Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

Watanzania, can we think outside the box? CCM sio dini yetu, hakuna dhambi kuachana nayo. Umefika wakati sasa tuanze kufikiri kupata viongozi nje ya chama hiki kilichojaa kila aina madhira.
 
Ungekuwa umeifuatilia hii topic from the very beginning ungebakia kidogo kutoa mchango wa hapa na pale. Mpaka unapo quit kwa sababu zako unazozielezea kwamba ni mimi kuruka ruka hapa na pale, hujatoa hoja hata moja na hujajibu swali langu hata moja la msingi. I have remained on course all along. Ni wewe tu ndio unaona hayo ya kuruka ruka, esp since hjaelewa nini ni mada yang.

I enjoyed your discussion and see you in the near future. Ila next time ninaku shauri jaribu kuwa makini na kusoma kila kitu kuanzia the title of the thread. Then sit and digest before kukurupuka.

Bado upo tuendelee,maswali yako nimeyajibu yote,na kama una mengine uliza,nitakujibu,tumeelewana?
 
Ungekuwa umeifuatilia hii topic from the very beginning ungebakia kidogo kutoa mchango wa hapa na pale. Mpaka unapo quit kwa sababu zako unazozielezea kwamba ni mimi kuruka ruka hapa na pale, hujatoa hoja hata moja na hujajibu swali langu hata moja la msingi. I have remained on course all along. Ni wewe tu ndio unaona hayo ya kuruka ruka, esp since hjaelewa nini ni mada yang.

I enjoyed your discussion and see you in the near future. Ila next time ninaku shauri jaribu kuwa makini na kusoma kila kitu kuanzia the title of the thread. Then sit and digest before kukurupuka.

Unajua wewe umenichukiza kitu kimoja, kila kiongozi mchafu unamtetea, tena unatetea kishamba sana, mfano nilikubaliana nawe kuwa Sumaye hafai, lakini ukaja kuleta hoja kuwa Sumaye si kwamba hafai kwa sababu ya ruhwa, ni kwa sababu ya poor leadeship aliyo nayo.

Moja kwa moja nikaona wewe unatetea mzizi wa rushwa,maana kila tunapogusa penye rushwa wewe unapangusa kwa kutoa vijidata mbuzi tu,ambavyo kila mmoja anaona haupo makini katika siasa za Tanzania, ndo maana nikakuita unakurupuka tu.

Angalia hii chati: Sumaye, Malecela, Lowassa, pitisha maoni kwa watanzania wote wenye akili na busara zao, wapenda amani na wazalendo watakuambia wewe kijana unayejiita Mchambuzi kaa utulie hujui chochote kile,hao hawafaia katika jamii yetu, kila mtu atakuambia yale ninayokuambia mimi.

Ndo maana nimekukataa kwa sababu unawatetea hawa,hatuwezi kuendelea na mjadala endapo utaniambia hawa watu si wala rushwa. Kama vipi tuweke hapa mada kuhusu hawa watu utapewa data ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.
 
Mchambuzi,

Spare us the contentless political blather, and just answer this simple question, EL huo utajiri wa haraka haraka ameutoa wapi?

Kweli sumu ya Nyerere kali sana. It is the same queston he asked. Yeye alikuwa na nia yake, sijui kama unalijua hilo; je nia yako ni sawa na ya Nyerere?

Anyways, hili swali nililijibu jana. tafadhali rejea huko nyuma. Kwa kifupi nilisema kwamba it all started by nyumba yake ya masaki ambayo mmeitaja humu. Thats the only property ambayo nyerere aliipigia kelele.

Sasa kuwa na nyumba kama ile in early 1990s mbona haikuwa uncommon? Mbona vijana na wazee wa Nyerere walikuwa nazo zaidi ya moja? Mbona watu hawaulizi lile hekalu la bakari Mwapachu tena alilojenga pembeni ya nyerere, hela alizitoa wapi? Nyerere alikaa kimya tu sababu ukoo wa mwapachu ulimsaidia sana enzi za TANU Tanga. Sasa nyumba ya Lowassa ndio iwe tabu? Hivi mnatumia fikra zenu kweli kudadisi hili suala? Aau ni kumlamba nyerere miguu all the way?

Kwa nyumba kama ile ya EL miaka ile, its very easy to spin that asset. He must have been receiving very good rent. Sasa unadhani hana akili ya ku spin hela yule mtu? Plus ile nyumba u can take loan benki na kuitumia collateral - take very good money.

Swali lako la msingi linaweza kuwa- alipata wapi hela kujenga nyumba kama ile ya masaki? The house is in a prime location, so ile land ilikuwa na so much value. Mnajuaje labda aliingia into an agreement na partnership na watu? he may not own the house 100%;. Kuwa na kiwanja maeneo kama yale utapata partner wa kuingia in business na wewe the same day. In my view, thats how he managed to build the house. Kwa watu wenye upeo mdogo watatoa hoja kwamba hata kupata mpangishaji alitumia nafasi yake.

1995 aliachwa kwenye cabinet and by that time the only major property he had was ile nyumba. He became an entreprenuer after kuachwa kwenye cabinet, he had given up hope and went all out as mfanyabiashara. Na hapo ndipo zilizaliwa biashara zake ambazo ni za kawaida tu ila za akili sana kwa miaka ile sababu watanzania walikuwa wamelala. Mfano laundrymat. Hii ilikuwa a simple business na ilipata sana business tanzania sababu hapakuwa na competitor. Katika kipindi hiki, hakuwa na nafasi ya kula rushwa kama wengi mnavyo lazimisha kwamba he had more than that house before 1995, it was pure entreprenuership. Wanaolipinga hili ni wivu tu na consumers wa sumu ya nyerere.

Swali langu mmelikwepa kabisa on:

How comes EL hakumalizwa kabisa kisiasa after 1995 esp after nyerere endorsed the idea kwamba hafai; how come hakumalizwa kisiasia while he was gone in 1995??? Why??? Kwanini we see later in the years anarudishwa kwenye cabinet??? Doesnt that tell you kwamba kuna kitu hapa na nyerere wasnt correct??? Na usisahau kwamba nyerere alisema EL akijerekebisha ana nafasi nzuri. Go watch that tape na uiangalie kwa mazuri pia, sio on just what negative things nyerere said...

Kwanini unakwepa swali langu la hapo juu? Hilo ni swali laungu la msingi na naulirudia zaidi ya mara nne sasa but all this time linakwepwa? Why coz there is a pre determined viewtayari on Lowassa kwamba ni mbaya, dikteta, mwizi...

Ama kweli sumu ya nyerere kali.

tafadhali nijibu swali langu hapo juu.

Pia nilitaja viongozi wengi tu wengine kwamba wanafaa, zaidi ya kumi. Kwanni tusiwaongelee na hao? It looks like ni EL peke yake ambae anawapa pressure sababu anaenda kwa kasi sana kuliko mnavyotaka in terms of politics.

Niliwataja wengi tu viongozi na wote i can break it down the same way as lowassa in terms of their career,mali etc. Si vitu vipo ni kwenda tu kuvifanyia utafiti? Utafiti wangu on Lowassa ndio huo.

Tafadhali usisahau kunijibu swali langu hapo juu on why lowassa hakumalizwa na badala yake, walioshauri atoke cabinet wakashauri arudishwe, tena upesi sana.
 
K...ama vipi tuweke hapa mada kuhusu hawa watu utapewa data ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.

...na ntashukuru sana nikipatiwa hizi data ambazo nimekuwa nanyimwa humu JF au kupewa tetesi na majungu tu.
 
personally, i dont have to go with the flow of Nyerere kujua kwamba lowassa hafai. I know am not the smartest person in this world, lakini from far i could tell lowassa sio kiongozi bali ni mropokaji !
 
Can we talk of Mwandosya as well?

Idea ya hii topic ilikuwa kujadili ni vipi EL na Mwandosya wanafaa au hawafai for 2015. In most case, kila mtu amemng'ang'nia lowassa na kwamba hafai. Na in the process, hakuna data za maana au mpya ambazo zinatolewa on this individual. Ila all in all, ishara ni kwamba no one in JF is ready for EL as president 2015. Akiupata huo urais mtafanyeje? Kaupata Uwaziri mkuu na hiyo ndio tiketi yake. Mnadhani waziri mkuu wa tanzania ni mtu mdogo?

Lets talk of mwandosya now. Na hata kama tutamuongelea lowassa, let us do it as parrarel to mwandosya coz that was the essense of this topic, tafadhali.
 
ukiona mwandosya haongelewi sana basi ujue lowassa kazidisha sana utapeli, huyo mwandosya bado sijajua data zake maana yeye ni kama kawekwa tu ! kuhusu lowassa kama hukui anachokifanya hiki kiumbe ndugu yangu yaani utakuwa the perfect victim, maana nchi yako inaliwa na huyu mtu kama mchwa wanavyotafuna mti au gogo.
 
Can we talk of Mwandosya as well? idea ya hii topic ilikuwa kujadili ni vipi EL na Mwandosya wanafaa au hawafai for 2015. In most case, kila mtu amemng'ang'nia lowassa na kwamba hafai. Na in the process, hakuna data za maana au mpya ambazo zinatolewa on this individual. Ila all in all, ishara ni kwamba no one in JF is ready for EL as president 2015. Akiupata huo urais mtafanyeje? Kaupata Uwaziri mkuu na hiyo ndio tiketi yake. Mnadhani waziri mkuu wa tanzania ni mtu mdogo?

Lets talk of mwandosya now. Na hata kama tutamuongelea lowassa, let us do it as parrarel to mwandosya coz that was the essense of this topic.tafadhali.

We have some business before we continue: Unaweza kufafanua hili hapa chini?

Hili la kugeneralize kuwa watanzania wengi wanarukia hoja na kujifanya wajuaji unaliongea kwa authority gani... umefanya wapi scientific research kuthibitisha hili? au bosi wako mkoloni na mwizi Rostam Azizi ndio amekutuma kutukana watanzania wasomi na wenye uwelewo wa kutosha wa JF?

Moja ya email ulizotumiwa within the last 10 days imesajiliwa kwa jina la kampuni ya Rostam Aziz na huo ni uthibitisho wa kwanza kuwa yeye ni bosi wako.

Yeye ni bosi wako na kazi yako ni kuja kutukana wenzako humu kuwa wana ngozi inferior... matusi ambayo mkoloni na mwizi mkuu Rostam Azizi anayatumia sana.

It is unprecedented kuwa na posts 15 per day wakati the most poster kwenye hii JF tangu aanze ana average ya 7 posts per day?

Hebu tuweke sawa hapa ili tujue zipi mbivu.
 
Can we talk of Mwandosya as well? idea ya hii topic ilikuwa kujadili ni vipi EL na Mwandosya wanafaa au hawafai for 2015. In most case, kila mtu amemng'ang'nia lowassa na kwamba hafai. Na in the process, hakuna data za maana au mpya ambazo zinatolewa on this individual. Ila all in all, ishara ni kwamba no one in JF is ready for EL as president 2015. Akiupata huo urais mtafanyeje? Kaupata Uwaziri mkuu na hiyo ndio tiketi yake. Mnadhani waziri mkuu wa tanzania ni mtu mdogo?

Lets talk of mwandosya now. Na hata kama tutamuongelea lowassa, let us do it as parrarel to mwandosya coz that was the essense of this topic.tafadhali.

Naona umekubali kuwa Lowassa hafai,sasa kuhusu Mwandosya,na huyo siyo kwamba hafai,binafsi sijawahi kusikia scandal yake,ila cha kukushauri,hao wadau wako waambie humu JF hatutaki kusikia harufu ya Lowassa. Kuhusu Mwandosya,naye 2015 si mwaka wake,kuna vijana wapo watakuja tu,itabidi hawa wazee wakapumzike.Maana wote hao ni system moja,kwa hiyo hata yeye hana nafasi.
 
Kweli sumu ya Nyerere kali sana. It is the same queston he asked. Yeye alikuwa na nia yake, sijui kama unalijua hilo; je nia yako ni sawa na ya Nyerere?

Anyways, hili swali nililijibu jana. tafadhali rejea huko nyuma. Kwa kifupi nilisema kwamba it all started by nyumba yake ya masaki ambayo mmeitaja humu. Thats the only property ambayo nyerere aliipigia kelele.

Sasa kuwa na nyumba kama ile in early 1990s mbona haikuwa uncommon? Mbona vijana na wazee wa Nyerere walikuwa nazo zaidi ya moja? Mbona watu hawaulizi lile hekalu la bakari Mwapachu tena alilojenga pembeni ya nyerere, hela alizitoa wapi? Nyerere alikaa kimya tu sababu ukoo wa mwapachu ulimsaidia sana enzi za TANU Tanga. Sasa nyumba ya Lowassa ndio iwe tabu? Hivi mnatumia fikra zenu kweli kudadisi hili suala? Aau ni kumlamba nyerere miguu all the way?

Kwa nyumba kama ile ya EL miaka ile, its very easy to spin that asset. He must have been receiving very good rent. Sasa unadhani hana akili ya ku spin hela yule mtu? Plus ile nyumba u can take loan benki na kuitumia collateral - take very good money.

Swali lako la msingi linaweza kuwa- alipata wapi hela kujenga nyumba kama ile ya masaki? The house is in a prime location, so ile land ilikuwa na so much value. Mnajuaje labda aliingia into an agreement na partnership na watu? he may not own the house 100%;. Kuwa na kiwanja maeneo kama yale utapata partner wa kuingia in business na wewe the same day. In my view, thats how he managed to build the house. Kwa watu wenye upeo mdogo watatoa hoja kwamba hata kupata mpangishaji alitumia nafasi yake.

1995 aliachwa kwenye cabinet and by that time the only major property he had was ile nyumba. He became an entreprenuer after kuachwa kwenye cabinet, he had given up hope and went all out as mfanyabiashara. Na hapo ndipo zilizaliwa biashara zake ambazo ni za kawaida tu ila za akili sana kwa miaka ile sababu watanzania walikuwa wamelala. Mfano laundrymat. Hii ilikuwa a simple business na ilipata sana business tanzania sababu hapakuwa na competitor. Katika kipindi hiki, hakuwa na nafasi ya kula rushwa kama wengi mnavyo lazimisha kwamba he had more than that house before 1995, it was pure entreprenuership. Wanaolipinga hili ni wivu tu na consumers wa sumu ya nyerere.

Swali langu mmelikwepa kabisa on:

How comes EL hakumalizwa kabisa kisiasa after 1995 esp after nyerere endorsed the idea kwamba hafai; how come hakumalizwa kisiasia while he was gone in 1995??? Why??? Kwanini we see later in the years anarudishwa kwenye cabinet??? Doesnt that tell you kwamba kuna kitu hapa na nyerere wasnt correct??? Na usisahau kwamba nyerere alisema EL akijerekebisha ana nafasi nzuri. Go watch that tape na uiangalie kwa mazuri pia, sio on just what negative things nyerere said...

Kwanini unakwepa swali langu la hapo juu? Hilo ni swali laungu la msingi na naulirudia zaidi ya mara nne sasa but all this time linakwepwa? Why coz there is a pre determined viewtayari on Lowassa kwamba ni mbaya, dikteta, mwizi...

Ama kweli sumu ya nyerere kali.

tafadhali nijibu swali langu hapo juu.

Pia nilitaja viongozi wengi tu wengine kwamba wanafaa, zaidi ya kumi. Kwanni tusiwaongelee na hao? It looks like ni EL peke yake ambae anawapa pressure sababu anaenda kwa kasi sana kuliko mnavyotaka in terms of politics.

Niliwataja wengi tu viongozi na wote i can break it down the same way as lowassa in terms of their career,mali etc. Si vitu vipo ni kwenda tu kuvifanyia utafiti? Utafiti wangu on Lowassa ndio huo.

Tafadhali usisahau kunijibu swali langu hapo juu on why lowassa hakumalizwa na badala yake, walioshauri atoke cabinet wakashauri arudishwe, tena upesi sana.
We all read along the lines, kuhusu swali lako la msingi sijui kwa nini hakumalizwa kwa nini usituambie wewe since unajua jinsi alivyoflip pesa yake baada ya kuwekwa benchi. How about 2005 asichukue form ya kugombea urais atoe full support including fund raising na supporters kwa atakayechukua?
 
What an awful response. Ndugu yangu huna hoja na hujui kuzijenga. Nimejitahdi kujenga hoja on what and how EL alitengeneza hela and majibu to nyerere yalikuwa very simple. What i presented is the most case scenario. Umeshindwa kuja na hoja on that, all you wanted ni kujua majibu yangu as an alternative to your fixed belief based on nyerere. What a shame.

As long as sipatiwi jibu la hilo swali langu la msingi, it becomes self explanatory kwamba nyerere made a mistake kumsema EL vile wakati watu kama - Mwapachu alijenga hekalu sharing same fence na nyerere and to nyerere he remained clean na akapewa na uwaziri 1995, tena wa sheria na katiba. Kwa watu wanaojua ukweli, nyerere alikuwa na sura mbili lakini wajua mambo walikuwa waoga kuzizungumzia hizo sura zake.

Further, kurudishwa EL kwenye cabinet ndani ya miaka ile ile mitano ya utawala wa Mkapa pia ni evidence kwamba nyerere hakuwa na hoja ya ku hold in the long run, and rather it was a tactic kummaliza tu ili mkapa apite. Until you answer my question, sioni tena hoja ya kuzungumza na wewe.
 
Samahani kwa kuingilia mjadala wako,maana umekua ukinishika mkono pale napoingilia mjadala wako na mtu mwingine.Sidhani kama umetuambia ni jinsi gani Lowassa katenegeneza hela,ulichokisema ni labda alipata fedha yake kutoka kwa mpangaji wake,mara labda alichukua mkopo benki,umekua ukipepesuka tu,huna uthibitisho wowote kuhusu Lowassa alivyochuna mali yake,nitakupa H/W kasome kitabu kiitwacho KUSADIKIKA,baada ya hapo compare Lowassa na hayo maudhui ya kitabu hicho.
 
Mjadala huu umekuwa mzuri sana, wengi tumenufaika na inside informationa ambazo wala tusingetegemea kuzipata.Ningependa tu kujua msimamo wa Mchambuzi, do you buy the idea that ''the kaizer's wife must be above suspecions?'' Kwa mtizamo wangu mimi, all incumbent leaders are anology in the digital era. Aside from being suspect of dirty games, which i cannot pretend to prove anyway, they cannot deliver.

We need new blood in the system outside the normal cycle of government machinery, who can think globally but act locally. Hawa wazee wa sasa, the so pretending to be Nyerere products hawana jipya kabisa. Wamevamia utandawazi wakati hawajui kudeal na utandawazi. They preach and profess what they dont even take time to study the philosophy behind it. Matokeo yake some innocently some intentionaly wanatumbukiza watanzania kwenye dimbwi la umaskini wa milele.

Mimi siwatofautishi sana na chief wa Mnvomero aliyepewa kioo cha kujiangalia usoni in exchange of valuable metals. Hakujua na si wa kulaumu sana. Viongozi wetu hawa naona wako hivyo. Sasa what is my proposal. It is time to change completely katika mitizamo wa kiongozi wetu ajaye. to me Ningependelea kuona mtu kama Mama Tibaijuka anakua the next president. Why
1. She is well educated with unquestionable experience.

2.She has an International exposure, so she can think globaly but act locally.

3.She is a woman, by nature woman are very sincere and loving, hatafurahi kuona watoto wanakufa kwa utapiamlo wakati yeye yuko busy na kunadi madini nje ya nchi.

4.It is time to give woman a chance to lead.

Zipo sababu nyingi nitazieleze kadiri mjadala unavyokwenda. But time for EL and such like are over. We need new blood with fresh mind. Afadhali hata mgemsema Bernad Membe maana anaonekana kuwa na fikra mpya, kama akiweza kuvuka wimbi la rushwa na ufisadi linalo iteketeza CCM sasa hivi he can be a gold to Tanzania
 
Issue ya kaizer's wife ni ipi? nielimishe tafadhali.

Kuhusu mama tibaijuka, kuna hoja kidogo kwamba shes smart but sio that much. ana elimu nzuri lakini sio mtendaji mzuri wa kazi na mvivu wa fani yake. Mpaka leo hii hajachapishwa article au kitu chochote cha maana ku share na sisi what she has seen or gone through. Thats what professors do. Pia kuna wakati fulani majuzi kulikuwa na sherehe ya kumuaga Prof. Issa Shivji UDSM. Mama Tibaijuka alipewa nafasi ya kuzungumza. Ma professor pale walibaki kuangalia chini na kutikisa vichwa sababu hakuwa na point na wanasema hana upeo na akili kama inavyodhaniwa na kutarajiwa. Pia kazi aliyotumwa kwenda kwa Mugabe 2 years ago kusuluhisha mgogoro kule was a disgrace. Ripoti yake ilikuwa ovyo na approach yake to Mugabe was horrible.

Dr Migiro kile ndio kichwa. Fuatilia speech zake akiwa waziri wanawake na watoto; akiwa waziri foreign; akiwa UN. Kuna speech zake na videos za press conference nyingi tu kwenye website ya UN. Ingawa huo unaibu katibu mkuu wa UN ilikuwa ni zawadi kwa tanzania more than her actual qualification for the job, it turned out to be that halikuwa kosa hata kidogo kumpa hiyo kazi na hata nchi kubwa zinabaki kuduwaa with her performance. I wish angebaki waziri wa mambo ya nje for longer. But anayo nafasi bado. Plus mwache a-enjoy uwana diplomasia plus her salary of $40,000 a month. That is good money.

Membe - tumpe muda zaidi kidogo. He might be an asset. For me its too too early to say much about him.
 
Mchambuzi nakubaliana kabisa na analysis yako kuhusu Mwandosya, kama ulivyosema huyu jamaa ni possible contender, if all other things remain constant, kama ulivyosema nadhani kwa upande wake uko sahihi sana. Tena nafahamu CCM watakuwa wamerudi kwenye senses zao na kuona kuwa serikali inatakiwa iwe na muelekeo mzuri. Dunia ya sasa haihitaji viongozi wajanjawajanja, Nakubaliana na wewe kuhusu Mwandisya kwa mengi, napinga na wewe kwa mengi kuhusu EL. Lakini nimependa analysis yako.
 
Kama unavyosema, Mwandosya kile ni kichwa kizuri sana. His only problem ni kwamba hes arrogant sometimes na hajui politics, he gets frustrated and panics kwa vitu vidogo sana. Otherwise katka wagombea wote waliotoa maelezo yao 2005 on why wanataka kugombea urais na watafanya nini kuleta maendeleo Tanzania, no one came top as Mwandosya. Aliichambua nchi toka enzi za nyerere policy kwa policy, akahamisha watu kwenye structural adjustments za mwinyi, na kumaliza na millenium development goals. Hata donors hapa nyumbani walifurahishwa sana. Wengine wote maneno yao on what they will do majibu yalikuwa tu kuendeleza baba wa taifa alifanya nini, na marais waliompokea etc etc i.e. kudumisha mafanikio ya nyuma. Mafanikio yepi???

Mwandosya stands a bigger chance than EL kuwa rais 2015 especially if EL dosent show that ambition na pia if the things i mentined earlier vina hold. Lowassa ana watu wengi tu wanaompenda ndani ya chama na pia wananchi ambao wanaelewa kwamba kama Lowassa ni mla rushwa depending on how you define rushwa, basi yeye ni kifaranga sababu kuna mambuni ambayo tunayakenulia tu kila kukicha.
 
Nimefurahi sana kuona kuwa na wewe unaona kuwa Mwandosya anachanche kubwa. Kumbe wewe unajua vizuri kuwa ni watu wenye policies wenye visions na mwelekeo ndio wanahitajika Tanzania. Hapo we are in one line. Lakini hata hivyo tusubiri tu isitokee dirty politcs, hizo ndio zinachafua watu, kwa sasa nadhani it is very obvious kuwa matarajio tuliyokuwa nayo kwa JK hayatekelezwi, labda sijui term ya pili kwa hii ya kwanza sio kitu. Lowassa kifanga akilinganishwa na Mambuni, you are damn right
 
Nimefurahi sana kuona kuwa na wewe unaona kuwa Mwandosya anachanche kubwa. Kumbe wewe unajua vizuri kuwa ni watu wenye policies wenye visions na mwelekeo ndio wanahitajika Tanzania. Hapo we are in one line. Lakini hata hivyo tusubiri tu isitokee dirty politcs, hizo ndio zinachafua watu, kwa sasa nadhani it is very obvious kuwa matarajio tuliyokuwa nayo kwa JK hayatekelezwi, labda sijui term ya pili kwa hii ya kwanza sio kitu

You can only make a meaningful change ktk maendeleo ya nchi kama unawashauri wazuri na pia kama unashaurika. Wakati wa heka heka za 2005 kuna wataalamu wengi na wasomi, especially vijana walijipanga vizuri sana na walikuwa na hopes za kutia ideas etc kwenye awamu ya nne. Sijui wameishia wapi. Hawa walikuwa very crucial, we need new blood ya washauri wenye exposure na walisomo vizuri economics, social development, international relations/diplomacy, information technology etc. Hawa ndio inatakiwa wawe wanakimbia kimbia ikulu na maeneo mengine including kufanya kazi safi sana kwenye website ya kikweteshein.com, sio kuweka picha tu za matukio...

Pia sidhani kama 2010-2015 kutafanyika cha maana. by convention, mambo ya maana yanafanyika miaka mitano ya mwanzo sababu bado una uchaguzi unakuja...
 
Back
Top Bottom