ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Hapo nimekubali....Imagine mume anaishi majuu more than eighty years na mke bongo na watoto.Mume kumtembelea mume ni kila two years.kwa usemayo ni kweli kabisa .....with lies and unfaithfullness on both sides life will move on au sio.
Hapo kwenye rangi ya "msimbazi" sijakupata uzuri...
Otherwise, uaminifu ni tabia ya mtu..tamaa siku zote ipo pale hta mkiwa kitanda kimoja muda wote bado haimaanishi mpo pamoja kiroho. Wapo watu ambao hata akiwa kwenye kuvunja amri ya 6 au kwenye tendo la ndoa, kamwe hawezi kuhitimu mpaka amfikirie kiumbe mwingie aliye mbaaali kabisa na si yule anayepumzika nae kwa wakati huo.
so is a matter of personalities than generalization....