Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,043
Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme.
Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni:
1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo
2. Trilion 360 za Makinikia kuwa Tanzania tutalipwa.
3.Maisha bora kwa kila Mtanzania Ilani ya CCM
4...........
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app