Lowassa si target ya 'Gamba la CCM' atarudi mlango wa nyuma, bali target ni Rostam Aziz - Al-nuur

Nimeshtuka kuona ktk gazeti moja linajulikana kama Sauti ya waislam likiandika kwamba Gamba la CCM linalotaka kuvuliwa kwa mapacha 3 lengo kuu ni kumuondosha kabisa Rostam azizi ktk CCM na sio Lowassa.

Eti imeandika wote hao watafukuzwa lkn Lowasa atarudishwa kwa mlango wa nyuma kwa shindikizo la makanisa. Limejenga hoja yao kutokana na kauli ya Kardinal Pengo kusema kanisa halitajitenga na wathumiwa ufisadi alioitoa siku za pasaka. Gazeti hilo limejenga hoja hiyo ikimaanisha ni kutaka kumuokoa Lowassa.

Limesema Gamba la EL linatokana na kuwa karibu na muislam Rostam Azizi.

Hivi kweli Rostama amewasaidia nini waislam hadi kufikia kutetewa? au tayari fedha zake zinapenya kila sehemu? kwani niliwahi kusoma ktk gazeti moja kwamba RA akijinadi kwamba wanawe wote amewakabidhi makanisani kwa malezi ili wapate malezi mazuri na sio misikitini.

Lkn kwa kuwa limeandikwa na gazeti lilosajiliwa Hoja hii inaweza ikawa na chembe ya Ukweli SI YA KUPUUZWA

mkuu hao watu wawili hapo juu hawana uhusiano wowote!!! ..they need to do their home work
 
Sasa ni muda muafaka wa gazeti la AL NUN kujivua gamba; by the way RA si wa upande wa waislam hata siku moja, hao wanajikombakomba kwake kutaka japo wapate chochote toka kwenye ufisadi.
 
Gazeti la Al-nnur ni la Muslim fundamentalists likitetea kila kinachofanywa na Muislamu as if Waislamu wote ni malaika. Wakati wa kipindi cha kampeni, gazeti hili lillifanya kazi kubwa ya kuhubiri udini kwa kumuhusisha kila mtu mwenye Christian name na Mfumo Kristo.

Tukiachana na propaganda za Al-nuur, tukizama kwenye ukweli wa mambo, hivi RA ana kosa gani mpaka ashutumiwe?. Hata EL na AC. Mtu huwezi kuhukumiwa kwa hisia tuu ndio maana nasubiri kwa hamu sana hii process ya kujivua gamba.
Jamani kuna usemi aliupenda sana kuutumia Marehemu Mwl Julius Nyerere akitolea mfano wa mke wa mfalme huko Misri aliyetuhumia na ingawaje tuhuma hazikuthibitishwa alitosa huku mfalme akinena kuwa kwa mke huyo hakutakiwa kutuhumiwa ,kwa kutuhumiwa kwake anakosa sifa za kuwa mke wa mfalme,sasa hao akina RACHEL kwenye Richmond wametuhumiwa,kwenye rada wametuhumia ,kwenye Dowans wao ndio wapewa kusimamia sijui toza sasa mpaka hapo bado mmekuwa akina Tomaso,hao lazima watoswe,watu kama wanahujumu meli wanayosafilia lazima watoswe kwenye kilindi kirefu ili meli iendelea na safari yake salama,KAMA MNAWAPENDA KANYWENI NAO CHAO,na kusuma jamaa EL atakuwa kama Zuma hiyo haipo jamaa hayuko karibu na wananchi kama alivyokuwa Zuma,na angejua jamaa anavyochukia na kuonekana kama ndio chanzo cha matatizo yote ni heri angetulia na kula kuku,siku hizi ndio anajifanya kuikosoa serkali alikwina?
 
rostam ni mwarabu llakini wamejichamganya kumnasibisha na uislam.mhariri amekosa hoja hapo,maana kwan hata akibak waislam watanufaika nin?
Am a muslim jk ni muislam lakin ananikera the way anavyoendesha nchi,so ifike hatua waislam tuwe na sababu za msingi za kulalamikia,tuboreshe shule,tulipe walim vizuri,tuajiri wasomi kwenye taasisi zetu natuachane na ubadhilifu,mali nyingi sana zinapotea maana hawa waliopo kwenye taasis za kiislam ni wanafk
Rostam sio mwarabu ni Burushi wana asili ya Iran,wairan sio waarabu,burushi kidogo anaenda kwenye uhindi wako wengi pale Mbalali na Ubaruku
 
Ndugu waislamu (wa aina ya Al Nuur). Msitizame mambo kwa mtizamo finyu kiasi hicho. Ukiwa muislamu basi huwezi kufanya makosa? Kwani wanaokula mali za waislamu ni wakristo? Wanaogeuza BAKWATA idara ya CCM ni wakristo? Mbona mna-polarize jamii yetu bila sababu za msingi? Nawaomba waislamu waelewa wajaribu kuelimisha wenzao juu ya ya michezo ya kijinga kama hii ambayo mwisho wake ni mauti ya taifa.
 
Upuuuzi tu huo,hawana lolote.Siku zote wamekuwa wakilishambulia kanisa na kulihusisha na vitu ambavyo havina ukweli wowote.Makanisa yasingekuwa na viongozi waelevu pasingekalika hapa.
 
AL NUUH wametumwa kutumia njia za kijinga za kiintelijensia kupima upepo kutuliza mzuka wa wananchi wanaotaka Gamba kuvuliwa lianze na mwenyekiti wa CCM MH.Jakaya KIKWETE,jinsi CCM ilivyoingia kigugumizi huwezi jua kwamba sasa watataka kukubaliana na Rostam safe heaven ya kumlazimisha aondoke nchini halafu akina Lowassa waachwe kwa sababu kwa sasa maji yamewafika shingoni,fedha ya EPA walitumia wote,wametuaminisha wananchi kwamba mafisadi ni lazima wawanq'oe na mapacha matatu hawajui kwanza wao ndio Gamba,sasa mchuuzi umekoza chumvi,CCM katikati ya kina kirefu wanatumia vigazeti uchwara kudanganya watu, AL NUUH gazeti uchwara na mufilisi lisilo weka maslahi ya taifa mbele,taarifa ni kwamba andika wiki ijayo kwamba wananchi tunataka Gamba kuvuliwa linapaswa kuanza na mwenyekiti wa CCM
 
na wewe kwa nini usome magazeti ya ajabu?

utanishawishije akili zako ni timamu kwa kuwa msomaji wa hilo gazeti ambalo hata waislam hawaelewi maudhui yake?

RA akishindwa kukukuruka shauri yake
EL haondoki CCM namake ni inner circle ya JK au JK anataka kujiaibisha nini?

Uwoga wako wa kusoma ndio maana unabaki kwenye ujinga forever! soma
 
Upuuuzi tu huo,hawana lolote.Siku zote wamekuwa wakilishambulia kanisa na kulihusisha na vitu ambavyo havina ukweli wowote.Makanisa yasingekuwa na viongozi waelevu pasingekalika hapa.

Ndio maana kanisa limemtuma Nchimbi afute hilo gazeti ehe!, kama havina ukweli si waende mahakamani????

Pasingekalika wapi wewe? nyie vita mnaweza au unasema tu???
 
Gazeti la Al-nnur ni la Muslim fundamentalists likitetea kila kinachofanywa na Muislamu as if Waislamu wote ni malaika. Wakati wa kipindi cha kampeni, gazeti hili lillifanya kazi kubwa ya kuhubiri udini kwa kumuhusisha kila mtu mwenye Christian name na Mfumo Kristo.

Tukiachana na propaganda za Al-nuur, tukizama kwenye ukweli wa mambo, hivi RA ana kosa gani mpaka ashutumiwe?. Hata EL na AC. Mtu huwezi kuhukumiwa kwa hisia tuu ndio maana nasubiri kwa hamu sana hii process ya kujivua gamba.
Rostam na Lowassa hakuna kitu chochote wanaweza kuwafanya,wamekuwa marafiki wa karibu wa JK muda mrefu sana na ndio waliomweka madarakani. Kwa matazamo wangu hakuna ufisadi utakuwa unawahusu hawa wawili wakifuatilia kwa undani utakuwa haumuhusu JK.Labda amue kutumia nguvu kubwa aliyonayo kikatiba lakini impact yake hataiona baada ya kuachia madaraka, na hii ndio imewafanya viongozi wengi wa afrika waendelee kungangania kubaki madakani kwa sababu ya kuogopa retaliation

Kwa upande wa Chenge lile wingu la ufisadi wa rada bado linatanda juu yake, JK hapa kashika mpini na Chenge kashika makali,JK akiamua ku twist Chenge atajisadia kwenye ndoo kwa muda mrefu sana. Kwa wale wanaopenda vyeti vizuri huyu jamaa ni mafano hai,umaweza kuwa na elimu kubwa lakini si kukomboe, kama msomi wa sheria kutoka Harvard unakubalije wenzako wale ngombe mzima mkia ndio wakuvalishe wewe shingoni.
 
CCM, mtihani kweli kweli kilichowapelekeni kwenye haya magamba ya miaka nenda rudi ambayo kimsingi hamna ubavu nayo kuyatimiza hadi magamba yooote ya KIMFUMO NA WALA SI SURA iweze kutoka!!!!

Nimeshtuka kuona ktk gazeti moja linajulikana kama Sauti ya waislam likiandika kwamba Gamba la CCM linalotaka kuvuliwa kwa mapacha 3 lengo kuu ni kumuondosha kabisa Rostam azizi ktk CCM na sio Lowassa.

Eti imeandika wote hao watafukuzwa lkn Lowasa atarudishwa kwa mlango wa nyuma kwa shindikizo la makanisa. Limejenga hoja yao kutokana na kauli ya Kardinal Pengo kusema kanisa halitajitenga na wathumiwa ufisadi alioitoa siku za pasaka. Gazeti hilo limejenga hoja hiyo ikimaanisha ni kutaka kumuokoa Lowassa.

Limesema Gamba la EL linatokana na kuwa karibu na muislam Rostam Azizi.

Hivi kweli Rostama amewasaidia nini waislam hadi kufikia kutetewa? au tayari fedha zake zinapenya kila sehemu? kwani niliwahi kusoma ktk gazeti moja kwamba RA akijinadi kwamba wanawe wote amewakabidhi makanisani kwa malezi ili wapate malezi mazuri na sio misikitini.

Lkn kwa kuwa limeandikwa na gazeti lilosajiliwa Hoja hii inaweza ikawa na chembe ya Ukweli SI YA KUPUUZWA
 
Mzee wa hoja, nakuunga mkono ktk hii hoja yako pamoja na michango yako mingine. Mimi pia ni mmoja wa watanzania tunaofuatilia kwa karibu sana matamko mbalimbali yanayotolewa katika nyakati na vyombo mbalimbali vinavyomilikiwa na hawa islamic fundamentalists. Wanapiga kelele sana kuhusiana na dudu walilolibuni wao wenyewe na kuliita mfumo kristo. Najaribu sana kutafuta hicho kitu kinachozungumzwa, mwisho wake nakutana na propaganda tu za waislam wenye misimamo mikali kutafuta namna ya kupenyeza uanaharakati wao hatari katika maeneo yenye stability za kijamii kama Tanzania.

Tanzania ni nchi yenye amani ambayo imejengwa katika misingi ya kuheshimiana, kupendana na kuaminiana, bila kusahau kusaidiana bila kujali itikadi za kidini, kikabila, usehemu atokeako mtu wala jinsia yake au ulemavu alionao; na kwa sasa bila kujali itikadi yake ya kisiasa. Suala kubwa linaloanza kuonekana kuwatenga watanzania, na ambalo linaanza kujengwa na watu hatari kama hawa ni dini ya mtu. Watu wenye busara ktk nchi hii, akiwemo Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere wameiona hatari hii kwa muda mrefu na kulikemea katika muda wote wa uhai wao lakini watu wenye ubinafsi wameendelea kulichochochea kwa lengo la kujinufaisha na matengano wanayoyahubiri.

Mchakato wa katiba nao sasa umeingiliwa kama sehemu ya kupenyeza huu uchochezi wao. Ni ukweli usiopingika kuwa, wao kama watanzania, pia wana nafasi ya kutoa maoni yao ya aina ya katiba inayotakiwa hapa nchini kwa sasa, lakini kibaya ni kuwa kinachowasukuma kuzungumzia suala hili ni kulinda maslahi ya dini yao bila kujali kuwa nchi hii ina waumini wa dini nyingine pia! Wanadai mahakama ya kadhi, wanadai kuondosha 'mfumo kristo', sijui waweke mfumo 'ujahidina vile', wanadai nchi ijiunge na OIC, kwa ufupi wanataka nchi iwe ya kiislam na kufuata misingi ya kiislam. Sasa suala la kijiuliza, je hizo harakati zao za kubaguzi zitafanikiwa kweli au wanataka waendelee kulalamika kuwa nchi inatawaliwa kikristo?

Napendekeza kuwa hawa watu wapuuzwe katika madai yao ya hatari hatari haya. Nakubali kuwa baadhi ya madai yao ni ya kimsingi, mfano, kupata mapumziko siku yao ya kuabudu, ingawa inatakiwa sasa suala hilo liangaliwe upya, si kwa dini yao, bali dini zote ili siku za kazi zisiathilike kwa kuwa na siku nyingi zaidi za mapumziko! Suala jingine ninaloliunga mkono ni kupinga huu mswada wa katiba uliobana namna ya kupata na kushughulikia maoni ya wananchi kuhusiana na katiba mpya, ingawa sikubaliani na yale yanayoombwa yanayoegemea kwenye dini yao tu bila kujali kuwa kuna dini nyingine hapa nchini. Kitendo cha kutaka mahakama ya kadhi kwenye katiba yetu kitapelekea hawa jamaa kutaka pia katiba itambue ulinzi wa majini ya shehe yahaya pia!

Umepata hasara kubwa kwa kupoteza muda mwingi kuandika haya yote...crap!!!!!!
 
Mtaongea saaana mwaka huu.subirini after 90 days ndo mtajua nguvu maamzi ya chama ni fake ama la
 
Ila sasa kusema ukweli hilo gazeti na hao wasomaji wake wanaoamini wanaboa sijapataona!!
 
Ndio maana kanisa limemtuma Nchimbi afute hilo gazeti ehe!, kama havina ukweli si waende mahakamani????

Pasingekalika wapi wewe? nyie vita mnaweza au unasema tu???

Wewe umepigana wapi vita na ukashinda?
 
Back
Top Bottom