Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

Jamani mie siamini katika distance inawezaua mahusiano. Kama kweli mnapendana mtaelewa umuhimu wa mawasiliano na kama kweli penzi lipo no distance is distane aisee.................Am having a long distance relationship, nimekuwa nayo kwa muda sasa almost a year but we are still intack, the WhatsUps, sms na phone calls za hapa na pale but we are intack and the love is getting strong and stronger............If he is cheating on me, hajanionyesha na wala hajanipa sababu ya kudoubt......am getting my fair share of love, care and tender.

Guys honour what you are blessed of...................achaneni na tamaa. Ukiona distance imeharibu mahusiano yako jua kuwa it wasnt meant to be na s/he wasnt into you so mshukuru MUNGU kwa kukuonyesha mapema and move on......

Mi nahisi watu wanakuwa wamedatishwa na vingine ila distance inakuwa ni kisingizio tu!! From somewhere in Tanzania to somewhere in Tanzania too, hiyo nayo ni distance kweli??? Ila wajameni sasa watu wamezidi mikogo aisee, dah! Some people do travel just for a kiss.......ni kwa sababu wanathamini mahusiano yao (as you clearly described), sasa hawa wenzangu na mie wapenda michezo tu wanadhani relationships zinazopendeza zinajengwa na nini atii??
 
Umeona eh Da Mkubwa....wengi tunatafuta visingizio tuaisee. Na mpaka udatishwa ina maana umeshaghafilika kiasi cha kutaka kujaribu kwingine na mbaya zaidi huko kwingine kukishagundua kuwa uko committed sehemu nyingine basi kutacheza sarakasi zote ili kukupagawishe....wapenzi wote wanatakiwa kuhakikisha kuwa hawatoi sababu wala nafasi ya wenzi wao kujaribu kwingine!
 
Jamani mie siamini katika distance inawezaua mahusiano. Kama kweli mnapendana mtaelewa umuhimu wa mawasiliano na kama kweli penzi lipo no distance is distane aisee.................Am having a long distance relationship, nimekuwa nayo kwa muda sasa almost a year but we are still intack, the WhatsUps, sms na phone calls za hapa na pale but we are intack and the love is getting strong and stronger............If he is cheating on me, hajanionyesha na wala hajanipa sababu ya kudoubt......am getting my fair share of love, care and tender.

Guys honour what you are blessed of...................achaneni na tamaa. Ukiona distance imeharibu mahusiano yako jua kuwa it wasnt meant to be na s/he wasnt into you so mshukuru MUNGU kwa kukuonyesha mapema and move on......

True say. Distnc c prob kama mwapendana
 
Kwangu mie its not a threat aisee.............sana sana inanisaidia kuwa na muda wa kuspice up.nafikiria last time we met nilikuwa hivi na nilifanya hivi, this time nifanyeje ......ingawa siweziyafanya yote pasipo ridhaa yake .ananiruhusu, nkisema this time ni mwendo wa 10,9,8,7,6,5,4,3,2,1.... ananiruhusu au kama ndo mwendo wa kukamua, au mwendo wa kumwachia yeye usukani...........ananiruhusu

Distance kwangu inanipa nafasi ya kuexplore more.........take it in a positive way, kuwa kila ukikutana na mwenzi wako unakuwa mpya both kwa mwonekano na ubunifu.
 
inategemea mkoje ktk comitment me mume wangu yuko mbali bt huja once per month,ila namuheshm sna.Nampenda pia,mara nyng tunachat,tunaongea nk bt naona ok make tupo ktk utaftaj.Khyo km una mtu mbali thn hajajicomit kwako lazma atakutosa,c wanawake tu hta wanaume.
 
Mama Elvis......whats matters kati ya mume na mke au boyfriend na galfriend??? Its love isnt it? ambayo inawekakuwa sawa kati ya mume na mke au galfriend na boyfriend si ndio!! Love inawezaexist without commitment mydia............... all matters is love nakwambia! Am not married to him but am in love......and thats all matters to me kiasi kwamba siwezimsaliti simply because hajajicommit..
 
Nimepelekwa kikazi rufiki,kutokea kilimanjaro mpenzi wangu alianza kubadilika lakini jana kaamua kuhitimisha kwakunitumia sms isemayo "tusitishe mahusiano yetu kwasasa" swali ninalojiuliza kwanini kanifanyia kitu kama hicho?

.....kwakuwa amekutaarifu, nawe bado wampenda...jiridhishe nafsi yako akupe sababu ya kusitisha mahusiano yenu. Kumbuka, hajakuomba ushauri, amekutaarifu...

...."likuepukalo lina heri nawe!" ....na kwa mujibu wa maelezo yako, ingekuwa mie mbu, bda ya hitimisho hili nisingegeuka nyuma kutoa nafasi nyingine ya kuendelea nae.

Pole kaka.
 
inategemea mkoje ktk comitment me mume wangu yuko mbali bt huja once per month,ila namuheshm sna.Nampenda pia,mara nyng tunachat,tunaongea nk bt naona ok make tupo ktk utaftaj.Khyo km una mtu mbali thn hajajicomit kwako lazma atakutosa,c wanawake tu hta wanaume.

Mama Elvis, 'kutoswa' na asiyeji commit...au kuwa 'cheated' na aliyeji commit kwako, lipi lauma zaidi?
 
Last edited by a moderator:
.... all matters is love nakwambia! Am not married to him but am in love......and thats all matters to me kiasi kwamba siwezimsaliti simply because hajajicommit..

MwanajamiiOne hii ndio ninayoita straight talking....."Bull's Eye!"....
Thx Soulmate xox
 
Last edited by a moderator:
usimwamini mwanamke hata kidogo. Samson na Delilah ni mfano tosha na wewe nipe mfano wako!!

Loy are you sure kuwa walioandika hadithi za kwenye Bibilia kama za Samson na Delila hawakuwa bias?? What if kama wao makosa waliyaona kwa wanawake tu?? Should we follow their example? Au does it really mean kuwa enzi zile wanawake tu ndo walikuwa na makosa tu peke yao na wanaume walikuwa wasafi?

Tukibase kwenye Biblia sitowezakukupa mifano ya wanaume wasaliti zaidi ya wale wale walioiba wake za watumwa wao kwa nguvu, kina Suleimani walokuwa na masuria na maconcubine kibao lakini bado walionekana kama ma=-hero a kuwa walichokifanya ni sawa?
 
MwanajamiiOne hii ndio ninayoita straight talking....."Bull's Eye!"....
Thx Soulmate xox

Thanx Soulmate....hii inanikeep mie pia kwenye safe side aisee.nakupenda kwa kuwa ninajisikia, ninaruhusuiwa na umenipa nafasi, naenjoey what am getting, sikuserve kama mtumwa we are an equal partiners and beneficieries.......ikitokea love imeseaze basi sitoregreat aisee........nitaridhika kuwa nami nilienjoe na sikuwa na mategemeo makubwa!

Maisha ni mafupi jamani kuishi kwa .....what ifs!!
 
.....agreed.....ila hapo kwenye mategemeo makubwa, yaweza kuwa madogo, ya kati , ya kawaida au muhimu "kwangu'.....

....ni tofauti ya tafsiri na haswa kujitambua thamani yako binafsi, na ya mwenzio katika mahusiano yenu.

Kuhusu 'biases' kwenye bible na vitabu vingine vitukufu, nakubaliana nawe ni amifano isiyo sahihi sana kwa mada kama hizi. Ni mifano 'myepesi' kwa hoja nzito....Tuhukumu mambo kwa wakati uliopo ndipo tutapoweza hukumu kwa haki, japo 'mifano' na simulizi itaendelea kuwa misingi ya kuanzishia hoja za maamuzi.

Kaka Mr Mayunga, natumai jibu la MwanajamiiOne ni mfano hai 'penzi' halijali commitment ya ndoa au la, halijali umbali au muda kwa huyo mpenzi wako kufikia maamuzi hayo, UNLESS kuna sababu nyingine hujatuambia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom