Lowassa kushinda Oktoba, Maalim Seif kushinda kwa asilimia 51.9%

Labda kura za maruhani ila mkae mkijua mshindi ..
Ni dr. Magufuli kimbilio la wakulima na wafanyakazi nambari wani
 
Kimsingi mambo yaliyofanywa na Ccm yanatosha. Ni saa ambazo Mungu atajitwalia Utukufu wake,MAANA VIONGOZI kadhaa wa CCM Wamesikika wakisema ' ETI WATATAWALA MILELE'. Acha Mungu atawale milele,but CCM INAANGUKA Mwaka huu. Nisaa ya Mungu kuingilia kati. Tunaamini,Tunaomba na Kulia ili LITOKEE BADILIKO ZITO Tz. Na waachie dola kwa Amani.
 
Hyo taasisi ni waongo haiwezekan wakasema et Morogoro makufuli atamshinda lowasa kwa kura Huu ni uongo uliopitiliza ninachojua Pombe mwisho kaunta ya Lumumba Morogoro kila mtu Lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwani si ndio waliokulea miaka yote katika AMANI, UTULIVU MNAVYOSEMA NYIE NA HADI DAKIKA HII UNAWEZA KU COMMENT UKIWA HURU CHINI YA UONGOZI MAKINI WA CHAMA CHA CCM USHINDI HUOOOOOO
 
Hizo tafiti zimefanyika lini? na walizingatia vitu au vigezo gani kuonyesha lowasa atashinda? au ni hii safari yake ya kwenda kwenye magenge yenye kipindupindu?
 
Back
Top Bottom