Ali Hassan Mwinyi aungana na Julius Kambarage Nyerere kwenye utakatifu

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,557
Tukubali kuwa wahenga hawa walikuwa watu wa kipekee sio kwasababu walikuwa viongozi wa nchi na watu wenye madaraka makubwa, bali kwasababu ya utu wao hata walipokuwa hawapo madarakani.

Wahenga hawa wana mambo mengi yanayowafananisha lakini machache kati ya hayo mengi ni haya yafuatayo:

1. Uungwana
2. Upendo kwa watu
3. Hekima
4. Kujishusha
5. Ukweli
6. Kuwajibika
7. Ucheshi

Viongozi hawa wawili hadi sasa wanaonekana kuwa ni viongozi wenye karama za pekee na wataendelea kukumbukwa kwa vizazi vingi Tanzania.

Ukweli mwingine ni kuwa watakatifu hutoka kati ya watu na hufanywa na watu pia. Nyerere na Mwinyi, ni viongozi waliokuwa watu wa watu na wameishi kwa namna ambayo hadi wanafika hatma ya maisha yao watu wamekuja kuwaona kuwa na watu wenye tunu za kipekee na watakatifu.

Niliyojifunza hasa katika maisha ya Mzee Mwinyi: Maisha ni safari ndefu, maisha ni hadithi, maisha hubadilika, si salama kukimbilia kumhukumu mtu, kuna nafasi ya kubadilika, mtu ni watu, anza na ulicho nacho, kuwa mnyenyekevu, ishi na watu vizuri, marafiki ni mtaji, watu ndio hakimu wa mtu, ajishushaye hukwezwa, hakuna mwisho wa kukua na kubadilika, watu hukumbukwa sio kwa vitu bali kwa tunu zao.

Apumzike kwa amani Mzee Ali Hassani Mwinyi.
 
Kudinya mama mzazi ni utakatifu kweli waisiharamu mmechanganyikiwa au bwana mudi alisema ni suna kudinya mama mzazi
 
Back
Top Bottom