Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

Well.. the two camps are absolutely opposed to each other. Only one will emerge the winner and he would be the only one facing any other challenger for CCM Presidential candidacy in 2015. Will this be a full 12 rounds bout? I mean.. will we see the two camps chopping, upper-cutting each other before the CCM national Congress next year or even later towards 2015?

I'm asking myself why the differences between the two camps have become more pronounced and sharp in the past year?

One is the Minister of Foreign Affairs while the other is the Chair of Parliamentary Standing Committee for Security and Foreign Affairs!

Well.. somebody got to lose and somebody got to win - a tie is not an option. BUT what if they destroy each to the point that even the winner doesn't survive the fight! - well.. SOMEBODY ELSE will reap where he/she didn' sow! Thats my friends is politics!

Lets enjoy the show!

mkuu kwa heshima zote, juzi juzi ulisema kuwa El hana tena political relevance kuelekea 2015...sasa leo unamuweka kama no1 contender (pamoja na Membe) kumrithi Jk CCM hapa nakua sikupati mkuu....
 
Membe eti naye anataka kuwa rais! Nikikumbuka jinsi alivyoshupalia chenji ya rada kwenye vyombo vya habari nakosa kuuona ujasiri na uzalendo wake kwa taifa ili. Hawezi kamwe kulinda na kuheshimu maslahi ya mtz.

Namkumbuka pia jinsi alivyokuwa anaponda serikali ya mpito ya Libya akiwahusisha wanamapinduzi wale kama wahaini - hadi akawakemea wawakilishi wa Libya nchini walipopandisha bendera mpya. MEMBE HAFAI HATA KIDOGO.

Uozo wa EL ni mkubwa,kumbukeni kashutumiwa mengi (kupanga kuwaua Mwakyembe, Dr. Slaa na Mengi) na mpaka leo hajakanusha ina maana kuna ukweli ndani yake. NAYE AKIWA RAIS NAFIKIRI ATAUZA HADI FARU WOOTE WA SERENGETI jamaa anapenda sana pesa za mkato.

kweli tumekosa viongozi tz.....bora kumpa slaa pamoja ya kua nina reservations nyingi kuhusu CDM na uzoefu wao, Mbowe kama mwenyekiti na hila zake na kupenda kwake madaraka....Slaa atakua rais ila mbowe atakua na nguvu zaidi ya slaa kama m/kiti wa chama na hapa sasa naona slaa akiwa anasukumwa sukumwa katika maamuzi na Mbowe,,haka kashowdown kanaweza kuicost serikali na nchi kama wakishinda
 
Appraising the two contestants' abilities to win the bout judging from their aggressiveness, one may comfortably predict with certain that odds are largely against Membe. Unlike Lowassa, Membe is devoid of game strategies and hasn't yet built ample support base both inside and outside the party to help him with promotion of his campaigns. Another peculiar advantageous trait of EL is his remarkable ability to withstand criticisms and assailments from his surrounding foes, barely taking umbrage against them. Despite his previous despair led by Richmond scandal which all but threw him out of the political arena, EL remained adamant that he would once again revive and recover his dismantled reputation, which hope currently materializes. Honestly speaking, on the aftermath of Richmond saga, one could scarcely imagine that EL will ever stand on any of the political podium much less expecting him to show ambitions to vie for presidency.
 
EL anakua mbishi to the point even doubters like me starting to believe that may b just may b he will WORK as a President...nafikiri kuna vision fulani anayo kwa taifa hopeful siyo selfish vision maana yake anavyong'ang'ania siyo mchezo yuko radhi kufa n it seems Tanzania needs a person who really want to be a president siyo watu wa kuwekwa na kakikundi ka watu
 
CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
Now its a time to say NO for CCM.

that even goes to our opposition

sioni anyone mwenye uwezo wa kutuongoza
 
Uozo wa EL ni mkubwa,kumbukeni kashutumiwa mengi (kupanga kuwaua Mwakyembe, Dr. Slaa na Mengi) na mpaka leo hajakanusha ina maana kuna ukweli ndani yake. NAYE AKIWA RAIS NAFIKIRI ATAUZA HADI FARU WOOTE WA SERENGETI jamaa anapenda sana pesa za mkato.

anakuambia kopa ...fanya maamuzi magumu ...pesa ipo kopeni ..shennnnzzzz zake
 
mwanakijiji huyu jamaa ananikera sana anautaka urais kwa nguvu zote Chair of Parliamentary Standing Committee for Security and Foreign Affairs( EL) Hata membi pia hafai

kuna majembe kama akina mwakyembe, mwandosya ila ndio wamewapa sumu na ndio tunataka rais kama hawa wakinyooshe chama maana wanyakyusa si desturi yao unafiki kama wa JK.

membi na EL wajue vita yao furaha ya kunguru lets them fight and tupate rais kutoka nje yao it will be much better

ni ujinga kumuita mtu jembe wakati hatiwi mpini
 
nami pia nina wasiwasi kuwa hii inatuweka kwenye 'kapu' lile lile lililotufikisha hapa tulipo. Yaani kila mtu kuamini kuwa "zidumu fikra za Mwenyekiti".
Hivi fikiria watu wenye uwezo na uadilifu wa kuiongoza Tanzania (si kutawala kama el na membe wanavyodhani) na uangalie udhaifu walionao hawa watu wawili, ndio naanza kuijiwa na wasiwasi kuwa we are still 50 years toward 'true liberation'!
mkuu kwa heshima zote, juzi juzi ulisema kuwa El hana tena political relevance kuelekea 2015...sasa leo unamuweka kama no1 contender (pamoja na Membe) kumrithi Jk CCM hapa nakua sikupati mkuu....
 
Membe eti naye anataka kuwa rais! Nikikumbuka jinsi alivyoshupalia chenji ya rada kwenye vyombo vya habari nakosa kuuona ujasiri na uzalendo wake kwa taifa ili. Hawezi kamwe kulinda na kuheshimu maslahi ya mtz.

Namkumbuka pia jinsi alivyokuwa anaponda serikali ya mpito ya Libya akiwahusisha wanamapinduzi wale kama wahaini - hadi akawakemea wawakilishi wa Libya nchini walipopandisha bendera mpya. MEMBE HAFAI HATA KIDOGO.

Uozo wa EL ni mkubwa,kumbukeni kashutumiwa mengi (kupanga kuwaua Mwakyembe, Dr. Slaa na Mengi) na mpaka leo hajakanusha ina maana kuna ukweli ndani yake. NAYE AKIWA RAIS NAFIKIRI ATAUZA HADI FARU WOOTE WA SERENGETI jamaa anapenda sana pesa za mkato.

Sitaki kusema kama uko sahihi au la lakini kwenye matters za national importance na hasa protection ya sovereignity na integrity ya nchi kiongozi lazima atoe msimamo wake, rightly or wrongly. Uhuni uliotaka kufanywa na BAE umekuwa thwarted na hata bunge la Uingereza hili wamesapoti na Membe amekuwa vindicated katika juhudi zake. Hatukutaka fedha zile ziwekewe masharti ya watoto wetu kugeuka kuwa mashoga ndipo wazipate.

Kwenye suala la wahuni wa NTC, hilo liko wazi na mtu anayejua elementary diplomacy atakwambia kwamba bendera siyo kitambaa cha nguo kama kaniki cha kubadilishwa kila unapojisikia. Hawa walikuwa ni wapiganaji tu na siyo serikali na mpaka walpopandisha bendera hata walikuwa hawajatangaza ukombozi wa Libya (Tangazo lilikuja much later) na serikali ndo wameunda juu. Kwa taarifa yako, katika international diplomacy, suala na bendera na wimbo wa taifa ni mambo muhimu ambayo ni lazima yafuate utaratibu wa kidiplomasia. Kama hii nayo ni dhambi kwa Membe basi we have no business kuwa na kiongozi ambaye hafuati international norms! Kwa kujua kosa lao, wahuni wa NTC waliondoa kile kipande cha nguo walichokuwa wametundika bila kufuata utaratibu. Love him or hate him, the guy knows the diplomatic stuff!

Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imekuwa kimya katika hili na sababu ni obvious! Kulikuwa hakuna political mileage ambayo wajumbe wake wangei-exploit.
 
CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
Now its a time to say NO for CCM.
Hata kama hatuwa taki watashinda tuu kupitia Shria mama mbovu, ambayo michakato yake mibovu na kandamizi ya kuiandaa imekwisha anza, , hata wote tusipowapigia kura,
 
Sitaki kusema kama uko sahihi au la lakini kwenye matters za national importance na hasa protection ya sovereignity na integrity ya nchi kiongozi lazima atoe msimamo wake, rightly or wrongly. Uhuni uliotaka kufanywa na BAE umekuwa thwarted na hata bunge la Uingereza hili wamesapoti na Membe amekuwa vindicated katika juhudi zake. Hatukutaka fedha zile ziwekewe masharti ya watoto wetu kugeuka kuwa mashoga ndipo wazipate.

Kwenye suala la wahuni wa NTC, hilo liko wazi na mtu anayejua elementary diplomacy atakwambia kwamba bendera siyo kitambaa cha nguo kama kaniki cha kubadilishwa kila unapojisikia. Hawa walikuwa ni wapiganaji tu na siyo serikali na mpaka walpopandisha bendera hata walikuwa hawajatangaza ukombozi wa Libya (Tangazo lilikuja much later) na serikali ndo wameunda juu. Kwa taarifa yako, katika international diplomacy, suala na bendera na wimbo wa taifa ni mambo muhimu ambayo ni lazima yafuate utaratibu wa kidiplomasia. Kama hii nayo ni dhambi kwa Membe basi we have no business kuwa na kiongozi ambaye hafuati international norms! Kwa kujua kosa lao, wahuni wa NTC waliondoa kile kipande cha nguo walichokuwa wametundika bila kufuata utaratibu. Love him or hate him, the guy knows the diplomatic stuff!

Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imekuwa kimya katika hili na sababu ni obvious! Kulikuwa hakuna political mileage ambayo wajumbe wake wangei-exploit.

Mkuu kwa nini Membe aliwatambua Wahuni wa Misri? Kwa Nini Membe aliwatambua wahuni wa Tunisia? Huoni kuna kitu hapo Personal Baina ya Membe na Marehemu Gadafi? Au Wahuni wa Libwa (NTC) ni Wahuni Zaidi kuliko Wahuni wa Misri na Tunisia
 
Appraising the two contestants' abilities to win the bout judging from their aggressiveness, one may comfortably predict with certain that odds are largely against Membe. Unlike Lowassa, Membe is devoid of game strategies and hasn't yet built ample support base both inside and outside the party to help him with promotion of his campaigns. Another peculiar advantageous trait of EL is his remarkable ability to withstand criticisms and assailments from his surrounding foes, barely taking umbrage against them. Despite his previous despair led by Richmond scandal which all but threw him out of the political arena, EL remained adamant that he would once again revive and recover his dismantled reputation, which hope currently materializes. Honestly speaking, on the aftermath of Richmond saga, one could scarcely imagine that EL will ever stand on any of the political podium much less expecting him to show ambitions to vie for presidency.

This is not how the presidency is won. We cannot send a msg to the whole world that we cherish impunity by installing the master of all thieves to the presidency! We still have four years to go. President will come from CCM and Lowassa, who will defect to opposition in January 2012 will have written his political orbituary by then!

God loves this country. He can not let the country be held captive by thugs. Magamba shedding is the road to Canaan!
 
Sitaki kusema kama uko sahihi au la lakini kwenye matters za national importance na hasa protection ya sovereignity na integrity ya nchi kiongozi lazima atoe msimamo wake, rightly or wrongly. Uhuni uliotaka kufanywa na BAE umekuwa thwarted na hata bunge la Uingereza hili wamesapoti na Membe amekuwa vindicated katika juhudi zake. Hatukutaka fedha zile ziwekewe masharti ya watoto wetu kugeuka kuwa mashoga ndipo wazipate.

Kwenye suala la wahuni wa NTC, hilo liko wazi na mtu anayejua elementary diplomacy atakwambia kwamba bendera siyo kitambaa cha nguo kama kaniki cha kubadilishwa kila unapojisikia. Hawa walikuwa ni wapiganaji tu na siyo serikali na mpaka walpopandisha bendera hata walikuwa hawajatangaza ukombozi wa Libya (Tangazo lilikuja much later) na serikali ndo wameunda juu. Kwa taarifa yako, katika international diplomacy, suala na bendera na wimbo wa taifa ni mambo muhimu ambayo ni lazima yafuate utaratibu wa kidiplomasia. Kama hii nayo ni dhambi kwa Membe basi we have no business kuwa na kiongozi ambaye hafuati international norms! Kwa kujua kosa lao, wahuni wa NTC waliondoa kile kipande cha nguo walichokuwa wametundika bila kufuata utaratibu. Love him or hate him, the guy knows the diplomatic stuff!

Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imekuwa kimya katika hili na sababu ni obvious! Kulikuwa hakuna political mileage ambayo wajumbe wake wangei-exploit.

Good Mbopo, .....lakini Membe hana ubavu wa kushindana na Lowassa kwa lolote kwenye siasa, bado mchanga.

Hawezi kuwa rais..
 
Back
Top Bottom