Inawezekana wamasai hawapewi daraja stahiki kutokana na utamaduni wao

Momumo popapo

Member
Oct 30, 2021
60
29
Kinacho endelea Loliondo sina hakika kama kabila la Wamasai wanapewa heshima yao Loliondo ni ardhu ya babu zao ni malalo ya babu zao katika kuondolewa kwao nilitegemea itumike diplomasia zaidi na siyo nguvu

Ebu tuvae uhusika kumuondoa kwa nguvu masai Loliondi ni sawa na kumuondoa kwa nguvu mkwere mkazi wa Bagamoyo kwa nguvu bila hutaki umpeleke singida

Kumuondoa Mmasi Liliondo kwa nguvu ni sawa na kumuondoa Mzinza kwa nguvu Chato ni maumivu makali.
 
Back
Top Bottom