Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
Nani alikwambia suti nyeusi ni utamaduni wa ki TZ?Aisee pombe ulizopiga leo zina uwezo mkubwa sana wa kuchafua mfumo wa fahamu!
Lenu na nani?labda na familia yako ndio mna-entertain ufisadi huku watanzania walio wengi wakitabika nanyi mkililia kuitwa waheshimiwa,ushindwe na ulegeeLowassa, alikuwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam. Wala sio Kilosa, mbona alikuwa kwenye pozi tu kama kawaida yake...Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania.
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=46736
maulid5.jpg
Tunavyojua utamaduni wa kitanzania suti nyeusi huvaliwa siku ya msiba sio Sherehe.
Tumewaona waalikwa wengi wasiokuwa waislam huvaa kanzu au japo suti nyeupe tu.
kwa mfano Mh Mkapa anapohudhuria mahafali ya waislam anavyovaa.
lakini hata Mh Mbowe tumeona jinsi anavyovaa.
lkn ni Kwa lowasa kuvaa suti nyeusi ambapo ni wazi ni tofauti kabisa na washiriki wate waliohudhuria.
Jee Lowasa anamasikitiko gani juu ya waislam hadi kufikia hatua ile?
Alimaanisha kwamba waislam dawa yao ni ubwabwa na kahawa basi!
Maulid kwani maana yake nini?
sio eti ! Ndivyo ilivyo !eti wanasema ni sherehe ya mazazi wa mtume
Ni sehemu ya ibada yao !Kwa nini hamshauri sasa aache hiyo pombe?
Alijua kuwa hotuba za leo zingekuwa zikimchimba yeye na kambi yake.Kwa maneno mengine ni kama ameanza kuachana na siasa uchwara za CCM.Nina kuwa na wasiwasi na CCK huyu mkuu anaweza zamia huko.
Who is Lowassa....................??????????????
Ukweli utabaki kuwa ukweli, huyu komredi anasumbuliwa na mzimu wa richmond,anatumia kila namna ya mbinu ili kujipanga kuwania urais wa nchi hii kupitia ccm,au popote pale itakapobidi,
Nilitarajia yeye akiwa mmoia wa makada waliolelewa na kukulia ndani ya ccm,nimeshangaa kumuona kaibukia kwenye maulid badala ya ccm kirumba ,
Hii ingempa fursa ya kukaa na makada wenzake kujadiliana mambo mbalimbali yakisuyo chama chake hususani wakati huu ambapo serikali ya ccm inapokumbana na migomo, ukata napia mpasuko wa ndani kwa ndani ya chama.
Je kwa tukio hili EL ni yule yule ndani ya ccm?. au ndio dalili za kuhamia CCK taaaratibu???.
Hapana dawa yao ni mahakama ya kadhi na lowassa kasaini nao mkataba wa kisheria wampe kura anawapa mahakama ya kadhi,hapo kweli hata wakatoliki wakimpinga waislam watambeba,kwa sababu wanaoweza kwenda sambasamba na wakatoliki ni waislam tu,na hapa tz dini ziko mbili tu waislam na wakatoliki,nyingine zipozipo kama hazipo wala hazitambuliki.
AGHRRR
MI NACHUKIA
NI SAWA NA MTU
AANZE KUMPIGIA
DEBE ROSTAM
WKT TABU ZOTE
chanzo kikuu
wao
Ni sehemu ya ibada yao !
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu
Lutheran je..