Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

I did expect this kind of output 4 the type of govt we r having. Thanx Luhanjo and all cabinet members if ts true also welcm Jairo as ur the hero 4 opening the millions of eyes of Tanzanians.
 
Lengo lilikuwa kupitisha bajeti ya Nishati na Madini....ilishapitishwa, Jairo hawezi kuwa na 'hatia tena'!
 
well.. I know I was right on this one. Shelukindo na wenzake hawakuwa na mkakati wa kweli wa kumlipua Jairo it was just the same theatrics of political triangulation. This one was easy.
Nakubaliana na wewe MKJJ mimi naweza kwenda mbali kidogo wewe umesema it was theatrics mimi nasema it was a pre planned tricky ku pre empt upinzani ulioonekana bungeni kwenye wizara hiyo, huku mitaani tunaufananisha na ujio wa kikombe cha babu.
 
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho

Juu ya ukweli wa hii taarifa naomba niruhusuwe niwe doughting tomaso, lazima nione viganja ndio ni amini. Ya wezekana ni watu wa idara ya hali ya hewa mko kazini na kipima upepo( you call it barometer sio?). Inasemekana mnatumia mbinu za zamani kupima hali ya hewa.

Bali ni furusa ya kuona wachaingiaji ambao wako idara ya hali ya hewa. Ila wafikishiene ujumbe huu mitaa hali ya hewa ni mbaya sana mvua na upepo ni mwingi sana ikiongezeka na hiyo sunami ya jairo tena, si ajabu sunami inayoikumba libya sas ikatokea na hapa kwetu.
 
Hivi vyama vya upinzani wanajua hii trick anayoisemea mwanakijiji ya politics trigulation
 
Kwa mara ya kwanza napingana na serika yangu! Kama hili ni kweli, Katibu mkuu kiongozi na secretariet yake watakuwa hawakumtendea haki Pinda!

Bythe way, let the system work.
 
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Ndo serikali hii hii kucha kuchwa unayoiteteaga hapa. Haijabadilika ni ile ile, so hakuna haja ya kupiga mayowe, itetee tu mwanzo mwisho
 
Ni kwamba
  • Huu mchezo wapesa za "mawasiliano" za bejeti unachezwa na wizara zote. Ni kawaida.............
  • kuthibitisha Jairo ana kosa ingebidi kwa mara ya tena serikali ivunjwe sababu ni mchezo wa kawaida tatizoni taarifa imekuwa in public
  • Kuna wabunge wa CCM, CDM, CUF, NCCR walishapokea pesa hizi za "mawasiliano" za wizara nyingine. Ndio maana hata hao tunadodhani ni wapiganaji wamekuwa kama wamenyeshewa mvua.
Labda kosa alilofanya Jairo ini kuomba idara zilizo chini yake zichangie lakini inaonekana wizara nyinginez ina fungu hili bila kuhitaji msaada.

Kwa mara ya kwanza napingana na serika yangu! Kama hili ni kweli, Katibu mkuu kiongozi na secretariet yake watakuwa hawakumtendea haki Pinda!
Bythe way, let the system work.

Hahahhaha imebidi nicheke baada ya kusoma comment yako japo hii thread haina habari ya matumaini kwa watanzania
Lakii inashangza mambo ya nchi yetu yanavyokuwa handled kwani wa kumclear Jairo ni Luhanjo au ni TAKUKURU na Polisi
.
 
Na bado....

Inabidi madudu yaendelee hivi hivi mpaka ifike 2015 ndo watanzania wataamka kuona kuwa kweli CCM imeoza na haifai!!!!

Inabidi hali iendelee hivi hivi, mambo hayawezi kutengenezwa mpaka yaharibike sana. Safi sana Luhanjo!!
 
kama Pinda angekuwa na ujasiri angejiuzulu kwa kuwa alishatamka bungeni kuwa nastahili kufukuzwa kazi kwa kuwa makosa aliyotenda hayawezi kutetewa kwa namna yoyote ile ila hakuwa na malaka hayo kuwa sio yeye aliyemteua.
 
Jamani hizi tuhuma hazikuwa na uzito kama kina Shelukindo walitaka. Si mnaona waasi wa Libya wanavyohangaika kuhold ground?
 
nimekaa chini nikajiuliza ukweli wa hii habari ili niweze kuendelea na kazi inabidi nisiiamini kwanza..
 
Sasa source wako nani??? Na kwanini unaongea issue sensitive namna hiyo kwa ufupi kiasi hicho bila details? Yaani umeniharibia siku yangu leo mara mbili, kwanza kwa kuandika jambo zito kwa ufupi sana, pili kama ni ukweli basi siku yangu leo ndo imekuwa mbaya zaidi!
Source TC this afternoon
 
Please Guys! Lets not make fun out of such sensitive matter....................................Someone say It's a Joke .....................
 
As Long as madudu yanaongezeka, ndio njia rahisi wakina-rejao, kuungana na wapiganaji! Keep Going Vasco, ujitengenezee kijitabu chenye jina "Rais wa mwisho kwa serikal ya CCM"
 
Ningeshangaa sana kama Jairo angefukuzwa. Hata yule Mkurugenzi wa Wanyama pori itabidi arudishwe kazini na kulipwa fidia ya kuchafuliwa na Shellukindo huyohuyo. Anayestahili kutimuliwa ni JK pekee na sio mwingine
 
Back
Top Bottom