Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

Mimi ni mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu but i come from a different angle than most of you guys humu. Its that simple. Mimi sijawasema nyie mnaopinga uongozi wa sasa kwamba mmetumwa na walioshindwa kupata urais 2005. Na sitakuwa na hoja kusema hivyo. Na ndio hivyo mnapokosa hoja kwa kusema nawatetea waliopo sasa na nipo kwenye pay roll zao.

Naomba ujenge hoja za msingi kuliko kulalamika na kulia tu ovyo kuhusu nchi yako. Hiyo haitakupeleka popote. Isitoshe, na wewe inaonyesha umeingia kwenye hii discussion katikati, hujui natoka wapi na hoja zangu. Tafadhali take your time and go thread by thread then unirudie.

Asante.

Sio kukosa hoja bali ni ukweli kuwa kati ya email ulizopokea ndani ya siku kumi zilizopita, kuna moja inatoka kwenye computer iliyosajiliwa kwa kampuni ya mwizi na mkoloni Rostam Azizi.... Unaweza kujieleza kwa hili?

Pili, wewe ndio huna hoja kwa sababu unadai kuwa uko neutral na huku tayari una endorse Lowasa na Mwandosya...

Nime-take time kusoma maandishi nikaona ukisema kuwa Lowasa na Mwandosya ni the two smartest members kwenye cabinet... je hii ni analysis, hoja, au suggestion?

Ukiuliza ushahidi kwa nini nasema Rostam Azizi ni mwizi na mkoloni soma post yangu inayofuata.....
 
Kuhusu Mwandosya na EL, i said "they can be argued" to be the two smartest ministers in today's cabinet. Sijajibu hii hoja muda mrefu kwa sababu sioni sana umuhimu wa kufanya hivyo - ukisoma hiyo sentensi on what i said ipo quite clear. Now kama ni analysis, suggestion au hoja, hiyo ni juu yako.

Hoja nyingine za kunishutumu sijui nilipokea emails za Rostam sijui nini kama hutanii basi zithibitishe. Otherwise kupokea emails za RA sio jambo baya kabisa kwa upande wangu, kwanini liwe baya, just because unasema yeye ni mwizi na mambo kama hayo? Kama ana hoja na ana sababu ya kuniandikia, hes welcome.
 
Uthibitisho wa wizi wa Rostam Azizi,

1. Taarifa za ndani za TRA zinaonyesha kuwa Rostam Aziz alikwepa kulipa kodi au alilipa kodi chini ya kiwango halali kwa miaka zaidi ya mitano kwa kipindi kati ya mwaka 1997-2002. Kama hujui kuwa kutolipa kodi au kudanganya malipo ya kodi ni wizi basi kasome tena sheria ya nchi yako.

2. Rostam Aziz alikwepa kulipia kodi halali ya nyumba (viwanja) vyake viwili kwa zaidi ya miaka 10 kabla hajakuwa kiongozi wa CCM.

3. Serikali ya Marekani inamchunguza business partner wa Rostam Aziz (Mu-Iran) ambaye alinunua bidhaa kutoka kwa Rostam mnamo mwaka 2003 na kuvilipia mara tano zaidi ya bei ya kawaida. That guy ambaye jina lake linaanza na H.... anatajwa na Mosad kuwa ni financier wa silaha za magendo duniani. Je Mkoloni Rostam anataka tutawaliwe na Iran au anaweza kuelezea hili?

Ukitaka nifungulie mbwa..... jiandae kupanda juu ya mti
 
Dhana yako ya kufungulia mbwa ni uwoga, kutojiamini na kutokuwa matured. kama unajua thamani ya kweli ya vielezo vyako na una uchungu wa nchi yako, kwanini uwe na such behaviour? au Au hivyo ndivyo well behaved women make history? Kama una hoja endelea kuziweka hapa tuzichambue.

Nina muda mwingi tu wiki hii kwahiyo the more we discuss issues the better for me.
 
Mchambuzi,
You have lived up to your name. Katika madini kosa tulilofanya ni kutokwenda ubia na wawekezaji at 49-51 au hata 40-60. Huwezi kumpa Sinclair 100% halafu wewe usubiri tu 3% au kodi ambayo hajaanza kulipa. Tungejifunza kutoka kwa wenzetu wa Botswana kabla ya kuwaingiza wawekezaji katika madini.
 
Kazi ya rais ni pamoja na kusimamia haki na kulinda katiba ya Jamhuri ya Muungano. (Hicho ndio kiapo alichokula).

Hii mikataba mibovu etc. anao uwezo na madaraka aliyopewa kikatiba kuweza kuifuta na kuwaambia kuanzia sasa ni hivi. Tatizo lipo kwa sababu ya kuwalinda wala rushwa, tumbo lake na familia yake.
 
Mchambuzi,
You have lived up to your name. Katika madini kosa tulilofanya ni kutokwenda ubia na wawekezaji at 49-51 au hata 40-60. Huwezi kumpa Sinclair 100% halafu wewe usubiri tu 3% au kodi ambayo hajaanza kulipa. Tungejifunza kutoka kwa wenzetu wa Botswana kabla ya kuwaingiza wawekezaji katika madini.

Haswaa Jasusi. Botswana is enjoying its vast mineral wealth na wana control sana ile sekta. Ukikutwa na diamond wewe mwananchi wa kawaida nyumbani kwako au sijui wapi huko kifungo chake ni kibaya sana, hata kama ilikuwa ni kakipande kama robo kidonge.

Mwadui diamond mine, badala ya kuufanya uwe na ubia wa 51/49 na kuwaache de beers waendelee, nyerere akauchukua wote and just messed up with it. Ukaishia kuwatajirisha watanzania fulani na kina fulani under nyerere's watch ambao waliiba sana mapato na pia almasi yenyewe. Ndio matajiri wakubwa Tanzania ya leo. Hao watu wapo mjini na wanadunda na sisi tunawpa pongezi kem kem juu ya career yao au uongozi wao maridadi. Wakija kina Lowassa na ujanja wa hapa na pale wa maisha na nyerere huyo huyo akipiga kelele, wananchi wanaamka as if hawana ubongo wa kutafakari kwanza.

Gold TZ imejaa tele, we could have done na migodi michache as you are suggesting kama Botswana. In the end miaka imepota na tukakosa kabisa capital na means ya kuizalisha wenyewe. Miaka ya 1990s hali ya uchumi na siasa duniani ilibadilika. Pia tulishakuwa maskini sana kiasi cha kwamba ili kusonga mbele ilibidi tupate misaada na mikopo toka kwa wahisani benki ya dunia etc. Sasa kwa hela hiyo hiyo ambayo tunanunulia oil, madawa, mbolea, etc wakati wa Mkapa ndiyo tungeenda kuanzisha migodi ya serikali badala ya-ku finance budget yetu ambayo wakati ule ilikuwa inategemea fedha za nje kwa 60%? This was impossible. Hakuna kitu cha maana ambacho mkapa angefanya.

Nafasi ya kufanya haya mambo ya migodi tulikuwa nayo wakati ule wa cold war ambapo bado kulikuwa na so many alternative routes za maendeleo. In the end ndio kuruhusu wageni waje kuchimba hizo gold. ndio inauma kwamba we are loosing out a lot but kwa mtu ambae anatumia common sense, hakukuwa na way out zaidi ya kuwaruhusu wageni waje in the 1990s. Watu wanaosema sijui nyerere alisema madini yabaki ardhini but sasa yanaibiwa etc ni upotoshaji tu. Makosa yalikuwa ya huyo huyo nyerere. Mkapa asingeweza fanya lolote on gold zaidi ya ku bargain tu loyalty iwe kubwa kidogo but wasingetoa more than 10%.

Behaviours za FDI in the context of desperate poor countries inatakiwa watanzania wazielewe kwa umakini mkubwa sana kabla ya kurukia mambo. Hawa FDI wanakuja kwa conditionalities na world bank, IMF wanawatuma hawa watu ku take advantage of opportunities because we are poor, we have resources and we are desperate. Kuna kitu kinaitwa MIGA - Multinational Investment Guarantee Agency. Ukiwa signatory wa hii kitu huna ujanja na lazima uwe signatory tu kama unategemea world bank. Hii MIGA ndio inawalinda hawa wageni wa migodi. Na ukiwaletea fyoko either wanakuambia fine, tutaenda Ghana na kukuacha na gold yako kama nyerere alivyotaka.

Nyerere had a few good planning in theory, but many were very poor na mbaya zaidi alikuwa ni mbabe na dikteta. he though he was right in kila kitu na hakutaka kabisa ushauri. Wataalam wengi wa madini, oil, etc either walikimbia nchi au waliishia kuwa lecturers kama sio civil servants au politicians. Ndio katufikisha hapa tulipo leo kisiasa, kijamii na kiuchumi.
 
Dhana yako ya kufungulia mbwa ni uwoga, kutojiamini na kutokuwa matured. kama unajua thamani ya kweli ya vielezo vyako na una uchungu wa nchi yako, kwanini uwe na such behaviour? au Au hivyo ndivyo well behaved women make history? Kama una hoja endelea kuziweka hapa tuzichambue.

Nina muda mwingi tu wiki hii kwahiyo the more we discuss issues the better for me.

Well behaved women never make history..... I am not going to be well behaved... Na kwa maneno yako sitakuwa matured pia....

Unataka kujadili issues?

Jibu swala la Mwizi na mkoloni Rostam Aziz kutolipa kodi au kulipa kodi chini ya kiwango halali kwa zaidi ya miaka kumi.

Unasemaje pia kuhusu business partner wake.....

Hao ni mbwa wadogo wamefunguliwa.... Ninaandaa dosier ya EL na jinsi alivyokwepa kulipia kodi ya biashara yake ya mabasi ya daladala kwa kipindi cha zaidi ya miaka 10 kuanzia mwaka 1991.

Ukweli ni kuwa some of the issues ikiwemo ya biashara za Rostam na uhusiano wake na mu-Iran bado zinafanyiwa uchunguzi na serikali ya kiwanja.... report kamili itatolewa feb mwakani.

Email uliyopokea toka kwa "Rostam Aziz" ina mambo zaidi ya salam ila JF hawataki kuanika identity za watu hadharani kwa hiyo sio vyema nikitoa email zako hapa hadharani.......
 
Kuhusu Mwandosya na EL, i said "they can be argued" to be the two smartest ministers in today's cabinet. Sijajibu hii hoja muda mrefu kwa sababu sioni sana umuhimu wa kufanya hivyo - ukisoma hiyo sentensi on what i said ipo quite clear. Now kama ni analysis, suggestion au hoja, hiyo ni juu yako.

Hoja nyingine za kunishutumu sijui nilipokea emails za Rostam sijui nini kama hutanii basi zithibitishe. Otherwise kupokea emails za RA sio jambo baya kabisa kwa upande wangu, kwanini liwe baya, just because unasema yeye ni mwizi na mambo kama hayo? Kama ana hoja na ana sababu ya kuniandikia, hes welcome.

Duh,vipi bado upo?Naona unaibua issue moja baada ya nyingine,je unaweza kujibu kuhusu hizo mails unazopata kutoka kwa RA,je kuna ukweli wowote?
 
Haswaa Jasusi. Botswana is enjoying its vast mineral wealth na wana control sana ile sekta. Ukikutwa na diamond wewe mwananchi wa kawaida nyumbani kwako au sijui wapi huko kifungo chake ni kibaya sana, hata kama ilikuwa ni kakipande kama robo kidonge.

Mwadui diamond mine, badala ya kuufanya uwe na ubia wa 51/49 na kuwaache de beers waendelee, nyerere akauchukua wote and just messed up with it. Ukaishia kuwatajirisha watanzania fulani na kina fulani under nyerere's watch ambao waliiba sana mapato na pia almasi yenyewe. Ndio matajiri wakubwa Tanzania ya leo. Hao watu wapo mjini na wanadunda na sisi tunawpa pongezi kem kem juu ya career yao au uongozi wao maridadi. Wakija kina Lowassa na ujanja wa hapa na pale wa maisha na nyerere huyo huyo akipiga kelele, wananchi wanaamka as if hawana ubongo wa kutafakari kwanza.

Gold TZ imejaa tele, we could have done na migodi michache as you are suggesting kama Botswana. In the end miaka imepota na tukakosa kabisa capital na means ya kuizalisha wenyewe. Miaka ya 1990s hali ya uchumi na siasa duniani ilibadilika. Pia tulishakuwa maskini sana kiasi cha kwamba ili kusonga mbele ilibidi tupate misaada na mikopo toka kwa wahisani benki ya dunia etc. Sasa kwa hela hiyo hiyo ambayo tunanunulia oil, madawa, mbolea, etc wakati wa Mkapa ndiyo tungeenda kuanzisha migodi ya serikali badala ya-ku finance budget yetu ambayo wakati ule ilikuwa inategemea fedha za nje kwa 60%? This was impossible. Hakuna kitu cha maana ambacho mkapa angefanya.

Nafasi ya kufanya haya mambo ya migodi tulikuwa nayo wakati ule wa cold war ambapo bado kulikuwa na so many alternative routes za maendeleo. In the end ndio kuruhusu wageni waje kuchimba hizo gold. ndio inauma kwamba we are loosing out a lot but kwa mtu ambae anatumia common sense, hakukuwa na way out zaidi ya kuwaruhusu wageni waje in the 1990s. Watu wanaosema sijui nyerere alisema madini yabaki ardhini but sasa yanaibiwa etc ni upotoshaji tu. Makosa yalikuwa ya huyo huyo nyerere. Mkapa asingeweza fanya lolote on gold zaidi ya ku bargain tu loyalty iwe kubwa kidogo but wasingetoa more than 10%.

Behaviours za FDI in the context of desperate poor countries inatakiwa watanzania wazielewe kwa umakini mkubwa sana kabla ya kurukia mambo. Hawa FDI wanakuja kwa conditionalities na world bank, IMF wanawatuma hawa watu ku take advantage of opportunities because we are poor, we have resources and we are desperate. Kuna kitu kinaitwa MIGA - Multinational Investment Guarantee Agency. Ukiwa signatory wa hii kitu huna ujanja na lazima uwe signatory tu kama unategemea world bank. Hii MIGA ndio inawalinda hawa wageni wa migodi. Na ukiwaletea fyoko either wanakuambia fine, tutaenda Ghana na kukuacha na gold yako kama nyerere alivyotaka.

Nyerere had a few good planning in theory, but many were very poor na mbaya zaidi alikuwa ni mbabe na dikteta. he though he was right in kila kitu na hakutaka kabisa ushauri. Wataalam wengi wa madini, oil, etc either walikimbia nchi au waliishia kuwa lecturers kama sio civil servants au politicians. Ndio katufikisha hapa tulipo leo kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Wewe utampinga Nyerere lakini bado atakua ndo kichwa adimu Tanzania na Afrika nzima,wewe hayo madesa yako sijui ni nani kakulisha kasa,maana unaonekana kuwa na data fake nyingi sana.
 
Kama unavyosema, Mwandosya kile ni kichwa kizuri sana. His only problem ni kwamba hes arrogant sometimes na hajui politics, he gets frustrated and panics kwa vitu vidogo sana. Otherwise katka wagombea wote waliotoa maelezo yao 2005 on why wanataka kugombea urais na watafanya nini kuleta maendeleo Tanzania, no one came top as Mwandosya. Aliichambua nchi toka enzi za nyerere policy kwa policy, akahamisha watu kwenye structural adjustments za mwinyi, na kumaliza na millenium development goals. Hata donors hapa nyumbani walifurahishwa sana. Wengine wote maneno yao on what they will do majibu yalikuwa tu kuendeleza baba wa taifa alifanya nini, na marais waliompokea etc etc i.e. kudumisha mafanikio ya nyuma. Mafanikio yepi???

Mwandosya stands a bigger chance than EL kuwa rais 2015 especially if EL dosent show that ambition na pia if the things i mentined earlier vina hold. Lowassa ana watu wengi tu wanaompenda ndani ya chama na pia wananchi ambao wanaelewa kwamba kama Lowassa ni mla rushwa depending on how you define rushwa, basi yeye ni kifaranga sababu kuna mambuni ambayo tunayakenulia tu kila kukicha.

Je unaweza kutupa majina ya hao unaosema ni wala rushwa zaidi ya Lowassa,ili tuyafanyie kazi?Pia ambatanisha na data.
 
Kuhusu Mwandosya na EL, i said "they can be argued" to be the two smartest ministers in today's cabinet. Sijajibu hii hoja muda mrefu kwa sababu sioni sana umuhimu wa kufanya hivyo - ukisoma hiyo sentensi on what i said ipo quite clear. Now kama ni analysis, suggestion au hoja, hiyo ni juu yako.

Hoja nyingine za kunishutumu sijui nilipokea emails za Rostam sijui nini kama hutanii basi zithibitishe. Otherwise kupokea emails za RA sio jambo baya kabisa kwa upande wangu, kwanini liwe baya, just because unasema yeye ni mwizi na mambo kama hayo? Kama ana hoja na ana sababu ya kuniandikia, hes welcome.

jibu basi hili,je ni kweli unapokea mail kutoka kwa huyu mkoloni?
 
Issue ya kaizer's wife ni ipi? nielimishe tafadhali.

Kuhusu mama tibaijuka, kuna hoja kidogo kwamba shes smart but sio that much. ana elimu nzuri lakini sio mtendaji mzuri wa kazi na mvivu wa fani yake. Mpaka leo hii hajachapishwa article au kitu chochote cha maana ku share na sisi what she has seen or gone through. Thats what professors do. Pia kuna wakati fulani majuzi kulikuwa na sherehe ya kumuaga Prof. Issa Shivji UDSM. Mama Tibaijuka alipewa nafasi ya kuzungumza. Ma professor pale walibaki kuangalia chini na kutikisa vichwa sababu hakuwa na point na wanasema hana upeo na akili kama inavyodhaniwa na kutarajiwa. Pia kazi aliyotumwa kwenda kwa Mugabe 2 years ago kusuluhisha mgogoro kule was a disgrace. Ripoti yake ilikuwa ovyo na approach yake to Mugabe was horrible.

Dr Migiro kile ndio kichwa. Fuatilia speech zake akiwa waziri wanawake na watoto; akiwa waziri foreign; akiwa UN. Kuna speech zake na videos za press conference nyingi tu kwenye website ya UN. Ingawa huo unaibu katibu mkuu wa UN ilikuwa ni zawadi kwa tanzania more than her actual qualification for the job, it turned out to be that halikuwa kosa hata kidogo kumpa hiyo kazi na hata nchi kubwa zinabaki kuduwaa with her performance. I wish angebaki waziri wa mambo ya nje for longer. But anayo nafasi bado. Plus mwache a-enjoy uwana diplomasia plus her salary of $40,000 a month. That is good money.

Membe - tumpe muda zaidi kidogo. He might be an asset. For me its too too early to say much about him.
Unaweza kutoa maelezo kwa nini Membe anahitaji kupewa muda zaidi?
Mbona Senetor Obama hajapewa muda zaidi?Unaweza kutofautisha hili
kwa maelezo yenye data makini?
 
Kwani CCm wanao hao tu? au Tanzania tunao hao tu EL na Mwandosya?
itakuwa reasonable kuongelea mambo haya baada ya 2010 towards hiyo 2015. Otherwise nikuleta mambo ya unajimu.
na Hiyo theory ya Uislamu/Ukristo/Ubara/Uvisiwani ina depend na situation at the time, otherwise it does not hold water, now.
Anaweza kwa Mfano akaja Migiro mwanamke na muislamu au akawa Mchambuzi yeye mwenyewe, unless atuambie kama ananuka rushwa au elimu yake ndogo hivyo hatofaa. Au mtu kutoka Chadema, CUF, UDP ambaye Dini yake / jinsia haijulikani.
So for now the door is still wide open, till after uchaguzi wa 2010 atleast mwanga unaweza kuanza kuonekana.
 
Basing on theory ya Mchambuzi, Je anajua kwamba in the Plan Ali Hassan hakupangwa kuwa President wa Tanzania zaidi ya hiyo Zanzibar, Plan iliharibika baada ya Jumbe kujiuzulu kabla term yake kwisha, so seniority Principal ikatumika.
 
Agust,
Nani alitakiwa kuwa rais kama siyo yeye??? Nafikiri tunajaribu kuwa too hypothetical hapa. Ilikuwaje apate madaraka makubwa hivyo kama hakuaminiwa? Unajua AHM alishakuwa Interior Minister before that. Na unajua enzi zile kuwa minister kwenye wizara nyeti kama ile ilikuwa siyo mchezo. Unajua serikali nyingi za Afrika zilikuwa zinapinduliwa sana wakati ule? Kwa hiyo wizara asingepewa mtu hovyohovyo tu!!!
 
Zero ukiwa umesoma btn the lines, ungeelewa, but just for your Benefit, ilikuwa Nyerere na Jumbe wajiuzulu wakati moja, so both raisi wa jamhuri ya muungano na yule wa visiwani wangekuwa fresh people, sasa watu ambao wangetokea wakati huo siwezi kusema angekuwa zero au august or who ever.
But Jumbe resign before the intended time, Ambapo Mwinyi alichukua Madaraka ya Visiwani, ilipotokea Nyerere Kujiuzulu ikawa the next senior Person in the country ni Ali ambaye he has Just been there for a while, so ni lazima aendele kuwepo.
Sasa Siasa au sababu za kutompitisha, na ile hali ya kuchafuka kwa hali ya Hewa, ikashindikana kumuweka Mtu wa Bara Juu Yake.
Hope umenielewa
 
It will be a very interesting scenario because these can be argued as the two smartest members of Cabinet todate.[/

Mkuu eti ni kweli unafanya kazi ofisi ya Lowassa kama dataz zinavyosema au? Eti cabinet yetu ya sasa ina some smartest members?

Kilichowafanya wawe smartest ni nini? Hebu fafanua kidogo mkuu?
 
Back
Top Bottom