Lowassa hoi, yupo matibabu Ujerumani anaumwa stroke

Status
Not open for further replies.
Juzi si kulikuwa na thread yake humu kuwa sms zake zimekamatwa na TAKUKULU kuhusu kugawa pesa Arumeru leo tena yupo Ujerumani anaumwa Stroke.

Na wewe sijui ulitaka kusema nini labda ukashindwa kusema ukaeleweka,kwani mtu akiwa ujerumani hawezi kutuma sms ??
 
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.
Usiseme uongo ni moja kati ya amri za Mungu alizopewa Musa kutuletea , tuzijue na kuzifuata ili tuweze kuuona ufalme wa Mungu.
 
Simtakii Mabaya lakini kama ni kweli ana stroke, bado anatoa pesa kutengeneza mazingira ya 2015? Si ni bora hizo pesa awaachie akina Freddy!
 
Labda unisaidie mkuu wangu hivi hunaweza kutuma sms wakati mwili umepata Stroke?

stroke zina stage mbalimbali wewe..anaweza kuwa na minor stroke,kuna watu wangapi wamepata stroke lakini viungo vyao vingine vinafanya kazi kama kawaida na pia kutuma ujumbe unaweza kumuelekeza tu mtu maneno ya kuandika akaandika kwa niaba yako na kukusomea majibu pia.
 
Magamba mnajitoa ufahamu, chama kiko unstable kisa mbio za EL kuelekea magogoni, lini umesikia Dr Slaa akisema au kusemwa kugombea uraisi?
Usidanganyike, hamna wakati chama kipo kwenye hali nzuri kama wakati huu. CCM ni mwendo wa usindi tu, subiri Arumeru ujionee!

Umeniquote vibaya, nimetaja tu DR na sijataja mambo ya Slaa.. Who is Slaa by then!
 
stroke zina stage mbalimbali wewe..anaweza kuwa na minor stroke,kuna watu wangapi wamepata stroke lakini viungo vyao vingine vinafanya kazi kama kawaida na pia kutuma ujumbe unaweza kumuelekeza tu mtu maneno ya kuandika akaandika kwa niaba yako na kukusomea majibu pia.

Tuambie mkuu Stroke yake ni ya aina gani?
 
Ni bora afe ili ushahidi uwe wazi kati yake na jk;

Kama alivyo bwana msafi na gavana balali

hio roho mbaya kiasi chakumuombea el afe unaipata kwa kutumia dini gani au muongozo gani ndugu au ndio basi tu ushabiki wakisiasa?
Kila mtz anafaham udhaifu wa el,sawaa sikatai,hem jitafakari na wewe je kweli wewe ni msafi kiasi cha kuendelea kuishi kama kweli mshahara wa dhambi ni mauti?
 
Usije ukawa utabiri wa T.B. Joshua. Hana nafasi zile lakini.
 
Tuambie mkuu Stroke yake ni ya aina gani?

sasa hilo ndio ulitakiwa kuanza nalo badala ya kukurupuka kushangaa kama inawezekana mtu akatuma msg akiwa ujerumani.Swali lako nimelipokea na mimi nakusaidia kuliekeza kunakohusika,eti jamani kuna mwenzetu anauliza kwa mwenye tetesi mungine tetesi mlizosikia eti mzee lowassa "stroke yake" ni ya aina gani?????
 
Kama ni kweli ,malipo ni hapa dunia. Watanzani wanakufa kwa njaa na kupgwa risasi wao wanakufa kwa presha na stroke. Kila mtu atavuna alicho panda. God never mind how much somebody is fisadi.with him punishmen is there stay. Judge not but it's ma ****un view.
 
sasa hilo ndio ulitakiwa kuanza nalo badala ya kukurupuka kushangaa kama inawezekana mtu akatuma msg akiwa ujerumani.Swali lako nimelipokea na mimi nakusaidia kuliekeza kunakohusika,eti jamani kuna mwenzetu anauliza kwa mwenye tetesi mungine tetesi mlizosikia eti mzee lowassa "stroke yake" ni ya aina gani?????

Sasa kumbe hata wewe ujui mie nilidhani ulivyokuwa unazichambua Stroke nikadhani ya Lowassa unaijua!

Na unaweza kutusaidia hizo sms alizokuwa anatuma kutokea Ujerumani alikuwa anatumia line ya kampuni gani TiG0, AIRTEL, VODACOM?
 
Mara kadhaa huelekea Germany ikiwa ni sehemu ya clinics zake, hili la kudhoofu ngoja tulifatilie na tujue.
Yule kesha kuwa mzee mzima,kwahiyo suala la afya lisikushangaze sana kwani wazee huandamwa na magonjwa ya kizee.
 
asiogope. Mungu amjalie apone haraka aje kujibu shutuma zake mahakamani. alifikiri itakuwa siri.
 
Kuna masai flani hapa A town anapenda kumpaisha aliniambia mzee yuko Ujerumani, nikazani ameenda kutalii, kumbe anaumwa. Nahisi wazee wa Kyela nao wameamua kumwaga mboga. Haa! Haaa!
 
Sasa kumbe hata wewe ujui mie nilidhani ulivyokuwa unazichambua Stroke nikadhani ya Lowassa unaijua!

Na unaweza kutusaidia hizo sms alizokuwa anatuma kutokea Ujerumani alikuwa anatumia line ya kampuni gani TiG0, AIRTEL, VODACOM?

mzee naona unazidi kuchanganya taarifa katika hizo tetesi hakuna hata moja niliyoianzishe mimi unless uniquote na kuweka hapa,otherwise mi ni mchangiaji tu kama wachangiaji wengine,hayo ya sms au maradhi ya 'stroke ya lowassa" ilifaa uwaulize watoa taarifa,mimi si mmoja wao bali na mimi nimesoma hapa kama ulivyosoma wewe nikaanza kuchangia kama zilivyoletwa,kuchambua stroke in general haina maana naijua stroke ya mgonjwa husika bali nilikua nakusaidia wewe kuelewa kwamba inawezekana kabisa mgonjwa wa stroke akatuma sms kutoka na aina ya stroke iliyompiga na pia inawezekana kabisa mtu akawa ujerumani na popote duniani akatuma sms na ikafika arumeru na kwingineko tanzania mambo ambayo wewe kutokana na comment yako a mwanzo ni wazi kwamba ulikua hujui kama yanawezekana,ulikua maamuma,na ni si dhambi kutojua jambo cuz hakuna anayejua kila kitu,hili lisikutie unyonge.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom