Jamani mie siamini katika distance inawezaua mahusiano. Kama kweli mnapendana mtaelewa umuhimu wa mawasiliano na kama kweli penzi lipo no distance is distane aisee.................Am having a long distance relationship, nimekuwa nayo kwa muda sasa almost a year but we are still intack, the WhatsUps, sms na phone calls za hapa na pale but we are intack and the love is getting strong and stronger............If he is cheating on me, hajanionyesha na wala hajanipa sababu ya kudoubt......am getting my fair share of love, care and tender.
Guys honour what you are blessed of...................achaneni na tamaa. Ukiona distance imeharibu mahusiano yako jua kuwa it wasnt meant to be na s/he wasnt into you so mshukuru MUNGU kwa kukuonyesha mapema and move on......
wanawake hawaaminiki!
wanawake hawaaminiki!
Wanaume wanaaminika??
Mi nahisi watu wanakuwa wamedatishwa na vingine ila distance inakuwa ni kisingizio tu!! From somewhere in Tanzania to somewhere in Tanzania too, hiyo nayo ni distance kweli??? Ila wajameni sasa watu wamezidi mikogo aisee, dah! Some people do travel just for a kiss.......ni kwa sababu wanathamini mahusiano yao (as you clearly described), sasa hawa wenzangu na mie wapenda michezo tu wanadhani relationships zinazopendeza zinajengwa na nini atii??
Jamani mie siamini katika distance inawezaua mahusiano. Kama kweli mnapendana mtaelewa umuhimu wa mawasiliano na kama kweli penzi lipo no distance is distane aisee.................Am having a long distance relationship, nimekuwa nayo kwa muda sasa almost a year but we are still intack, the WhatsUps, sms na phone calls za hapa na pale but we are intack and the love is getting strong and stronger............If he is cheating on me, hajanionyesha na wala hajanipa sababu ya kudoubt......am getting my fair share of love, care and tender.
Guys honour what you are blessed of...................achaneni na tamaa. Ukiona distance imeharibu mahusiano yako jua kuwa it wasnt meant to be na s/he wasnt into you so mshukuru MUNGU kwa kukuonyesha mapema and move on......
Aksante Da Mkubwa............ huyu kalisahau hili
inategemea mkoje ktk comitment me mume wangu yuko mbali bt huja once per month,ila namuheshm sna.Nampenda pia,mara nyng tunachat,tunaongea nk bt naona ok make tupo ktk utaftaj.Khyo km una mtu mbali thn hajajicomit kwako lazma atakutosa,c wanawake tu hta wanaume.
Nimepelekwa kikazi rufiki,kutokea kilimanjaro mpenzi wangu alianza kubadilika lakini jana kaamua kuhitimisha kwakunitumia sms isemayo "tusitishe mahusiano yetu kwasasa" swali ninalojiuliza kwanini kanifanyia kitu kama hicho?
Unataka kusema wanaume ndo wa kuaminika?? cheating iko kwa pande zote mydia.
inategemea mkoje ktk comitment me mume wangu yuko mbali bt huja once per month,ila namuheshm sna.Nampenda pia,mara nyng tunachat,tunaongea nk bt naona ok make tupo ktk utaftaj.Khyo km una mtu mbali thn hajajicomit kwako lazma atakutosa,c wanawake tu hta wanaume.
.... all matters is love nakwambia! Am not married to him but am in love......and thats all matters to me kiasi kwamba siwezimsaliti simply because hajajicommit..
usimwamini mwanamke hata kidogo. Samson na Delilah ni mfano tosha na wewe nipe mfano wako!!
MwanajamiiOne hii ndio ninayoita straight talking....."Bull's Eye!"....
Thx Soulmate xox
Thanx Soulmate....hii inanikeep mie pia kwenye safe side aisee.nakupenda kwa kuwa ninajisikia, ninaruhusuiwa na umenipa nafasi, naenjoey what am getting, sikuserve kama mtumwa we are an equal partiners and beneficieries.......ikitokea love imeseaze basi sitoregreat aisee........nitaridhika kuwa nami nilienjoe na sikuwa na mategemeo makubwa!
Maisha ni mafupi jamani kuishi kwa .....what ifs!!