Lowassa hoi, yupo matibabu Ujerumani anaumwa stroke

Status
Not open for further replies.
sasa hilo ndio ulitakiwa kuanza nalo badala ya kukurupuka kushangaa kama inawezekana mtu akatuma msg akiwa ujerumani.Swali lako nimelipokea na mimi nakusaidia kuliekeza kunakohusika,eti jamani kuna mwenzetu anauliza kwa mwenye tetesi mungine tetesi mlizosikia eti mzee lowassa "stroke yake" ni ya aina gani?????

ya kunywa pombe kali sana

ameshauriwa aache kukata kilevi kinapelekea mpaka kutetemeka
 
Siasa hizi zisizo na ubinadamu hazina tofauti na ushirikina.Kumtakia mtu kifo ni uchawi tu,siyo itikadi wala sera.

Naamini chadema tutaunda serikali mwaka 2015,tunahitaji CCM imara ili kuimarisha harakati za kuchukua dola na kuunda dola imara zaidi baada ya chaguzi mkuu 2015.

Tuendelee kuiunga mkono chadema huku tukiendelea kuombeana heri.Umoja katika harakati zetu ndicho kipimo cha umoja katika dola itakayoundwa na chadema baada ya uchaguzi mkuu 2015.

We have all what it takes to restore our dignity and integrity as a Nation,we have all what it takes to restore our Pride as Nation.
 
Mungu tusaidie kuyamaliza Magamba yote. Malipo ni hapa hapa duniani, mbinguni ni mahesabu tu. Ngoma ikivuma sana mwisho wake hupasuka.
 
Eeh Mwenyenzi Mungu, mjalie mwana wako EL apone.

Huruma na Upendo wako umwangazie Eh Mungu ktk kipindi hiki. Apone mwili na akili
 
Maoni ya hii thread kiboko. Sikutarajia kukutana na niliyoyaona hapa, kweli Tanzania ni zaidi ya niijuavyo
 
Siasa hizi zisizo na ubinadamu hazina tofauti na ushirikina.Kumtakia mtu kifo ni uchawi tu,siyo itikadi wala sera.

................
We have all what it takes to restore our dignity and integrity as a Nation,we have all what it takes to restore our Pride as Nation.

Ben, indeed we've all what it takes to restore our pride as a nation WITHOUT LOWASA.
 
Siasa hizi zisizo na ubinadamu hazina tofauti na ushirikina.Kumtakia mtu kifo ni uchawi tu,siyo itikadi wala sera.

Naamini chadema tutaunda serikali mwaka 2015,tunahitaji CCM imara ili kuimarisha harakati za kuchukua dola na kuunda dola imara zaidi baada ya chaguzi mkuu 2015.

Tuendelee kuiunga mkono chadema huku tukiendelea kuombeana heri.Umoja katika harakati zetu ndicho kipimo cha umoja katika dola itakayoundwa na chadema baada ya uchaguzi mkuu 2015.

We have all what it takes to restore our dignity and integrity as a Nation,we have all what it takes to restore our Pride as Nation.

sikubaliani na wewe hii mijitu ya ccm hata ikifa yote itakuwa furaha kwa taifa kwani ndio ukombozi kama wewe hukuona walipiga danadana mpaka madaktari wakagoma na kusababisha vifo kwa wagonjwa mpaka leo raisi anakenua meno tu kwenye runinga hakuna uwajibikaji, wizi wa mali ya umma, hii haina tofauti na wao kuwatakia kifo watanzania sasa wakitangulia wao sio mbaya tena kun a maovu mengi sana wamefanya hawa watu usiwaone wanajibainishi na misikiti na makanisa mbele za mungu ni watu wengine kabisa hii anana tofauti na wachawi na hata kitabu kitakatifu kimesema katika kutoka 22:18 sasa hawa ccm hawana tofauti na mwanamke chawi kwa mambo wanayoyafanya katika nchi hii hivyo kifo au mauti ni haki yao wala hatuna haja ya kutofurahia
 
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa Monduli CCM, Edward Ngoyai Lowassa anaumwa sana na amepelekwa matibabu Ujerumani, Mwenye taarifa sahihi atujuze............ nawasilisha.

Mungu mjalie uzima.
Ili akipona mwaka 2015 Cdm inapochukua nchi.
Aone kwa macho yake na atumikie kifungo chake bila wasiwasi.
 
lisemwalo lipo,hali ya kiongozi yule ni mbaya hata ukimtizama tu unagundua,nilipata bahati ya kukaa nae karibu mahali hivi karibuni,nilisikitika sana kwa kweli kwa jinsi nilivyomfahamu mheshimiwa kabla na kwa muda mrefu kumuona kabadilika vile roho iliniuma sana,lakini ndio hivyo binadamu sisi si mali kitu ni vema tumrejee mungu na kumuomba sana hii dunia tunapita tu tusijisahau sana.

mungu ampe nafuu haraka.

Kama wangelijua hilo hawangehangaika na haya ya duniani.Mungu ndiye alfa na omega.wengi tunajisahau tukifikiri tu miungu wa hapa duniani.Tumtafute Mungu kwanza na wengine tutaongezewa.
 
kilio gani?

tuache unafki tuwe wawazi kilio tunacholia watanzania kila siku juu ya haya magamba yaani ccm hivyo jamaa anamwombea pumziko la milele ila kwa aliyoifanyia tanzania sidhani kama atapata pumziko watu hawana utu hawa
 
Mungu mjalie uzima.
Ili akipona mwaka 2015 Cdm inapochukua nchi.
Aone kwa macho yake na atumikie kifungo chake bila wasiwasi.
ukiingia vitani hakuana kusema unapiga halafu usiwauwe maadui zako ili ukipata ushindi au ukiuteka mji wao waone watakutesa ndili kosa alilofanya wana wa isaraeli mpaka leo mapigano yaishi kule soma maandiko mkuu huyu bwana kama ni kufa na afe ili taifa lipate ukombozi dhidi ya maadui maana zamani tulikuwa na maadui watatu ujinga maradhi na umaskini siku hizi kuna nyongeza ya magamba
 
Lowassa ni mgonjwa hilo halina ubishi mwezi Jan 2012 nilibahatika kukaa nae karibu katika zile harakati zake za harambee za kila J2 akishika kitu mikono inatetemeka wanaomtabiria kwamba atagombea urais 2015 sijui kama wameshaifanyia tasmini afya yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom