Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
Kama CCM watashiba siku hiyo na kufimbiwa halafu wakampitisha Lowasa, basi 2015 CDM wanapata ushindi wa kishindoooooo!!!!!!!!!!
Ndiyo maana nikasema hakuna mwenye hoja ya maana ya kumshitaki Lowasa!! Huu ulioandika hapa ni UZUSHI MKUBWA. kwa mfano hakuna asiyejua kuwa aliyeuza viwanja vya Mnazi mmoja miaka ya 1993 ni Rais Mwinyi hii hata taahira anajua, Lowasa kipindi hicho aliingia kwenye mgogoro mkubwa na mzee mwinyi kupinga uuzaji wa viwanja hivyo ambapo alitoa masaa kadhaa kwa manispaa ya ilala iwe imeondoa uzio wa mabati uliokuwa umewekwa hapo. baada ya muda kupita bila manispaa kuondoa wananchi walienda wenyewe kuyaondoa kitu kilichompa heshima kubwa Lowasa leo hii unatuambia Lowasa ndiye aliyeuza viwanja? HUU NI UONGO.
Mbona hata Nyerere alishasema tangu miaka ile ya Tisini kuwa Lowasa ni Tishio na hafai kushika uongozi wa Nchi hii.
LOWASSA TISHIO?!
Tusiandike kwa mate wakati wino upo:
1972 - 1973 Milambo High School (combi: Swahili, History na English - SHE) Division III
1975 - 1970 University of Dar es Salaam (B.A. Theatre Arts "Sanaa ya maigizo") Pass
AMA KWELI TISHIO!
tarehe 29 December 2005,bunge la Tanzania kwa zaidi ya asilimia 98% lilipitisha jina la Lowasa kuwa waziri mkuu,kura za NDIO zilikuwa 312,na zilizokataa zilikuwa ni kura mbili tuu,na wakati huo kulikuwa na wabunge wa upinzani zaidi ya 30 bungeni,hii inaonyesha nini?? kwamba hata wapinzani wanamkubali sana Lowasa,na kiujumla ni tishio kwa mgombea yoyote wa uraisi kutokana a ushawishi wake mkubwa na nguvu ya kisiasa as well as uongozi wake uliotukuka! na ni waziri mkuu pekee wa Tanzania aliyeonyesha ukomavu wa kisiasa na kujiuzuru kwa maslahi ya taifa.Kama CCM watashiba siku hiyo na kufimbiwa halafu wakampitisha Lowasa, basi 2015 CDM wanapata ushindi wa kishindoooooo!!!!!!!!!!
Nimekuwa nikifuatilia sana vyombo vya habari vinavyopinga Lowassa(Mwanahalisi na Raiamwema) na vinavyo msapoti(Rai na Mtanzania). Nimefuatilia sana wanasiasa wanaompinga na kumsapoti. Mwisho nimebaini kuwa Lowassa ni tishio kubwa kwa wanaoutaka urais wa muungano ndani ya chama chake na kwa upande wa upinzani. Ana nguvu kubwa sana serikalini na katika chama. Ni bingwa wa kuratibu mtandao kisomi. Ni mtendaji na haogopi. Na iwapo ataamua kugombea, hatakuwa na mpinzani mwenye nguvu ndani ya chama chake na hata ktk uchaguzi mkuu. Sote tumeshuhudia jinsi alivyoweza kuukwaa uenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama bila mtu yeyote kutia mguu kumpinga. Na sasa tumeshuhudia jinsi anavyopata sapoti kutoka kwa Mhe Beatrice Shelukindo na mumewe William Shelukindo. LOWASSA NI TISHIO
Hilo nalo neno mh!
nimekuwa nikifuatilia sana vyombo vya habari vinavyopinga lowassa(mwanahalisi na raiamwema) na vinavyo msapoti(rai na mtanzania). Nimefuatilia sana wanasiasa wanaompinga na kumsapoti. Mwisho nimebaini kuwa lowassa ni tishio kubwa kwa wanaoutaka urais wa muungano ndani ya chama chake na kwa upande wa upinzani. Ana nguvu kubwa sana serikalini na katika chama. Ni bingwa wa kuratibu mtandao kisomi. Ni mtendaji na haogopi. Na iwapo ataamua kugombea, hatakuwa na mpinzani mwenye nguvu ndani ya chama chake na hata ktk uchaguzi mkuu. Sote tumeshuhudia jinsi alivyoweza kuukwaa uenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama bila mtu yeyote kutia mguu kumpinga. Na sasa tumeshuhudia jinsi anavyopata sapoti kutoka kwa mhe beatrice shelukindo na mumewe william shelukindo. Lowassa ni tishio
Kwa nini watu wanakuwa wazito kuelewa kwamba LOWASSA ndiye rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!
Kweli wewe FATAKI kama siyo FEKI na hapa umeamua kulipuka. Nani alikwambia mtu anayefaulu sana darasani ndo anastahili kuwa kiongozi?? Unataka kuniambia mgombea mwenza wa Dr SLAA mwenye elimu ya Std VII hafai kuwa kiongozi? Je wazazi wetu walioishia darasa la IV la mkoloni/wengine hawakusoma kabisa hawakustahili kutuzaa? Je, na wale ma-PHD holders wenye kesi mahakamani, elimu yao imewasaidia nini?
SHAME, SHAME, SHAME ON YOU BUDDY!! JAMANI HATA KAMA MPO CDM, MZOMEENI HUYU JAMAA, ANAONESHA JINSI GANI ALIVYO FEKI
Viongozi wote wa CCM ni mafisadi papa,hata huyo Sokoine, alikuwa fisadi bahati mbaya mauti yalimkuta pasipokujipanga sawasawa,mali zake nyingi aliwekeza kwa watu hasa wahindi Arusha na wote waliiliza familia yake,hivyo sishangai kwa Lowasa, amejitayarisha kwa ajili ya kugombea Urais 2015,waswahili wanasema samaki mkaange na mafuta yake mwenyewe,fedha zetu wenyewe zinatukaanga,LAKINI NGUVU YA UMMA NDIYO ITAKAYOAMUA.TUNAMSUBIRI AJE,KAMA ATAWEZA KUHONGA UMMA WOTE WA TANZANIA.
Achaa kuharibia watu siku mkuu. Hivi Tanzania nzima hakuna zaidi ya huyu reject? tutatia aibu kubwa kwa hiliKwa nini watu wanakuwa wazito kuelewa kwamba LOWASSA ndiye rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!