Lowassa ahudhuria viwanja vya Maulid Mnazi Mmoja

Kikwete anamuua Lowassa taratibu kwa kumpa stress, by the time 2015 inawadia jamaa atakuwa amechoka taabani!!
 
Huyu jamaa mzimu wa mwalimu unamwandama baada ya yeye kutaka ku-take advantage of his physical absence na kugombea urais tena. Kumbuka walichukua ndege kurudisha fomu na mwalimu kidogo apate heart attack. Pesa wametoa wapi vijana wadogo hawa. Wana hela chafu. Wezi. Mishahara wasingeweza kutumia hivi chatter. Lakini hebu tuulizane kidogo. Chatter Dar - Dom return ni kiasi gani ili tuone kama mwalimu was fair and very fair na kipato chao kwa wakati huo kama kingeruhusu. I prefer looking both sides sometimes. Anyhow si unajua kama baba akiacha laana how it works. Laana lives my friend.
 
Nadhani Lowasa ndio chaguo la wnegi 2012,kwani haiwezi pita siku bila kuongelewa ktk tasnia ya habari si JF,MABADILIKO wana wanabidii,kila sehemu jina ni Lowasa

kama anaweza tumpe nafasi

Asije kuwa kama Sumari(RIP)
 
Kikwete anamuua Lowassa taratibu kwa kumpa stress, by the time 2015 inawadia jamaa atakuwa amechoka taabani!!

Kiujumla hotuba yake inayoendelea ni kama anamkumbuka Nape sasa...
... Eti mtamchaguaje mtu ana sifa ya wizi,ujambazi,n.k. Kwamba kuna baadhi ya wanachama hawayataki mabadiliko mazuri yanayoendelea... Amemquote Ben Mkapa kwa kusema alisema "chama kwanza"

lakini yote ni kumpaka mafuta Nape kwa mgongo wa chupa..
 
yule ni mgonjwa.......alipatwa na mild stroke mwaka jana.......na kama ungemwangalia vizuri mikono yake inatetemeka tetemeka......kwa sasa anatumia vidonge vya kuondoa hali hiyo toka indonesia na malyesia..vidonge vile ni vizuri ila tatizo lake huyu jamaa ni pombe....anakunywa sana Remmy-martin .....akiacha kabisa hii kitu itamsaidia kupona....
Kwa nini hamshauri sasa aache hiyo pombe?
 
JK anamchezea karata Lowassa..
Lowassa hana mizungu lakini... Sijui atashinda vipi..
JK anahoji wanachama wake kuwa wanakubali namna gani kuacha familia zao na kufichwa gesti,ili kulazimishwa kumpigia kura mgombea fulani?

Anahoji wasipochaguliwa vijana,wachaguliwe watu wa iana gani... Anajitolea mfano,amekuwa mjumbe wa NEC akiwa 32 years..
Siasa bana..
 
Huyu jamaa mzimu wa mwalimu unamwandama baada ya yeye kutaka ku-take advantage of his physical absence na kugombea urais tena. Kumbuka walichukua ndege kurudisha fomu na mwalimu kidogo apate heart attack. Pesa wametoa wapi vijana wadogo hawa. Wana hela chafu. Wezi. Mishahara wasingeweza kutumia hivi chatter. Lakini hebu tuulizane kidogo. Chatter Dar - Dom return ni kiasi gani ili tuone kama mwalimu was fair and very fair na kipato chao kwa wakati huo kama kingeruhusu. I prefer looking both sides sometimes. Anyhow si unajua kama baba akiacha laana how it works. Laana lives my friend.

hili halitakuwa na jibu moja...
Sababu Mwalimu aliamini viongozi waadilifu huishi maisha ya kawaida... Yaani hata kama unazo,bora zitumike kufaisha wengi...
Yaani hata kama kipato kiliruhusu..kwa mwalimu hilo ni no one disqualification... Kipato cha juu...
 
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu

Mkuu, kilichozungumziwa hapa ni afya sio hela mkuu. ENL nilikutana naye kwenye masiba wa Sumari, kiukweli the guy looks very weak, and has a bda sight.
 
Televisheni ya Taifa TBC Inalusha matangazo ya mkesha wa maadhimisho ya Maulid..wageni waalikwa ni Mh Edward Lowassa,Alli Hassan Mwinyi na Meki Sadiki.

Karibuni Waislam wenzangu tujumuike..
 
Yupo ndani ya viwanja mnazi mmoja akiwa mgeni mualikwa!!!kazi anayo hadi namuonea huruma sasa maana hapumziki ili kujaribu kujisafisha!!JK muonee huruma best yako maana sasa anatapatapa kiti cha urais kina nini jamani???JK usimtose mshikaji wako mmetoka mbali sana uhasama hautaisha kamwe ukimtosa!!
 
IMG-20120205-00137.jpg
Huyu ndo anafaa kuwa rais habagui dini na wala hatatuletea udini safi sana and big up!!!!!
 
Attachments

  • IMG-20120205-00138.jpg
    IMG-20120205-00138.jpg
    51.2 KB · Views: 46
Back
Top Bottom