Lowassa hoi, yupo matibabu Ujerumani anaumwa stroke

Status
Not open for further replies.
Namtakia afya njema ingawa sitaki awe Rais wangu...nazionea huruma open space, lol!
 
Ombea adui aishi siku nyingi ili unavyobarikiwa ajionee mwenyewe, huyu jamaa kwa mara ya mwisho kumuona anahojiwa na TBC1 midomo yake ilikuwa inafunguka kwa taabu kama mtu aliyekoswakoswa na kiharusi vile.
Kuambiwa ana kiharusi sitashangaa lakini naomba apone ili aone jinsi Mungu anavyowabariki maadui zake maana mamvi hafai hata kwa kunywea maji ya kunywa.
 
hii stroke ya ngapi sasa...kweli power corrupt mind and soul...huyu jamaa na hela zake zote angetulia ale maisha huku akiwatayarisha wapambe, wanae, wajukuu na wakwe waje chukua nchi...mtandao wake ni mkubwa nchi nzima kiserikali, kibiashara na kichama ulikua unatosha kumlinda akiwa ameretire na ulikua unatosha kutengeneza viongozi wa sasa na wa baadae anaowataka yeye...sasa hii ego na greediness ya kukaa front mwenyewe kutamuua
 
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.

Hata mwenyekiti wake wa chama chake nina hofu naye kiafya sana!

Yetu ni macho tu!
Wanang'ang'ania madaraka utafikiri ndiyo wao tu!
 
kwani kwenda magogoni shida iko wapi? Anayeshi pale sasa hivi ana uzima gani? Mara haishi kudondoka majukwaani...unadhani hizo ziara za kila siku za ughaibuni bure? Mwombeeni el apone arudi kuendeleza mapambano

mapambano.....?? Ya kutetea ufisadi?
 
Bado kidogo mambo yote yatakuwa hadharani kwa nini anakwepa kwenda kutibiwa Apolo wanakoenda waheshimiwa wote wa serikali
 
EL hafai kuwa Rais lakini kuwepo kwake ktk kugombea 2015 kutaipa changamoto CCM kuchagua mgombea wa kweli mwenye imani ya wananchi na atakayetumikia makundi yote..

Wana CCM wanaojali chama wanamuombea EL awe na afya na aendelee na purukushani zake za urais 2015..hii ni nzuri kwa ccm na taifa kwa sababu ukitoa kundi kubwa la EL makundi madogo madogo yaliyobaki yanaogopa nguvu zake na hivyo hayana budi kujiunga na kupendekeza mgombea anayefaa hapo 2015 na siyo mgombea wa kupachikwa kilaza kama vile JK anavyopanga kufanya...El asipokuepo kila mtu atataka kuweka mtu wake na hapo JK atapata upenyo wa kuweka mtu kama yeye 2015
 
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.

Vp Apollo kamkwepa Dr.?
 
Nitafurahi aishi mpaka siku atakaposhitakiwa kwa ufisadi wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom