Lowassa ahudhuria viwanja vya Maulid Mnazi Mmoja

gambachovu

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
1,854
292
Mi nimemwona mwanasiasa huyu kwenye mkesha wa Maulid huko Mnazi Mmoja,usiku wa kuamkia leo...kavaa suti kama ya dark blue,kasimama alongside mgeni rasmi (Mohamed Gharib Bilal),Ali Hassan Mwinyi,na wengineo...

Ila,ni kama ENL anadhoofu!
Waliotoa hotuba ni pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya pili.. Anaonekana ana siha bora zaidi na wajihi angavu zaidi kumlinganisha na ENL!!
 
Atakuwa kachoka na zile harambee za makanisani.
Maulid ya nani? Rejia was a christian...
 
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu
 
yule ni mgonjwa.......alipatwa na mild stroke mwaka jana.......na kama ungemwangalia vizuri mikono yake inatetemeka tetemeka......kwa sasa anatumia vidonge vya kuondoa hali hiyo toka indonesia na malyesia..vidonge vile ni vizuri ila tatizo lake huyu jamaa ni pombe....anakunywa sana Remmy-martin .....akiacha kabisa hii kitu itamsaidia kupona....
 
Sijui hawa wanaoenda Apollo wanakosa nini ambacho Lowassa anacho...

Wanaoenda kwa matibabu hospitali ya Aga Khan hospitali inayojulikana kwa gharama zake na bado haifulii wagonjwa...

Kiufupi we ndiyo wa kwanza kunielimisha uhusiano wa fedha na afya ya mtu...

No wonder wazee wa zamani walifikisha 100 +... Na sasa jibu ninalo.. So it's all about wealth...
Point taken boss..
 
yule ni mgonjwa.......alipatwa na mild stroke mwaka jana.......na kama ungemwangalia vizuri mikono yake inatetemeka tetemeka......kwa sasa anatumia vidonge vya kuondoa hali hiyo toka indonesia na malyesia..vidonge vile ni vizuri ila tatizo lake huyu jamaa ni pombe....anakunywa sana Remmy-martin .....akiacha kabisa hii kitu itamsaidia kupona....

lHiyo Remmy Martins ina alcohol %age kiasi gani?
 
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu

sasa umilionea una husiana nini na ugonjwa? Magamba utawajua tu
 
Hii partial knowledge inanitosha...
Ili mradi nimejua kesho siku ya kazi basi!

Ndio maana wabongo hatuendelei, tunaridhika na partial knowledge, kisha tunaanza kuzifunza kwa wengine kama ndio ukweli usio shaka
 
Dah..
Na umri wangu huu,nianze tu kuhudhuria madrassa...kweli... Nianze ALIF... Bado hadithi za mtume,mwaka wa imani ya Kiislamu... Aah Gaijin hujanitendea haki kwa post yako hiyo.... Bado mambo ya kusoma Juzuu... Pls bana..
 
Ee Mwenyezi Mungu mjalie Lowassa afya njema ili atukomboe 2015.

Ila kwa spidi aliyonayo,hata kama atafika 2015 akiwa bed ridden..achilia mbali kwenye wheel chair...,atagombea tu!

Ushauri wa bure..
Ajiunge rehab....
 
Dah..
Na umri wangu huu,nianze tu kuhudhuria madrassa...kweli... Nianze ALIF... Bado hadithi za mtume,mwaka wa imani ya Kiislamu... Aah Gaijin hujanitendea haki kwa post yako hiyo.... Bado mambo ya kusoma Juzuu... Pls bana..

Hahahaha kumradhi

Basi mkuu kaa vyote hivyo huvijui au unavijua juu juu, acha kuvitolea maelezo kwa sababu unapotosha
 
Back
Top Bottom