Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

Mimi watz nashindwa kuwaelewa kabisa kwa jinsi walivyompokea huyu fisadi mkuu wa ccm na kumpa hadhi ya juu kabisa eti akagombee urais.hivi anadhani urais ataupata?ashindwe na alegee

Pole kwa kutokwa na povu! Yote kwa yote tulia sindano iingie vizuri!
 
Kwani nyie wana ccm mmechukizwa na nini hasa? mi nadhani ndo wakati wa nyie kufurahi kuwa mtapita kiulaini maana chadema/ukawa wamechukua fisadi badala yake sasa nyie ndo mnalialia huku wenyewe wakiendelea na mikakati yao ya kwenda ikulu na kuchukua viti vingi vya ubunge
 
Sawa!! Ila ni ccm hii hii ndiyo iliyopinga vikali Lowassa alipoitwa fisadi na wakina slaa,ni ccm hii hii ndiyo iliyotishia watu kuwa kama kuna mwenye kujua ufisadi wa lowassa na aende kuupeleka mahakamani,ccm ilituaminisha kuwa hakukuwa na chochote cha ufisadi kumhusu lowassa,mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT alisema kuwa ile ilikuwa ni ajali ya kisiasa, kauli ya wapinzani ya kutaka awe mahakamani/jela kwa tuhuma zile za richmond ni fedheha kwa kamati ya mwakyembe iliyomtuhumu hivyo bila kuwa na ushahidi wowote wa maana, tazama leo ccm inasema itaenda mahakamani kwa kuwa tu eti lowassa ameichafua kwa kusema ukweli kuwa alikatwa kimizengwe,lakini haikuona haja ya kwenda mahakamani kumfungulia kesi ya ufisadi kipindi kamati ya mwakyembe inaleta ripoti inayomhusisha lowassa kwenye wizi huo,hawakuona haja ya kumhoji,natural justice haikuwa na nafasi wakati huo wala juzi mlipomtuhumu kugawa rushwa, sasa kamati ilisema ni mwizi,wapinzani wakaamini na kuwaaminisha watu hivyo,ccm wakasema si mwizi wapinzani wameamini na kunchukua,ccm imegeuka tena ghafla na inasema ni mwizi!!!! Kha!!! Viongozi wa ccm wajiuzulu tu!! Hawajui wanalosimamia.
 
Kwa hiyo saivi ile The List of Shame inabadirika na kuwa The List of Fame??????
 
Kwa hiyo saivi ile The List of Shame inabadirika na kuwa The List of Fame??????
Whether shame or fame ccm walimshindwa sawa? Au shame when in cdm and fame when in ccm? Ni nani waliomwita lowassa jembe? Ni nani ndani ya ccm aliyeitwa mzee wa maamuzi magumu? Basi ndiye huyo huyo ndio yuko ukawa sasa!! Endeleeni kumwita majina yale yale mliyokuwa mkimwita huko kwenu! Manake hata huko ukawa pia wanamwita vilevile,tatizo nini?
 
Mbona Mapovu yanakutoka??? kweli ukweli unauma leo hii Lowasa amekua msafi baada ya kujiunga na cdm??? kiasi cha wafuasi wa cdm kutokwa na mapovu kiasi hiki kweli?
 
Nimeamua na nime dhamiria kurudisha kadi ya chadema maana nimegunduwa chadema ni chama cha makuwadi wa siasa hawana nia ya dhati kuleta mabadiliko na mbaya zaidi wamèfanya dhambi ya usaliti jambo ambalo najuwa mwisho wake nilazima itakitafuna chama cha chadema, najutia muda wangu na akili zangu nilitumia kukipigia debe mbele ya vijana na wazee nikiamini hatakama chadema tusipo pata urais ila tungeongeza viti vya ubunge nakuwatetea zaidi wa tanzania.

Najuta kiasi kikubwa vile chadema ilituaminisha kuwa ccm ni mafisadi na ikawa ikiwataja kwa majina ila kumbe fisadi ni mtu na wala sii chama, ccm wameamua kufanya mabadiliko ya dhati na ilikuwa matumaini ya ngu kuwa chama kama chadema wasinge iga tabia ya mafisi kuokota mizoga na mifupa ya ccm lakini sasa najiona kuwa mmoja wa mafisi ndani ya chama.

Kiukweli inaniuma Mzee wangu Mbowe nilikujuwa tangu nipo Sec nanilijivunia kazi zako ila kumbe sikujuwa wewe ni Fisi mla mizoga, kijana mwenzangu Mwalimu ambaye wakati ukiwa IFM ulionekana kuwa mpambanaji jambo lilikuathiri hata chuo ila kazi zako zilikuwa za mafisi, Mch Msigwa wewe ndio ulionekana upo mbele kuwachukia mafisadi, kumbe hata wewe ni fisi tena fisi unaye vaa ngoz ya simba, Kamanda Lema nilikukubali mpaka nikakuona wewe ni Mandela ila nawewe ulikuwa Fisi nimeamini ule msemo wa wahenga kikulacho kipo nguoni mwako nyie ni wanafiki wakutisha.

Nasikitika kumuona baba yangu alikuwa wa kizamani kwa kuwa na kadi ya ccm na Tanu kumbe ukweli ni kwamba ccm ni chama bora ila makuwadi waliokuwamo ndani ndio walikuwa wakidhoofisha chama.

CCM wamebadilika na sasa ccm ndio chama changu narudi sasa narudi na vijana wengine jiungeni kurudisha kadi za chadema na mchukue kadi za CCM.

Kataa kuwa fisi ndani ya CHADEMA. Kuwa M4CCM.
 
Chadema ni chama cha wachumia tumbo okiona macho ya mbowe jua Anawaza pesa tu
 
Mbona wanaolalamikia kitendo cha lowassa kwenda chadema wote ni ccm kulikoni? Na wengi wao wanatumia majina mapya,
 
Pole sana mzee komaa lakin october c mbali ufanye maamuzi yaliyobora
 
Whether shame or fame ccm walimshindwa sawa? Au shame when in cdm and fame when in ccm? Ni nani waliomwita lowassa jembe? Ni nani ndani ya ccm aliyeitwa mzee wa maamuzi magumu? Basi ndiye huyo huyo ndio yuko ukawa sasa!! Endeleeni kumwita majina yale yale mliyokuwa mkimwita huko kwenu! Manake hata huko ukawa pia wanamwita vilevile,tatizo nini?
Kwa iyo tuchukue statement yako kuwa whether shame or fame alafu tufanye uamuzi???????

Mnatuona wananchi mazezeta sana kumbe, ngoja tuwaonyeshe kuwa unafiki ni dhambi kama dhambi zingine iyo oktoba.
 
Lord denning, post yako imenitia uchungu sana.

Tuombe Mungu October atunusuru.!
Kwa wenye uchungu na taifa hili wameliona hili. Kinachofanyika sasa ni sawa na wale wapumbavu wanaosema bora mtoto wangu afe ili niwe tajili. Total insane.

Lazima tuwafundishe kuwa watakula matapishi yao mwaka huu. Huu ulaghai na uzandiki wao umefika mwisho.
Wanatuona wananchi kama chapati kutugeuza geuza ili mradi tu ndoto zao na kuikamata na kuimaliza nchi zitimie.

Tutakutana Oktoba.
 
Duh! Kumbe ndio maana ukawa wameahirisha mara kadhaa kutangaza mgombea wa kiti cha urais, duh! kumbe mlikuwa mnasubiri mafuriko, sasa kazi kwenu kuyaogelea, mpokeeni mumtunze pengine huko atabadilika huku kwetu tulimshindwa.
 
Lord denning,

Nilisema hili na nitarudia kulisema kila nipatapo nafasi. Kama kuna kosa kubwa CHADEMA imewahi kufanya ni kumpokea Mh. Lowassa, and tge biggest mistake of all ni kutaka Mh Lowassa agombee Urais kwa kupitia CHADEMA na hatimaye UKAWA.

Lengo letu ni zuri, kuung'oa utawala huu wa CCM, tunatambua(kwa wale tuliokuwepo) CCM ya enzi zile si ya leo, adui mkubwa wa watanzania ni CCM. Lakini CCM ni nani? wengi tunasahau hili!

Jambo ambalo viongozi wakuu wa vyama walichofanya ni 'Circus', vuguvugu la mabadiliko halipo tena, tunapumbazwa na mashabiki na kelele nyingi za nje("Tumepata", "sasa ushindi wazi" n.k), ila ndani hapako salama tena.

Siamini kama Mh. Lowassa aliamua kuja CHADEMA eti kwasababu jina lake halikuwa mojawapo ya majina pendekezwa "lilikatwa".Maana sikuona/sikusikia juhudi zozote za yeye au TeamLowassa kusema hili wakiwa ndani ya CCM.

Then suddenly amekihama chama na leo anataka kuongoza wale waliokuwa wakimwita na kumwona mbaya! Na viongozi hili wanaona ni sawa, all because of what money? Power? Desperation? ..And we do this in the name of "kuing'oa CCM", Naomba niseme wazi haiwezekani kuing'oa CCM kwa kuwafanya viongozi wale wale wa CCM, kushika hatamu (no matter how influential they might be).

Sina ubaya kabisa na Lowassa 'kujisalimisha' CHADEMA/UKAWA kabla his political history kufutika, ila ubaya ni "kujisalimisha" na kupewa kuongoza 'Makamanda hawa'.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom