Yesu, kama kapewa siri afanye makosa? Ok, hata ktk Tanaki kuna wachawi wengi tu walioponyesha watu hata Yahya pia. Soma juu ya Mtume Petro na mama mchawi. Je, walioponywa na Yeshua wote walimfuata kila alipokwenda? Mmefanywa watumwa wakati anga ni la wote.

Maoni yangu kuhusu Yesu Kristo, nakutuma nenda kajitafutie hisoria ya jina hilo mpaka ujue kuwa hilo ni modified name of ZEU. Ukizingatia kuwa Neno halitoki Roma bali Israel. Msahafu ninaoutumia umeandikwa BIBLIA takatifu (king james version). Ni nakili ya Tanaka Iliyochapishwa mwaka 1611 kwa mara ya kwanza, nayo ilinakili Biblia origino iliyopitishwa na Athanasius wa Alexandria mwaka 382CE ambaye alikuwa askofu wa Alexandria Misri na ndiye aliweka maneno haya ya mwisho ktk Tanaka "kama mtu yeyote akipunguza...Uf 22:19".

Ukiijua kweli itakuweka huru kweli kweli. Upooo? Huitaji PHD neno liko hapo ulipo.

Mkuu unaweza kuwa na the RIGHT BOOK lakini ukawa possessed by the WRONG SPIRIT na hii ikawa counterproductive na Biblia ikabaki kwako kama tu vitabu vingine vya hadithi. Biblia inasema wote wanoongozwa na Roho w Mungu hao ndio wana wa Mungu wewe ndugu unaongozwa na roho ipi kwani ungekuwa unaongozwa na Roho wa Mungu usingeshindwa kutafsiri Bible kwa kiwango cha juu namna hii.

Biblia siyo tu kitabu cha kawaida ila ukiwa na Roho Mtakatifu ukisoma utaipata the right message na si kutafsiri Biblia tu kama vitabu vya Alfa Lela U Lela. Hiyo Biblia uliyonayo inawezekana ni yenyewe kwa maana ya kitabu ila kwa sababu unaongozwa na roho wa shetani ambaye ni mpinzani wa Bible basi atakuongoza upate tafsiri anayotaka baba yenu lucifer. Ukiwa na roho Mtakatifu unaweza kupata mesaage ya kukusaidia zaidi kuliko message unayotoa kwani imeandikwa humo pia kwamba shetani anatumia the same bible kupotosha maana yake.

You're wrong na nitaendelea kuku-prove wrong kwani haijawahi tokea hata siku moja shetani au maagent wake wakamshinda Yesu similarly hata ma agent wa shetani kama wewe hutaweza kuwashinda watoto wa yesu
 
Rweye mimi sisemi kwa jina la Yesu (Ukristo) bali kwa jina la YESHUA Uyahudi. Pili narudia Pasaka ni maagizo ya watu, Tazama Imani ya Nikea (Azimio la Nikkea) ujitafutie uone Constantine the Great alifanya nini. Mvumbuzi, li wapi Neno ktk Biblia lisemalo siku ya ijumaa ya pasaka tusile nyama? Au tuwe na siku 40 za kwarezima kabla ya pasaka?

Pamoja na peshaki kuwa modified 3 times ktk Tanaki (Biblia) toka wakati wa Moshee, Ezekiel na Yeshua BADO siku ni ile ile ya 14 jioni. Peshaki inaliwa ndani ya nyumba zenu...tumle wapi peshaki? Yeshua anawaambia nendeni kwa fulani tutakula humo na hakusema nendeni hekaluni/kanisani. Hakuna maagizo ya peshaki kuliwa mchana bali jioni (Usiku). Kwa hilo dogo tu, nani anamtumikia shetani kwa maagizo ya wanadamu mimi au....?

Mh! haiitaji PHD kusoma na kuelewa practise ya Tanaka, ninyi na viongozi wenu mu- vipofu? Isaya 3:12. Amosi analia kwani mnaangamia kwa kukosa maarifa. Pole wee.

Vitu ulivyovisoma kuhusu unajimu umevipitia juju halafu unataka kuvifanyia mazoezi humu. Wewe huelewi unachosema na hayo majina ya Yeshua na Peshaki hayamo ktk hiyo Bible ya King James.

Unahitaji kufanyiwa maombi ufunguliwe kwenye umbumbumbu ulio nao kuhusu Biblia. Umepotoka hujui ufanyalo na hapa umechanganya vitabu vya unajimu na Biblia. Elewa Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo hachanganywi na miungu mingine na hapo ndo unakosea. Huwezi kuwa stadi kwenye unajibu bado ukawa stadi kwenye mambo ya Mungu aliye hai utakuwa unajidanganya. Bora major kwenye unajimu au amua kumtumikia Yesu na utubu ili uokoke.

Unachofanya hapa ni kutaka kupotosha tu na hiyo nafasi hutapata labda ukafanyie huo ujinga kule Kombai.
 
Back
Top Bottom