Babu wa loliondo hv yupo wapi??????????/mbona kimya????
. ni kweli kidogo, sababu wote waliokwenda Muhimbili, KCMC, Amana, Peramiho, Ocean Road, AgaKhan, TMJ, Bugando, India, South Africa, etc wamerudi salama. (Akili mu kichwa)yupo, amesizi tu anasubiria wote walioenda kunywa dawa kwake wafe. si unajua kuwa WOTE WALIOKUNYWA DAWA YAKE watakufa mmoja baada ya mwingine, unaambiwa hatapona hata mmoja, wengi saivi tayari wameshatangulia mbele ya haki....hapo sasa...