lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,203
CUF wana ngome nzito Pemba ata Mwalimu JK alipokuwepo hakuweza na hasingeweza kuibomoa,lakini mwaka huu ngome ya CCM Unguja imebomoka sana kwanza Katiba iliyotupwa na CCM pili Viongozi wakubwa wa CCM mfano Mansoori kwenda CUF na ujio wa Lowassa ambaye ana washabiki wengi Unguja.Hii ina maana Maalimu Seif atashinda kwa zaidi ya 58%No question about that