Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
This works kwa watu wa damu baridi!, sisi wa damu moto hili ni gumu!.Dear members
what is your insights of Long Distance relationships? Do they work? Does it worth to wait?
Mimi nilimuo school shweetheart wangu mara tuu baada ya kumaliza chuo, tukahamia UK nikaamua kurudi home bongo, mwenzagu akanigomea!. Nikarudi home mwenyewe na kuendelea kwa distance relationship ila ilinishinda, nikamsisitiza arejee, akarejea na ndoa ikaendelea tukawa blesed with two issues!.
Wife akapata scholaship ya US for four years!, nilikubali, akaondoka, mwaka wa kwanza tuu, nilishindwa kuvumilia, huku nikijisaidia kwa wasaidizi, nikawa nikimtembelea kila mwaka!. Alipofikisha mwaka wa nne na kumaliza chuo, nikamfuata turejee nyumbani, akaniambia amepata good job, mimi ndio nihamie kwake nikawe "house husband!" because she can afford!. Kuna watu wa kan da fulani hili la kuolewa hatuliwezi!. Tukaamua yeye aendelee kuishi huko na mimi bongo, tutaendelea kutembeleana and that was the begining of an end!.
Mimi ndie niliyelianzisha huku bongo na yeye akafutia huko US!, kiafrika sisi wanaume tunajiona lolote tufanya ni right!, ila haya tufanyayo yakifanywa na mwanamke is not right!, nilikubali she has the rights too!, kwa sasa its history, but still good friends, zile issues 2 ziko kwangu, zimeongezeka kufika 6!, na yeye anazo zake 2!, life goes on!.
I doesn't work well with damu moto!.
Pasco.