Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,945
Watanzania, can we think outside the box? CCM sio dini yetu, hakuna dhambi kuachana nayo. Umefika wakati sasa tuanze kufikiri kupata viongozi nje ya chama hiki kilichojaa kila aina madhira.
Ungekuwa umeifuatilia hii topic from the very beginning ungebakia kidogo kutoa mchango wa hapa na pale. Mpaka unapo quit kwa sababu zako unazozielezea kwamba ni mimi kuruka ruka hapa na pale, hujatoa hoja hata moja na hujajibu swali langu hata moja la msingi. I have remained on course all along. Ni wewe tu ndio unaona hayo ya kuruka ruka, esp since hjaelewa nini ni mada yang.
I enjoyed your discussion and see you in the near future. Ila next time ninaku shauri jaribu kuwa makini na kusoma kila kitu kuanzia the title of the thread. Then sit and digest before kukurupuka.
Ungekuwa umeifuatilia hii topic from the very beginning ungebakia kidogo kutoa mchango wa hapa na pale. Mpaka unapo quit kwa sababu zako unazozielezea kwamba ni mimi kuruka ruka hapa na pale, hujatoa hoja hata moja na hujajibu swali langu hata moja la msingi. I have remained on course all along. Ni wewe tu ndio unaona hayo ya kuruka ruka, esp since hjaelewa nini ni mada yang.
I enjoyed your discussion and see you in the near future. Ila next time ninaku shauri jaribu kuwa makini na kusoma kila kitu kuanzia the title of the thread. Then sit and digest before kukurupuka.
Mchambuzi,
Spare us the contentless political blather, and just answer this simple question, EL huo utajiri wa haraka haraka ameutoa wapi?
Can we talk of Mwandosya as well? idea ya hii topic ilikuwa kujadili ni vipi EL na Mwandosya wanafaa au hawafai for 2015. In most case, kila mtu amemng'ang'nia lowassa na kwamba hafai. Na in the process, hakuna data za maana au mpya ambazo zinatolewa on this individual. Ila all in all, ishara ni kwamba no one in JF is ready for EL as president 2015. Akiupata huo urais mtafanyeje? Kaupata Uwaziri mkuu na hiyo ndio tiketi yake. Mnadhani waziri mkuu wa tanzania ni mtu mdogo?
Lets talk of mwandosya now. Na hata kama tutamuongelea lowassa, let us do it as parrarel to mwandosya coz that was the essense of this topic.tafadhali.
Hili la kugeneralize kuwa watanzania wengi wanarukia hoja na kujifanya wajuaji unaliongea kwa authority gani... umefanya wapi scientific research kuthibitisha hili? au bosi wako mkoloni na mwizi Rostam Azizi ndio amekutuma kutukana watanzania wasomi na wenye uwelewo wa kutosha wa JF?
Moja ya email ulizotumiwa within the last 10 days imesajiliwa kwa jina la kampuni ya Rostam Aziz na huo ni uthibitisho wa kwanza kuwa yeye ni bosi wako.
Yeye ni bosi wako na kazi yako ni kuja kutukana wenzako humu kuwa wana ngozi inferior... matusi ambayo mkoloni na mwizi mkuu Rostam Azizi anayatumia sana.
Can we talk of Mwandosya as well? idea ya hii topic ilikuwa kujadili ni vipi EL na Mwandosya wanafaa au hawafai for 2015. In most case, kila mtu amemng'ang'nia lowassa na kwamba hafai. Na in the process, hakuna data za maana au mpya ambazo zinatolewa on this individual. Ila all in all, ishara ni kwamba no one in JF is ready for EL as president 2015. Akiupata huo urais mtafanyeje? Kaupata Uwaziri mkuu na hiyo ndio tiketi yake. Mnadhani waziri mkuu wa tanzania ni mtu mdogo?
Lets talk of mwandosya now. Na hata kama tutamuongelea lowassa, let us do it as parrarel to mwandosya coz that was the essense of this topic.tafadhali.
We all read along the lines, kuhusu swali lako la msingi sijui kwa nini hakumalizwa kwa nini usituambie wewe since unajua jinsi alivyoflip pesa yake baada ya kuwekwa benchi. How about 2005 asichukue form ya kugombea urais atoe full support including fund raising na supporters kwa atakayechukua?Kweli sumu ya Nyerere kali sana. It is the same queston he asked. Yeye alikuwa na nia yake, sijui kama unalijua hilo; je nia yako ni sawa na ya Nyerere?
Anyways, hili swali nililijibu jana. tafadhali rejea huko nyuma. Kwa kifupi nilisema kwamba it all started by nyumba yake ya masaki ambayo mmeitaja humu. Thats the only property ambayo nyerere aliipigia kelele.
Sasa kuwa na nyumba kama ile in early 1990s mbona haikuwa uncommon? Mbona vijana na wazee wa Nyerere walikuwa nazo zaidi ya moja? Mbona watu hawaulizi lile hekalu la bakari Mwapachu tena alilojenga pembeni ya nyerere, hela alizitoa wapi? Nyerere alikaa kimya tu sababu ukoo wa mwapachu ulimsaidia sana enzi za TANU Tanga. Sasa nyumba ya Lowassa ndio iwe tabu? Hivi mnatumia fikra zenu kweli kudadisi hili suala? Aau ni kumlamba nyerere miguu all the way?
Kwa nyumba kama ile ya EL miaka ile, its very easy to spin that asset. He must have been receiving very good rent. Sasa unadhani hana akili ya ku spin hela yule mtu? Plus ile nyumba u can take loan benki na kuitumia collateral - take very good money.
Swali lako la msingi linaweza kuwa- alipata wapi hela kujenga nyumba kama ile ya masaki? The house is in a prime location, so ile land ilikuwa na so much value. Mnajuaje labda aliingia into an agreement na partnership na watu? he may not own the house 100%;. Kuwa na kiwanja maeneo kama yale utapata partner wa kuingia in business na wewe the same day. In my view, thats how he managed to build the house. Kwa watu wenye upeo mdogo watatoa hoja kwamba hata kupata mpangishaji alitumia nafasi yake.
1995 aliachwa kwenye cabinet and by that time the only major property he had was ile nyumba. He became an entreprenuer after kuachwa kwenye cabinet, he had given up hope and went all out as mfanyabiashara. Na hapo ndipo zilizaliwa biashara zake ambazo ni za kawaida tu ila za akili sana kwa miaka ile sababu watanzania walikuwa wamelala. Mfano laundrymat. Hii ilikuwa a simple business na ilipata sana business tanzania sababu hapakuwa na competitor. Katika kipindi hiki, hakuwa na nafasi ya kula rushwa kama wengi mnavyo lazimisha kwamba he had more than that house before 1995, it was pure entreprenuership. Wanaolipinga hili ni wivu tu na consumers wa sumu ya nyerere.
Swali langu mmelikwepa kabisa on:
How comes EL hakumalizwa kabisa kisiasa after 1995 esp after nyerere endorsed the idea kwamba hafai; how come hakumalizwa kisiasia while he was gone in 1995??? Why??? Kwanini we see later in the years anarudishwa kwenye cabinet??? Doesnt that tell you kwamba kuna kitu hapa na nyerere wasnt correct??? Na usisahau kwamba nyerere alisema EL akijerekebisha ana nafasi nzuri. Go watch that tape na uiangalie kwa mazuri pia, sio on just what negative things nyerere said...
Kwanini unakwepa swali langu la hapo juu? Hilo ni swali laungu la msingi na naulirudia zaidi ya mara nne sasa but all this time linakwepwa? Why coz there is a pre determined viewtayari on Lowassa kwamba ni mbaya, dikteta, mwizi...
Ama kweli sumu ya nyerere kali.
tafadhali nijibu swali langu hapo juu.
Pia nilitaja viongozi wengi tu wengine kwamba wanafaa, zaidi ya kumi. Kwanni tusiwaongelee na hao? It looks like ni EL peke yake ambae anawapa pressure sababu anaenda kwa kasi sana kuliko mnavyotaka in terms of politics.
Niliwataja wengi tu viongozi na wote i can break it down the same way as lowassa in terms of their career,mali etc. Si vitu vipo ni kwenda tu kuvifanyia utafiti? Utafiti wangu on Lowassa ndio huo.
Tafadhali usisahau kunijibu swali langu hapo juu on why lowassa hakumalizwa na badala yake, walioshauri atoke cabinet wakashauri arudishwe, tena upesi sana.
We all read along the lines, kuhusu swali lako la msingi sijui kwa nini hakumalizwa kwa nini usituambie wewe since unajua jinsi alivyoflip pesa yake baada ya kuwekwa benchi. How about 2005 asichukue form ya kugombea urais atoe full support including fund raising na supporters kwa atakayechukua?
What an awful response. Ndugu yangu huna hoja na hujui kuzijenga. Nimejitahdi kujenga hoja on what and how EL alitengeneza hela and majibu to nyerere yalikuwa very simple. What i presented is the most case scenario. Umeshindwa kuja na hoja on that, all you wanted ni kujua majibu yangu as an alternative to your fixed belief based on nyerere. What a shame.
As long as sipatiwi jibu la hilo swali langu la msingi, it becomes self explanatory kwamba nyerere made a mistake kumsema EL vile wakati watu kama - Mwapachu alijenga hekalu sharing same fence na nyerere and to nyerere he remained clean na akapewa na uwaziri 1995, tena wa sheria na katiba. Kwa watu wanaojua ukweli, nyerere alikuwa na sura mbili lakini wajua mambo walikuwa waoga kuzizungumzia hizo sura zake.
Further, kurudishwa EL kwenye cabinet ndani ya miaka ile ile mitano ya utawala wa Mkapa pia ni evidence kwamba nyerere hakuwa na hoja ya ku hold in the long run, and rather it was a tactic kummaliza tu ili mkapa apite. Until you answer my question, sioni tena hoja ya kuzungumza na wewe.
Mjadala huu umekuwa mzuri sana, wengi tumenufaika na inside informationa ambazo wala tusingetegemea kuzipata.Ningependa tu kujua msimamo wa Mchambuzi, do you buy the idea that ''the kaizer's wife must be above suspecions?'' Kwa mtizamo wangu mimi, all incumbent leaders are anology in the digital era. Aside from being suspect of dirty games, which i cannot pretend to prove anyway, they cannot deliver.
We need new blood in the system outside the normal cycle of government machinery, who can think globally but act locally. Hawa wazee wa sasa, the so pretending to be Nyerere products hawana jipya kabisa. Wamevamia utandawazi wakati hawajui kudeal na utandawazi. They preach and profess what they dont even take time to study the philosophy behind it. Matokeo yake some innocently some intentionaly wanatumbukiza watanzania kwenye dimbwi la umaskini wa milele.
Mimi siwatofautishi sana na chief wa Mnvomero aliyepewa kioo cha kujiangalia usoni in exchange of valuable metals. Hakujua na si wa kulaumu sana. Viongozi wetu hawa naona wako hivyo. Sasa what is my proposal. It is time to change completely katika mitizamo wa kiongozi wetu ajaye. to me Ningependelea kuona mtu kama Mama Tibaijuka anakua the next president. Why
1. She is well educated with unquestionable experience.
2.She has an International exposure, so she can think globaly but act locally.
3.She is a woman, by nature woman are very sincere and loving, hatafurahi kuona watoto wanakufa kwa utapiamlo wakati yeye yuko busy na kunadi madini nje ya nchi.
4.It is time to give woman a chance to lead.
Zipo sababu nyingi nitazieleze kadiri mjadala unavyokwenda. But time for EL and such like are over. We need new blood with fresh mind. Afadhali hata mgemsema Bernad Membe maana anaonekana kuwa na fikra mpya, kama akiweza kuvuka wimbi la rushwa na ufisadi linalo iteketeza CCM sasa hivi he can be a gold to Tanzania
Mchambuzi nakubaliana kabisa na analysis yako kuhusu Mwandosya, kama ulivyosema huyu jamaa ni possible contender, if all other things remain constant, kama ulivyosema nadhani kwa upande wake uko sahihi sana. Tena nafahamu CCM watakuwa wamerudi kwenye senses zao na kuona kuwa serikali inatakiwa iwe na muelekeo mzuri. Dunia ya sasa haihitaji viongozi wajanjawajanja, Nakubaliana na wewe kuhusu Mwandisya kwa mengi, napinga na wewe kwa mengi kuhusu EL. Lakini nimependa analysis yako.
Nimefurahi sana kuona kuwa na wewe unaona kuwa Mwandosya anachanche kubwa. Kumbe wewe unajua vizuri kuwa ni watu wenye policies wenye visions na mwelekeo ndio wanahitajika Tanzania. Hapo we are in one line. Lakini hata hivyo tusubiri tu isitokee dirty politcs, hizo ndio zinachafua watu, kwa sasa nadhani it is very obvious kuwa matarajio tuliyokuwa nayo kwa JK hayatekelezwi, labda sijui term ya pili kwa hii ya kwanza sio kitu