ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Wakuu habarini.
Majuzi nilinunua Speaker za Logitech 5.1 hizi speaker mwisho zina pins 3 (Nyeusi, Orange na Kijani) hizi Pins zina Size ya pins za PC headphones / EarPhones.
Halafu nikanunua Smart TV Samsung 65 nch 4k QLED. Hii TV hiana Sehemu ya Kuconnect Hizo Pins za Logitech Speaker kupata Sound. Hii TV ina Port 3 Nyekundu, Nyeupe na Njano zile za Kawaida ambazo hizo Pins za Logitech zina Fiti kuingia lakini hazitoi sound, Na Ina Sehemu ya HDMI.
Niliamua kununua ARC yenye HDMI kwaajiri ya Ku connect bahati mbaya hiyo ARC matundu yake zile PINS za Logitech zinakuwa Kubwa na Hizwezi kuingia.
Ni kifaa gani nikinunue ili niweze ku connect TV yangu yenye HDMI na Hizi Logitech Speakers 5.1?
Msaada Tafadhali.