Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

haijawahi kwenye historia ya ccm, mtu anaetaka kuwa rais na mwenyekiti wa ccm
'akamponda waziwazi na kumdhalilisha mwenyekiti aliekuwepo madarakani'
bado mshtuko na athari zake hatujaziona bado..
the game this time is so different.........we have the unknowns unknowns so far.....
Sasa alipokuwa waziri mkuu sijui ilikuwaje...

Kama ni kweli stori kuwa aliingizwa "force kingi" kujiuzulu, yaani ka alipigwa bao lakisigino,(endapo ni kweli aliongopewa aandake barua ya kujiuzulu), maybe JK alishauriwa na someone else...Then jamaa atakuwa na hasira sana tu...

And that the difference.
 
Siwasapoti wote lakini kwa maoni yangu Membe si size ya EL. EL ni chama kubwa heavy weight hivyo hili pambano halistahili kuitwa thriller in manilla
 
In sad mind I'm contributing to the thread to see how even great thinkers are captivated by CCM such that they cannot fathom the idea of 2015 man of the nation to come outside of CCM!. It is so pathetic to see this even after all unprecedented corruption evils that the nation has witnessed under the rule of the party by the people of the party at the expense of the weary taxpayers. Now I am starting to beleive the casual words uttered by one member of the CCM party -- that CCM is here to rule forever no matter what!

No matter how i distaste the idea of Membe vs Lowassa for the presidency but if it were to be, God forbid, where would I bet my hard earned money? To be sincere, I would give a go for Lowassa. Why? Because the man is not a hypocrite. CCM is full of hypocrite corrupters and it seems to me that Lowassa is only a man who is not a double dealer in the town game. He is corrupt and he knows it but he is not afraid to tell of his corruption as part of grand scheme that contains even his boss -- the chairman of the party himself. Membe is just a hypocrite who pretends he is something when he is nothing. he was eve prepared to sell the nation to a bunch of human right violaters, the so called OIC (Organisation of Islamic gangs).
 
The problem is that Kikwete has made the Presidency to look so simple to the extent that everyone thinks they can be a President of this country. Tusubiri tuone aina ya watu watakaochukua fomu za kugombea Urais. Tutashangaa na roho zetu. Wengine wameshaanza kujiweka sawa kielimu kuepuka kashfa ya kupata elimu kwenye unaccredited institutions.
 
CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
Now its a time to say NO for CCM.
Tupo tunaofaa humwo mwene sisiem!:biggrin:
 
siyo lowasa na membe tu ndiyo wanaotaka kuwa rais wa JMT, kuna shein na magufuli, lowasa na membe wanafanya kazi ambazo wengine ilipaswa wafanye juu yao, wao wanajimaliza wenyewe na mpaka itakapofika huo wakati kutakuwa hakuna kati ya hao wawili atayeweza kusimama, tupieni macho kwa shein na magufuli

Hatuwezi kukabidhi Tanganyika kwa Mzanzibar tuliwajaribu kwa Mwnyi tukayaona so Tanganyika haitakaa itawaliwe na Mzenj Mwingine
 
Honestly at the moment I don't see a prezd out of the pair you have given ... Let me contemplate about it deeply ..to the hope that ..!! BUT .. No there is no Next Tanzania President there !!
 
CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
Now its a time to say NO for CCM.

Absolutely correct, 100%.
 
Mwanakijiji, between the two camps, no one will be able to reach the destination (to Magogoni) but a compromise candidate from the pool will be able. Be patient while watching the movie.
 
The problem is that Kikwete has made the Presidency to look so simple to the extent that everyone thinks they can be a President of this country. Tusubiri tuone aina ya watu watakaochukua fomu za kugombea Urais. Tutashangaa na roho zetu. Wengine wameshaanza kujiweka sawa kielimu kuepuka kashfa ya kupata elimu kwenye unaccredited institutions.

I agree with you. JK will go down the history as the weakest president we have ever had. Under him the economy is paralysed, inflation nearing 20%. The government has failed miserably to implement its programs due to mass graft.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mtu makini watu hawamtaki kwanini? Membe anafaa sana

Anayeiga mavazi, sauti, hadi mapozi ya mwanaume mwenzake? Better zingekuwa itikadi za watu fulani/kundi fulani.
Apart from his intetions, Membe has never been himself....though its how he is (not to be himself)
 
mwanakijiji huyu jamaa ananikera sana anautaka urais kwa nguvu zote chair of parliamentary standing committee for security and foreign affairs( el) hata membi pia hafai

kuna majembe kama akina mwakyembe, mwandosya ila ndio wamewapa sumu na ndio tunataka rais kama hawa wakinyooshe chama maana wanyakyusa si desturi yao unafiki kama wa jk.

membi na el wajue vita yao furaha ya kunguru lets them fight and tupate rais kutoka nje yao it will be much better

wanyakyusa!!!?? Hilo ni kabila kubwa sana sijui umwezaje kuwalinganisha na jk (bila shaka mtu mmoja) na kuconclude kuwa amewazidi `wanyakyusa' kwa unafiki, sijui, labda umemlinganisha jk toe to toe against every mnyakyusa au umewaunganisha wanyakyusa wote kama mtu mmoja na kumlinganisha mtu huyo ambaye labda tumuite `wanyakyusa' na ukagundua kuwa jk amemzidi `wanyakyusa' kwa unafiki. (seems to be incrementally complicated), nimalize kwa kusema siku za mbele jitahidi kulinganisha na kulinganua vitu au watu wenye sifa au vigezo vinavyofanana. Asante
 
Nadhani imeeleweka, lets not slip out of the thread.
Tuachane na mambo ya makabila, Lets get back on the track
 
CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
Now its a time to say NO for CCM.
Point supported
 
Hata Wananchi wa Libya walizana Kuandama kwa Amani na Nchi za Magharibi zikaingilia baada ya Marehemu Gadafi kuanza kuwashambulia wananchi waliokuwa wanaandamana kwa Amani

Umesema kwa Misiri na Tunisia Tawala Mbadala zinapatikana sasa kwa nini Akina Membe walikimbilia Kuwatambua wahuni wa Misri na Tunisia kabla Tawala Mbadala hazijapatikana ( Au Wahuni wa Libwa ni Wahuni Zaidi ya Wahuni kuliko Wahuni wa Misri na Tunisia)

By the way ni Lini tumeanza kuzikataa Tawala zilizoingia Kijeshi? Au Tunachagua?

Acha porojo mkuu Kuna kitu hapo Baina ya Membe na Gadafi na Mzee bado anaomboleza sasa hasira zake anawaangushia Wahuni wa Libya

Yawezekana wewe ndio unaendeleza porojo.

Suala la Misri na Tunisia ni tofauti kabisa na Libya.

Katika Misri na Tunisia taratibu za kikatiba za kuacha na kukabidhi madaraka zilifuatwa kama ambavyo Umoja wa Afrika unavyotaka katika suala zima la mabadiliko ya utawala miongoni mwa wanachama wake.

Huko Libya kwa mujibu wa misingi ya Umoja wa Afrika hilo halikufanyika na hivyo mabadiliko na harakati zake zilizokuwa zikiendelea zilikuwa ni kinyume na misingi ya Umoja huo na nchi ambazo ziliunga mkono zilikuwa zikiangalia maslahi yao na sio misingi waliyojiwekea katika umoja huo na ndio maana wakati Umoja wa Afrika ulikataa kuwatambua Waasi wa Benghazi lakini haukukataza taifa moja moja kuwatambua.

Lakini zaidi kitendo cha mabeberu wa magharibi kugeuza ajenda ya kulinda wananchi wa Libya (Principle of Responsibility to Protect -R2P ambayo ukweli nayo ilichakachuliwa) kama Umoja wa Mataifa ulivyoamua na kuingiza ajenda yao ya REGIME CHANGE ni wazi uamuzi wa Tanzania uliosimamiwa na kwa umahiri mkubwa na Membe ni wa kujivunia na wa kulinda Misingi ya Umoja wa Afrika na zaidi heshima ya Bara letu na sio maslahi binafsi kama washindani wake na washindani wa CCM wanavyojitahidi kupotosha.

Matokeo ya nia hii ya upotoshaji wengi ama kwa kujua au kutokujua mmekuwa mkipigia chapuo propaganda za Mabeberu wa Magharibi katika mwanzoni kutetea na sasa kuhalalisha uharamia/maslahi yao dhidi ya taifa la Libya na pia dharau kuu dhidi ya Umoja wa Afrika...
 
Hatuwezi kukabidhi Tanganyika kwa Mzanzibar tuliwajaribu kwa Mwnyi tukayaona so Tanganyika haitakaa itawaliwe na Mzenj Mwingine

Naona sasa wewe unaanza kuuchokonoa muungano wetu uliodumu kwa miaka 47, ambao umekuwa mfano wa kuigwa duniani kote!!

Hivi ule utaratibu wetu wa chama ambao hauko kwenye katiba, wa kupokezana madaraka ya uraisi kati ya Tanganyika na Zanzibar ndio tuseme umekufa? maana ule wa kupokezana kati ya wakristo na waislamu, bado tunauenzi!!
 
CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
Now its a time to say NO for CCM.

ccm virus ni ugonjwa usiotibika, imefeli kabisa kama ni mtihani ni 0%, sitaki tena kusikia ccm kama ulivyosema hakuna cha mwakyembe wala sitta wala sijui nani, wote wanafiki tu.
 
Back
Top Bottom