Lowassa ahudhuria viwanja vya Maulid Mnazi Mmoja

Juzi kati nilipanda nae Precision 5H-PWA toka K'njaro to Dar!kweli amedhoofu sana sana!ni kama ana stroke ktk mikono,anashuka kwa tabu ktk ndege....oooooops!Money isn't everything!
 
Watu wanakunywa gongo aka konyagi mwitu na alcohol % haiko stable itakuwa hiyo pombe yenye jina la kike? Yule masai, anakula nyama na ugali, sio ugali na nyama! hata anywe gongo ananawiri tu! Sema kama ana matatizo mengine!
kweli vile....
Mi ndiyo naperuse kujua Remmy Martins ina alcohol kiasi gani.. We pia nisaidie kuulizauliza King'asti...
 
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu

baada ya kutuibia
asiwe milionea kwanini!
Kwani ukoo wa huyo
jamaa waujua weye?

Ndio mi ni msemaji wake
 
Juzi kati nilipanda nae Precision 5H-PWA toka K'njaro to Dar!kweli amedhoofu sana sana!ni kama ana stroke ktk mikono,anashuka kwa tabu ktk ndege....oooooops!Money isn't everything!

haya mweleze director1...
Ikiwezekana mtungie wimbo aweze kushika kwa haraka..
 
Mh. huyu sijamuona kwenye maadhimisho ya miaka 35 ya CCM au ndio kaenda kusali kwanza maana mpaka kaamua kumrudia mungu nampa hongera sana huyu atakuwa mkombozi siku zijazo siasa na mungu atampigania ila Sita leo sijamuona ibadani yeye kwenye sherehe kawasili mapema....
 
Watu wanakunywa gongo aka konyagi mwitu na alcohol % haiko stable itakuwa hiyo pombe yenye jina la kike? Yule masai, anakula nyama na ugali, sio ugali na nyama! hata anywe gongo ananawiri tu! Sema kama ana matatizo mengine!

ha ha ha... King'asti bana..
 
Nimefuatilia vizuri hii post, bado sijaona jibu la msingi kulingana na swali la msingi lililoulizwa zaidi ya vichekesho. Mwenye taarifa zaidi juu ya tatizo la Waziri Mkuu aliyejiuzuru atupe.
 
Nimefuatilia vizuri hii post, bado sijaona jibu la msingi kulingana na swali la msingi lililoulizwa zaidi ya vichekesho. Mwenye taarifa zaidi juu ya tatizo la Waziri Mkuu aliyejiuzuru atupe.

Nimesoma ya Ngaliba Dume..
Nawe ipitie hapo juu..
 
Sema Ngaliba naye hajui msingi wa tatizo...
Speculations zinasema,alipata mild stroke,sasa wa kuthibitisha hilo hakuna.. Ila la Remmy Martins,kila mtu analijua... Maana,haipiti siku bila,ya kuumaliza mzinga(that's on daily basis)... Ila kama ndiyo chanzo cha tatizo ama la... majibu hayajapatikana bado!
 
Nadhani Lowasa ndio chaguo la wnegi 2012,kwani haiwezi pita siku bila kuongelewa ktk tasnia ya habari si JF,MABADILIKO wana wanabidii,kila sehemu jina ni Lowasa

kama anaweza tumpe nafasi
 
Back
Top Bottom