Lowasa Kisha toa Tamko?

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
ni nani alisema lowasa kutoa tamko leo kwa waandishi sijasikia chochot amesema nn na kwa nani
 
Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa

Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!!
 
Huyo ni mfuasi wa Magamba anapima upepo kuhusu taarifa feki waliyotoa jana.

Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa

Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!!
 
Unatakiwa kupita jukwaani kwanza, kama hakuna tamko wewe elewa halijatolewa

Sasa unapoweka uzi ambao unatufanya kuingia kuangalia kumbe unauliza tu mkuu,, vipi bana!!!

kaka so mbaya kama kuna mtu ajibu swali la mleta thread kwani watu wengi tulikuwa na kiu ya kusikia tamko la huyo EL mmoja wa majambazi wa rasilimali za nchi yetu.
 
Back
Top Bottom