magazeti ya mtanzania na majira mnamo januari 02,2012 yalitoka na moja ya story kurasa za ndani kwamba el alishangiliwa sana pale jina lake lilipotajwa katika shairi huko kahama sasa mwenyekiti wa mamalaka ya maji kahama ambapo ndipo sherehe husika zilifanyika na ambaye pia ni katibu mwenezi wa ccm kahama amekanusha katika taarifa ake kwa vyombo vya habari ambayo ni hii ifuaayo:..
LOWASA HAJAMWAGIWA SIFA KAHAMA BALI SELIKARI YA AWAMU YA TATU NA NNE
LOWASA HAJAMWAGIWA SIFA KAHAMA BALI SELIKARI YA AWAMU YA TATU NA NNE